Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naunga mkono hoja yako mkuu Eli79 na hata mimi nimekubaliana na hilo kwenye maelezo yangu,point yangu hapa ni kwamba halipaswi kuwa jambo kuu kiasi kusahau kuna mengi yanahusika zaidi ya hilo,kulifanya hilo kuwa jambo kuu kwenye ndoa ndiko kumechangia ndo nyingi kutuokuwa imara leo hii kwa kuwa mtu anaingia katika ndoa akijua ndoa ni tendo la ndoa tuNi kweli tendo la ndoa sio kila kitu ndani ya ndoa, lakini ndoa ambayo wanandoa hawashiriki au hawaridhishani kunako 6x6 ni ndoa mfu. Just that!!!!!
Amesema 'si kila kitu'.....yaani ndoa ni zaidi ya tendo sio kwamba kuna ndoa bila tendo la ndoa.Mtoa mada acha mambo ya ajabu. Kama jina lenyewe linavyosema "NDOA" na hata tendo linavyoitwa "TENDO LA NDOA" hii inamaanisha kuwa bila ya tendo la ndoa hakuna ndoa. Kama tendo la ndio sio ndoa yenyewe basi vijana wangechukua Dada zao waishi nao..
its true Paulo Sergio De Souz sex is important for the life of marriage but it shouldn't be the first priority we look for from our partnersNi kweli tendo la ndoa si kila kitu, ila ni moja ya mambo muhimu sana ili ndoa iwe. If sex is terrible, there won't be no marriage. That's why I believe in test-driving before making it black n' white, to save each other from unnecessary drama in case we are no match. She's gotta put her ring on it(figuratively), before I put a ring on it (literally).
wewe ndo unaamka saa hivi au una hangover?Mtoa mada acha mambo ya ajabu. Kama jina lenyewe linavyosema "NDOA" na hata tendo linavyoitwa "TENDO LA NDOA" hii inamaanisha kuwa bila ya tendo la ndoa hakuna ndoa. Kama tendo la ndio sio ndoa yenyewe basi vijana wangechukua Dada zao waishi nao..
Kwani wewe unaonaje ?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]wewe ndo unaamka saa hivi au una hangover?
Kiongozi, Blue G tendo la ndoa ni jambo kuu, linapaswa kutiliwa mkazo na kufanyiwa kazi na wanandoa wote kwa pamoja. Upendo ndani ya ndoa hauwezi kutimilika bila kufurahishana kitandani, lazima mume na mke wote wawajibike ipasavyo kuhakikisha they please each other on bed, NI LAZIMA na sio hiari. Yote haya yanaenda sanjari na kuwajibika katika nyanja zingine ndani ya nyumba.naunga mkono hoja yako mkuu Eli79 na hata mimi nimekubaliana na hilo kwenye maelezo yangu,point yangu hapa ni kwamba halipaswi kuwa jambo kuu kiasi kusahau kuna mengi yanahusika zaidi ya hilo,kulifanya hilo kuwa jambo kuu kwenye ndoa ndiko kumechangia ndo nyingi kutuokuwa imara leo hii kwa kuwa mtu anaingia katika ndoa akijua ndoa ni tendo la ndoa tu
sawa mkuu suit yourselfKwani wewe unaonaje ?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji481] [emoji144] [emoji144] [emoji481]sawa mkuu suit yourself
and about test driving before....what if all the those you test don't match with you?
uko sawa kabisa mkuu Eli79 tendo hilo ni muhimu sana lakini halipaswi kutufanya mpaka tuhalalishe au tubadilishe mipangilio ambayo Mungu ameiweka just for the so called sex no,ni muhimu sawa lakini Mungu anasemaje kuhusu shake well before use?Kiongozi, Blue G tendo la ndoa ni jambo kuu, linapaswa kutiliwa mkazo na kufanyiwa kazi na wanandoa wote kwa pamoja. Upendo ndani ya ndoa hauwezi kutimilika bila kufurahishana kitandani, lazima mume na mke wote wawajibike ipasavyo kuhakikisha they please each other on bed, NI LAZIMA na sio hiari. Yote haya yanaenda sanjari na kuwajibika katika nyanja zingine ndani ya nyumba.
Trust me, usipofanya majukumu yako kitandani ipasavyo unaiharibu nyumba yako. Swali, je upo kwenye ndoa?
Labda niulize maanake sipo kwenye ndoa,biologically umri unavyoenda ufanisi wa miili yetu unapungua ikiwemo ufanyaji wa tendo la ndoa. Je na upendo unapungua?Kiongozi, Blue G tendo la ndoa ni jambo kuu, linapaswa kutiliwa mkazo na kufanyiwa kazi na wanandoa wote kwa pamoja. Upendo ndani ya ndoa hauwezi kutimilika bila kufurahishana kitandani, lazima mume na mke wote wawajibike ipasavyo kuhakikisha they please each other on bed, NI LAZIMA na sio hiari. Yote haya yanaenda sanjari na kuwajibika katika nyanja zingine ndani ya nyumba.
Trust me, usipofanya majukumu yako kitandani ipasavyo unaiharibu nyumba yako. Swali, je upo kwenye ndoa?
I will ask you this simple question Paulo Sergio De Souz which quantity of men your woman had ever been with her whole life until she meets you will be okay with you?Those I don't match with, should march on. And the search will continue. It ain't that complicated, you know?!
mkuu solvent ukisoma maelezo yangu kwa umakini pale juu utaona kuwa sijakataa kuwa ni muhimu point yangu ni kwamba lisipewe kipaumbele kiasi cha kuhalalisha uzinzi eti kisa tu tendo,after all hakuna aliyezaliwa ana ujuzi wa hali ya juu juu ya hilo tendo watu wanafundishanaUkitaka kujua umuhimu wake ng'oa kikatio afu uone.
Kama ndoa haijafa.
nilisahau kujibu hili mkuu Eli79 sipo kwenye ndoa bado mkuuKiongozi, Blue G tendo la ndoa ni jambo kuu, linapaswa kutiliwa mkazo na kufanyiwa kazi na wanandoa wote kwa pamoja. Upendo ndani ya ndoa hauwezi kutimilika bila kufurahishana kitandani, lazima mume na mke wote wawajibike ipasavyo kuhakikisha they please each other on bed, NI LAZIMA na sio hiari. Yote haya yanaenda sanjari na kuwajibika katika nyanja zingine ndani ya nyumba.
Trust me, usipofanya majukumu yako kitandani ipasavyo unaiharibu nyumba yako. Swali, je upo kwenye ndoa?