Kwa wanawake wote wanaotupenda wanaume tusio na kitu

Mkuu sio lazima itokee.Haiko guaranteed ila katika harakat za tajadhari tu ni muhim kujipanga.
Huo ulioongea ndio uhalisia mkuu na ndio yanayotokea kila siku. Hivyo hata haina haja ya kuupulizia acha iume hivyo hivyo.
 
Huo ulioongea ndio uhalisia mkuu na ndio yanayotokea kila siku. Hivyo hata haina haja ya kuupulizia acha iume hivyo hivyo.
Basi nisamehewe bure kwa niaba ya wote wanaohusika
 
Basi nisamehewe bure kwa niaba ya wote wanaohusika
Inasemekana mwanaume asipokuwa na pesa anaoa mwanamke alie kwenye uwezo wake, ambae hatompasua kichwa. Akizipata sasa ndio anatafuta yule alietamani kumuoa ili atumbue nae. Mke anabaki wa kulia na Mungu.
 
Ni hali ngumu kidgo kudate na mtu asiye na pesa,mfano huwa nawaza nadate vipi na man hana gari tukitoka me ndo nampakia namdrop kwake yani sema nini jaman tafuteni pesa
 

Amen mkuu! Kuna baraka kwa Mume anayetambua na kuthamini kwa vitendo mchango wa mkewe, uzidi kubarikiwa sana.
 
Tutawavumilia msijali na tunashukuru...... Ila mkija fanikiwa mkatuona sisi sio type yenu, ndipo mtakapojua kwanini nyoka hana miguu........ Sikuhizi hakuna kumwachia Mungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inasemekana mwanaume asipokuwa na pesa anaoa mwanamke alie kwenye uwezo wake, ambae hatompasua kichwa. Akizipata sasa ndio anatafuta yule alietamani kumuoa ili atumbue nae. Mke anabaki wa kulia na Mungu.
Sad..sad...sad...
Sio wote lakin
 
"asanteni wanawake ambao mpo tayari kuaibika kisa wapenzi zenu asanteni"

Hapo mimi siwezi kufanya
Uwii kwahio beiby huwezi kudharauliwa tukipambania maisha yetu kama wapenzi? Wewe utanitosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…