kuna watu washatamani wangekua mke wako,ulivyosema suprise xmass umewavuruga😛
Asee mkuu usimuache huyo mwanamke,Yupo kwenye ile list kwenye kumi "hakosi mmoja"
Huyo ndio mmoja mwenyewe sasa...Hongera sana.
Utakuja kumkumbuka wakati huo ameshaolewa. Hilo linanitesa wakati kama huu ninapohitaji kuoa. Nawakumbuka wale walionipenda bila kujali status yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo mchumba wang kwnitumia hela (TH...) na anajua Nina kazi sio kwamba Sina hela!
Ajabu Sasa mm ndo kwanza sijali (simjali wala kumpenda kihivyo)
Chihano mbwawe, mwivihi uko...Longa mbwawe
Kabisa kabisa tushikamane💪👫Barikiwa sana Mkuu!
Huwa naamini hao walonazo nao walitafuta kwa bidii wakazipata!
Na mimi nitasimama na babe wangu jamaani, tuzitafute mpaka tuzipate!!
AimennnKabisa kabisa tushikamane[emoji123][emoji127]
Naamini siku moja nitakununulia ile gari unayoipendaga. Napambana kikubwa uzima sijakatika mikono😀Aimennn
Haleeluyaa!!!Naamini siku moja nitakununulia ile gari unayoipendaga. Napambana kikubwa uzima sijakatika mikono[emoji3]
😟Hua naumia basi tu unavyopata shida kudamka kuwahi usafiri mtoto mzuri kama ww. Najihisi nina hatia juu yako.Haleeluyaa!!!
Na Mungu akutangulie kila iitwapo leo dear, asikupungukie daima!! Naamini ipo siku nitaacha kuning'inia kwenye mabomba ya daladala!!
Usijali kabisaa jamani!! Siku yetu ikifika tununua na sisi Usafiri wetu! Kuwa na amani kabisaa my dear!![emoji45]Hua naumia basi tu unavyopata shida kudamka kuwahi usafiri mtoto mzuri kama ww. Najihisi nina hatia juu yako.
Hakika mimi ni mshindi tayari, nayaamini maneno yako.Usijali kabisaa jamani!! Siku yetu ikifika tununua na sisi Usafiri wetu! Kuwa na amani kabisaa my dear!!
Tu washindi dear! Zamu yetu iko karibu sana jamani!! Nakuombea Mungu ukuwe na afya tele!Hakika mimi ni mshindi tayari, nayaamini maneno yako.
Unazidi kunitia Moto dear.Tu washindi dear! Zamu yetu iko karibu sana jamani!! Nakuombea Mungu ukuwe na afya tele!
Na furaha yangu kukuona ukiwa happy! Pambana babaa, karibu tutafika!Unazidi kunitia Moto dear.
Chihano mbwawe, mwivihi uko...
men sound dope dig it.."I ain't sayin' she a gold digger
But she ain't messin' with no broke niggas"
Naimba tu jamani.....
Hapa ni mitihani kweli kweli....!!!![emoji23][emoji28][emoji23]