Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

Ni kweli tendo la ndoa sio kila kitu ndani ya ndoa, lakini ndoa ambayo wanandoa hawashiriki au hawaridhishani kunako 6x6 ni ndoa mfu. Just that!!!!!
naunga mkono hoja yako mkuu Eli79 na hata mimi nimekubaliana na hilo kwenye maelezo yangu,point yangu hapa ni kwamba halipaswi kuwa jambo kuu kiasi kusahau kuna mengi yanahusika zaidi ya hilo,kulifanya hilo kuwa jambo kuu kwenye ndoa ndiko kumechangia ndo nyingi kutuokuwa imara leo hii kwa kuwa mtu anaingia katika ndoa akijua ndoa ni tendo la ndoa tu
 
Mtoa mada acha mambo ya ajabu. Kama jina lenyewe linavyosema "NDOA" na hata tendo linavyoitwa "TENDO LA NDOA" hii inamaanisha kuwa bila ya tendo la ndoa hakuna ndoa. Kama tendo la ndio sio ndoa yenyewe basi vijana wangechukua Dada zao waishi nao..
Amesema 'si kila kitu'.....yaani ndoa ni zaidi ya tendo sio kwamba kuna ndoa bila tendo la ndoa.
 
Ni kweli tendo la ndoa si kila kitu, ila ni moja ya mambo muhimu sana ili ndoa iwe. If sex is terrible, there won't be no marriage. That's why I believe in test-driving before making it black n' white, to save each other from unnecessary drama in case we are no match. She's gotta put her ring on it(figuratively), before I put a ring on it (literally).
its true Paulo Sergio De Souz sex is important for the life of marriage but it shouldn't be the first priority we look for from our partners

and about test driving before....what if all the those you test don't match with you?
 
Mtoa mada acha mambo ya ajabu. Kama jina lenyewe linavyosema "NDOA" na hata tendo linavyoitwa "TENDO LA NDOA" hii inamaanisha kuwa bila ya tendo la ndoa hakuna ndoa. Kama tendo la ndio sio ndoa yenyewe basi vijana wangechukua Dada zao waishi nao..
wewe ndo unaamka saa hivi au una hangover?
 
naunga mkono hoja yako mkuu Eli79 na hata mimi nimekubaliana na hilo kwenye maelezo yangu,point yangu hapa ni kwamba halipaswi kuwa jambo kuu kiasi kusahau kuna mengi yanahusika zaidi ya hilo,kulifanya hilo kuwa jambo kuu kwenye ndoa ndiko kumechangia ndo nyingi kutuokuwa imara leo hii kwa kuwa mtu anaingia katika ndoa akijua ndoa ni tendo la ndoa tu
Kiongozi, Blue G tendo la ndoa ni jambo kuu, linapaswa kutiliwa mkazo na kufanyiwa kazi na wanandoa wote kwa pamoja. Upendo ndani ya ndoa hauwezi kutimilika bila kufurahishana kitandani, lazima mume na mke wote wawajibike ipasavyo kuhakikisha they please each other on bed, NI LAZIMA na sio hiari. Yote haya yanaenda sanjari na kuwajibika katika nyanja zingine ndani ya nyumba.
Trust me, usipofanya majukumu yako kitandani ipasavyo unaiharibu nyumba yako. Swali, je upo kwenye ndoa?
 
and about test driving before....what if all the those you test don't match with you?

Those I don't match with, should march on. And the search will continue. It ain't that complicated, you know?!
 
Kiongozi, Blue G tendo la ndoa ni jambo kuu, linapaswa kutiliwa mkazo na kufanyiwa kazi na wanandoa wote kwa pamoja. Upendo ndani ya ndoa hauwezi kutimilika bila kufurahishana kitandani, lazima mume na mke wote wawajibike ipasavyo kuhakikisha they please each other on bed, NI LAZIMA na sio hiari. Yote haya yanaenda sanjari na kuwajibika katika nyanja zingine ndani ya nyumba.
Trust me, usipofanya majukumu yako kitandani ipasavyo unaiharibu nyumba yako. Swali, je upo kwenye ndoa?
uko sawa kabisa mkuu Eli79 tendo hilo ni muhimu sana lakini halipaswi kutufanya mpaka tuhalalishe au tubadilishe mipangilio ambayo Mungu ameiweka just for the so called sex no,ni muhimu sawa lakini Mungu anasemaje kuhusu shake well before use?
 
Ukitaka kujua umuhimu wake ng'oa kikatio afu uone.
Kama ndoa haijafa.
 
Kiongozi, Blue G tendo la ndoa ni jambo kuu, linapaswa kutiliwa mkazo na kufanyiwa kazi na wanandoa wote kwa pamoja. Upendo ndani ya ndoa hauwezi kutimilika bila kufurahishana kitandani, lazima mume na mke wote wawajibike ipasavyo kuhakikisha they please each other on bed, NI LAZIMA na sio hiari. Yote haya yanaenda sanjari na kuwajibika katika nyanja zingine ndani ya nyumba.
Trust me, usipofanya majukumu yako kitandani ipasavyo unaiharibu nyumba yako. Swali, je upo kwenye ndoa?
Labda niulize maanake sipo kwenye ndoa,biologically umri unavyoenda ufanisi wa miili yetu unapungua ikiwemo ufanyaji wa tendo la ndoa. Je na upendo unapungua?
 
Ukitaka kujua umuhimu wake ng'oa kikatio afu uone.
Kama ndoa haijafa.
mkuu solvent ukisoma maelezo yangu kwa umakini pale juu utaona kuwa sijakataa kuwa ni muhimu point yangu ni kwamba lisipewe kipaumbele kiasi cha kuhalalisha uzinzi eti kisa tu tendo,after all hakuna aliyezaliwa ana ujuzi wa hali ya juu juu ya hilo tendo watu wanafundishana
 
Kiongozi, Blue G tendo la ndoa ni jambo kuu, linapaswa kutiliwa mkazo na kufanyiwa kazi na wanandoa wote kwa pamoja. Upendo ndani ya ndoa hauwezi kutimilika bila kufurahishana kitandani, lazima mume na mke wote wawajibike ipasavyo kuhakikisha they please each other on bed, NI LAZIMA na sio hiari. Yote haya yanaenda sanjari na kuwajibika katika nyanja zingine ndani ya nyumba.
Trust me, usipofanya majukumu yako kitandani ipasavyo unaiharibu nyumba yako. Swali, je upo kwenye ndoa?
nilisahau kujibu hili mkuu Eli79 sipo kwenye ndoa bado mkuu
 
Back
Top Bottom