Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

ndugu mihuwa sijaelewa huwa anachunga nini.infact ata mi sijaelewa kwakawaida mwanaume ndie huandaa faragha sasa sielew hapa
 
nasema na nasema tena ukishampa mwanamke nafasi akamiliki pesa kuliko mwanaume umekwisha.

Mwanamke akimiliki pesa kuliko mwanaume sio shida maadam mtu mwanaume ujue wewe ndio kichwa na uact kama mwanaume kweli. Shida itaanza ni pale mwanamke awe na pesa na wewe mwanaume unasuburi mkeo akulee wewe kama mtoto wake hapo ndio utaona madharau ya mwanamke. Utadharaulika mpk mtaa watatu watajua unatunzwa!
 
Habari,

Je mke anapokukatalia tendo la ndoa wakati haumwi wala hana tatizo lolote anamaanisha nini?
A. Hana hisia na wewe.
B.Humridhishi.
C.Amekuruhusu ukachepuke.
D.Anachepuka.
E.None of the above.
 
Haya sasa tupe mazingira ya wewe kunyimwa tamtam ili tuweze chaguo jibu ktk hayo hapo juu
 
anamaanisha katafute utamu kwengine au hujui vya utamu vimezaliwa vingi
 
Ha ha ha.. Kama yamekukuta una kazi.. But kawaida mke ana silaha moja ambayo inapofika wakati anapoona au anadharauliwa au hasikilizwi au hatimiziwi yale ya kwake basi huamua kuitumia.. Na hiyo ndio hiyo ya kukunyima unyumba.. Na mara nyingi ni silaha ambayo imewasaidia japo kwa udogo kuwarudisha kwenye mistari wale waume waliokutana na kadhia hiyo..

Najua hapa watakuambia chepuka nje kama wife anakubania unyumba kama silaha lakini amini ninakuambia raha ya kula mchepuko ni pale nyumbani kunapokuwa na amani.. Usijiloge hata siku moja ati kwa vile mke amezuia tunda kuliwa ati uwe unakula nje tu.. Kwani kunyimwa tendo la ndoa kunaambata na karaha na kero nyingine ambazo zitahitaji kutatuliwa kwa ustawi wa ndoa yenu..
 
inaelekea hujui kuomba tendo la ndoa au huna maandalizi mazuri ya chakula cha usiku.siku zote ukitaka kumfaidi mme/mke anza na maandalizi mazuri.
 
Kwan ukiomba kitu ni lazima upewe!!!??..... Hata ukinyimwa corner bar si kupo
 
Anataka umsikilize kwanza na umtimizie ile ahadi unayomzungusha nayo.
Sio kitu kibaya ukamtongoza mkeo bwana. Its funny. we unataka kurukia kama unaweka tu ATM? Shauri yako

Huenda swali linalofuata ni hili: Hivi ukimfumania mkeo unafanyaje.. A)..B)...c)...D) None of the above
 
Kaona huna jipya hata ukichepuka ni aibu tu utapata; jichunguze utakuwa huna uwezo wa kumtosheleza demu yoyote ndio mana hana hofu hata ukichepuka
 
Back
Top Bottom