Wewe hautaki..kupitia hicho kikombe "!?Endeleeni kubarikiwa wanawake wenzangu
Amen mkuu! Kuna baraka kwa Mume anayetambua na kuthamini kwa vitendo mchango wa mkewe, uzidi kubarikiwa sana.
Wewe hautaki..kupitia hicho kikombe "!?
Hahaaaha kweli jf raha sana."asanteni wanawake ambao mpo tayari kuaibika kisa wapenzi zenu asanteni"
Hapo mimi siwezi kufanya
sawaTutaona
kuna watu washatamani wangekua mke wako,ulivyosema suprise xmass umewavurugaπSeriously am proud of ma wife. .she supported me whenever I needed her assistance.
She changed me alot mpaka ndugu zangu wananishangaa sikuhizi.
Alinikubali Kipindi sina kitu akanivumilia kwa hali yoyote
Alinifariji sana nilipokata tamaa
Mungu si jf nashukuru kwa hatua tuliyofikia sasa nina uwezo wa kumuhudumia yeye na mwanetu yote ni kwa uvumilivu baraka na ushauri wake.
Nina mpango wa kimsuprize Christmas hii na mungu atujalie afya furaha amani tele na maisha marefu
Hapa ni mitihani kweli kweli....!!!!ππ π"Nothing confuses a woman, when she loves a broke man who is extremely good in bed"
Wengi wapo hivyoaaaah saint sio wote bwana...
ana raha sana na ana bahati sana Aje aone comment ya mke wake huku "bichwa limpasuke"Barikiwa sana Mkuu!
Huwa naamini hao walonazo nao walitafuta kwa bidii wakazipata!
Na mimi nitasimama na babe wangu jamaani, tuzitafute mpaka tuzipate!!
Tubarikiwe sote Mkuuana raha sana na ana bahati sana Aje aone comment ya mke wake huku "bichwa limpasuke"
barikiwa sana mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]wadada waangalie watu wa kudate nao.Washindwe na walegee na wasifanikiwe ila hapana
tukiomba wasifanikiwe,kuna hawa wapenzi zao watabaki na mateso
Tuombeje eti hapa anne?