Ha ha ha.. Kama yamekukuta una kazi.. But kawaida mke ana silaha moja ambayo inapofika wakati anapoona au anadharauliwa au hasikilizwi au hatimiziwi yale ya kwake basi huamua kuitumia.. Na hiyo ndio hiyo ya kukunyima unyumba.. Na mara nyingi ni silaha ambayo imewasaidia japo kwa udogo kuwarudisha kwenye mistari wale waume waliokutana na kadhia hiyo..
Najua hapa watakuambia chepuka nje kama wife anakubania unyumba kama silaha lakini amini ninakuambia raha ya kula mchepuko ni pale nyumbani kunapokuwa na amani.. Usijiloge hata siku moja ati kwa vile mke amezuia tunda kuliwa ati uwe unakula nje tu.. Kwani kunyimwa tendo la ndoa kunaambata na karaha na kero nyingine ambazo zitahitaji kutatuliwa kwa ustawi wa ndoa yenu..