Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


Jang hyuk yupo ndani!! Kazi itakuwa ya moto, pia nahisi episode chache si km zaman episode 50 mpk 200
 
Nakushauri ukipata muda itafute Hwangjin ipo mjini YouTube( HD) absolutely she's a versatile actress.
 
Ila mimi ndio maana huwa nachukia spoilers na najitahidi kuziepuka kwa gharama yoyote. Nipo naangalia Mouse, drama inayosifiwa na kila mtu anayeiangalia...hata na wale wasio mashabiki wa K-drama ila kwangu mimi siilewi wala. Kwa sababu nilishajua kuwa officer Jung ndio serial killer kwa hiyo ile excitement ya kufuatilia tukio kwa tukio haipo kabisa.
 
Endelea kufatilia.
 
Upo sehemu ya ngapi tupeane hamasa maana nina zaidi ya mwezi sijaichek kutokana na kumjua adui mkuu halafu nimehisi ameonewa sana
 
Kuna dogo anaitwa okita soji ,anapiga panga vizuri kishenzi.

kwa list yangu ya wakali wa panga katika movie hiyo :

1. okita soji
2.Serizawa kamo ( mzee wa bangi)
3.Hajime
4.Hijikata Toshizo
5. Isami kondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…