DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,966
najaribu kutafakari utamu wa tendo la ndoa kwa upande wa wanaume huwa sielewi kwa sabau huwa nawaona wanachoka sana .... sasa kinachokufanya ukimbilie kuchoka ni nini? kakunyima si uvumilie tu jamani
Hata mi nilijiuliza hivyo mkuu. Inawezekana siku ya pili hakumpa alichomuahidi ndo maana akatangaza kabakwa.Mimi pia naamini hivyo, kubwaka gani siku mbili mfululizo..I'm sure hadi mauno alikuwa anakata huyu binti, basi tu terms and conditions hazijazingatiwa.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Kwa nini aende Sinza wakati akina Ngassa wanafaidi matunzo yake. Maisha ni kubanana humo humo
Kwa wasiomjua mdogo wake na flora Mbasha huyu hapa
mtoto mzuri sana aisee jamaa alikuwa na haki ya kutafuna,,... huyu demu ajabakwa bwana kampa mwenyewe labda kama walishindwana kwenye makubaliano waliyowekeana
Hizi sheria waziangalie upya aisee, kwa totoz za siku hizi, 15 years mwenyewe anameza "ndoano" kubwa bila "shida", tena ndio kwanza 6 inches wanaita vibamia...Kwa Sheria ya kujamiiana kama kweli ana miaka 17 alikuwa anabaka. Swali langu je mbona (Bofya) hakuchukuliwa hatua CC Miss Chagga
Kaka mkubwa alishindwa kutimiza ahadi!
Unatuona tunachoka?? dah....miss chagga! Naanza kuamini wanavyosema wachaga hawajitumi
kweli kabisa huyu bibie ajabakwa kabisaHizi sheria waziangalie upya aisee, kwa totoz za siku hizi, 15 years mwenyewe anameza "ndoano" kubwa bila "shida", tena ndio kwanza 6 inches wanaita vibamia...
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Vipi kuhusu mchungaji GWAJIMA kumpangia chumba hotelini FLORA ambaye ni mke wa mtu, je hiyo ni halali? Huoni pana kitu kimejificha hapo?pia huyu mume wa flora kajiendekeza unabaka mara tatu?hapa kunakitu hakikowazi.flora kumnyima unyumba ni sawa kama yuko rafu?au michepuko?kwanini nife?
Mi mara nyingi nawatetea wanawake kwa sababu ya tabia zetu wanaume ambazo nyingi zinaudhi. Kwa mfano mwanaume hujiwezi kwenye sita kwa sita, mkeo anapojaribu kukushauri ukapate matibabu hutaki, akifundisha njia nyingine za kumrisha unakuwa mbogo eti nani kakufundisha. Amini nawaambia, mke asiporidhishwa mara zote huchukia tendo la ndoa. Kinachomfanya mwanamke akudai mgegedo ni kutokana na jinsi ulivyomridhisha last time. Vinginevyo atakunyima tu. Tujirekebishe wananumeUnajua sababu ya kumnyima?ushamfumania mara kadhaa,kwa nini nsikunyime labda mi sikutoshi ndo maana. flora si chizi amnyime maradhi mengi jamani,tutauana.Kingine mwanaume hana akili milupo wote hawa ndo umfate shemeji???genye hizo genye gani hasa mpya chini ya jua!
Lakini pia katika hili niwe muwazi kuwa kuna maelezo nadhani yana ukweli, lakini mengine hayana ukweli. Shemeji anabakwa mara tatu, tena mara ya mwisho ndani ya gari, ilikuwaje huyo shemeji akakubali kuingia ndani ya gari wakati akijua jamaa huwa anambaka? Tena ni kwa nini alipobakwa mara ya kwanza hakusema mpaka imefika mara ya tatu. Napata hisia hapa kuna makubaliano fulani yalifanywa kumkomoa mtu. Sijuipia huyu mume wa flora kajiendekeza unabaka mara tatu?hapa kunakitu hakikowazi.flora kumnyima unyumba ni sawa kama yuko rafu?au michepuko?kwanini nife?
Hata huyo mgegedaji huwa anachoka kugegeda. Mi kuna wakati huwa nachoka nataka kupumzika. DuhBila kugegedana kwa kila mda ambao mwenzio anahitaji bhaas unaweka ndoa yako rehani
kama ni wanandoa gegeda kila unapojiskia
Mmmmmh!!! Mbombo ngafu malafyaleMke wangu akininyima unyumba naenda tu Mliman City napata sister duh wa ukweli!Haiwezekani uende Coco utoke bila demu bana!Jamaa huyu HANA excuse yyt ile na afungwe