toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Hivyo vitu ni muhimu sana aisee kama ilivyomuhimu kwa mwanaume kujua,Itakuwa wanajiandaa kufungua chuo Cha veta😀
Ndugu zetu wenye asili ya kihindi hata siku moja hawapeleki home eti fundi kufanya kaz hizi ndogo ndogo, wanapenda sana kujitegemea kwa vitu vidogo vidogo waliowengi niliokutana naoHapana sio yangu nimeitoa maktaba ila nina mpango niwe full equipped
Haswa ukiwa na watoto wadogo tofauti na apo umakini unahitajika mnoYes ila kuwa makini dawa ni sumu
Umakini wa kutumia vyombo vinavyotumia umeme unatakiwa, epuka sakafu yako kuwa na unyevu nyevu ama wewe binafsi kuwa na mikono iliyoloa utumiapo vifaa hivyo. Ili hayo yasitokee hakikisha nyumba yako ina protection switch gears na zinafanya kazi ipasavyoUshawah pigwa shoti ya umeme kwenye bomba la maji (hasa wale wanaoishi nyumba za kizamani) ushawah pigwa shot na bilika la maji? Watua ukiwa na tester unaweza jua bilika la maji lina umeme au laaah, taa haiwaki au socket ya umeme au extension ya umeme haipitishi umeme cha kwanza kabla ya kwenda nunua nyingine unatest kwa tester, unatest kwenye fuse kabla na baada ya fuse bas utajua kumbe ni fuse au line haina umeme, utanunua taa mpya kumbe shida sio taa
Sijajua kwa kweli maana sijui hata likoje likoje nasikiaga tu story zakeHahahaha,aiseee, ilo jiwe la nyoka huwa linafanya kazi kweli????
Haya ndio maelezo niliyokua nayahitaji ya kwamba kuwa na tester hakukuhakikishii kutatua changamoto endapo huna idea ya umemeSasa mzee hii ni mada nyingine, circuit breaker ikiwa ina trip cha kwanza zima kila kitu na chomoa kila kitu ambacho kimeunganishwa kwenye umeme isipotrip jua moja ya kifaa kina short circuit, iki trip jua mfumo wako wa umeme una short so mwite fundi aje na kifaa flan cha kutafuta short/leakage
Tester haina lazima uwe na idea na umeme bwana, kuwa na tester kwako inaonesha unajali, umeme ulipohuwezi uhisi wala kuuona kwa macho kale ka tester ka sh 4000 kana weza kukuokoaHaya ndio maelezo niliyokua nayahitaji ya kwamba kuwa na tester hakukuhakikishii kutatua changamoto endapo huna idea ya umeme
Niliwahi kununua taa(bulb) mpya nikizani ndio tatizo kumbe haikuwa hivyo.Ushawah pigwa shoti ya umeme kwenye bomba la maji (hasa wale wanaoishi nyumba za kizamani) ushawah pigwa shot na bilika la maji? Watua ukiwa na tester unaweza jua bilika la maji lina umeme au laaah, taa haiwaki au socket ya umeme au extension ya umeme haipitishi umeme cha kwanza kabla ya kwenda nunua nyingine unatest kwa tester, unatest kwenye fuse kabla na baada ya fuse bas utajua kumbe ni fuse au line haina umeme, utanunua taa mpya kumbe shida sio taa
Mkuki muhimu mtu kazi,wezi wakianza kuvunja mlango au kukata dirisha unampelekea nao wa kichwaHahahahahah! umeniongezea kazi, mkuki tena...!! ila jamaniii
Siri nyingi zetu tunaziacha stationery maana huwa hazifutwi, mimi huwa najitahidi kuhakikisha zimefutwa ingali niko pale ndipo niondokeHivyo vitu ni muhimu sana aisee kama ilivyomuhimu kwa mwanaume kujua,
1.ufund magari kidogo
2.plumbing kidogo
3.umeme kidogo
4.kupaka rangi kidogo
5.ufundi compyuta kidogo
Kuna vitu technical ukivijua kazi ndogo ndogo za nyumbani sio lazima uite watu... And nimekumbuka lazima uwe na printer na computer sio hata document zako za siri unaenda kuprint stationery ni upuuz... Alafu vitu vingi alivyotaja jamaa gharama yake haizid laki mbili...
Vijijini ndio dawa yao hiyo na huwa linasaidia sana.Hahahaha,aiseee, ilo jiwe la nyoka huwa linafanya kazi kweli????
Kuna aliyerecommend kuwa na mguu wa kuku ndani ndio kiboko ya weziMkuki muhimu mtu kazi,wezi wakianza kuvunja mlango au kukata dirisha unampelekea nao wa kichwa
Siyo force ni false mkuuKwa sera ya afya ya tanzania, rapid test ambayo mtu anaweza ji test nayo ni ile ya kutumia mate tu, hizi zingine zinatakiwa kutumiwa na mtaalamu wa afya tu, tumia at your own risk, usisahau kuna forced positive na forces negative, imagine unampima ikasoma neg kumbe ni positive