Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Dah ila nusu albino a.k.a kubwa la manusu una visa .Hudhuria vikao utaipata.
Kuna huyu lofa Intelligent businessman kaona nachat na shem wangu mzuri binti kiziwi afikishe salam za valentine day, kaona awaambie wale modizi wafunge uzi 😅
Nimeutoa maana uzi wako woote kisa huu mtazamo. Kama ulilelewa na single maza unge declare interests mapema kabla huja compromise uzi wako kwa mtazamo huu ambao wanaume tunauona ni wakijingaKama una maugomvi na mama Yako peleka huko kwenye familia Yako na mama Yako. Anaanza mama anafata mama anafata mama alafu anakuja baba kama humpendi mama Yako kwa sababu zako basi Fanya Yako
Mweupe ni wangu, huyo mweusi ni WA Half american kwa vile yeye ni nusu albino.Tena kuna mweupe na mweusi, kila mtu atapata!
😊 Alelele Dada harusi natamba.
Pombe haiombi pesa wala haikufanyi utengane na wazazi tena mama yangu akitaka kunipiga pesa ananipigia weekend ,akijua nimelewa lile vibe la tungi najikuta namtumia pesa nyingi tu, na ninamwongezea nyingine na yeye atulize koromeo.Sio wanawake Tu,jumuisha anasa zote yaani pombe, wanawake na kamari.
Hiyo vitu ni Adui mkubwa Sana kwa mwanaume yeyote.
Tufanyeni anasa kwa kiasi ili tusije wasahau familia zetu
Mama si anahudumiwa na mume wake a.k.a Baba? Mnatunyanyapaa sana baba zenu.Miongoni mwa watu ambao wanatakiwa kula hela Yako ni wazazi wako hasa mama.
Ila kama utaendekeza wanawake basi nguvu yote itaishia kwa wanawake.
We chagua chagua ukose shauri yakoMweupe ni wangu, huyo mweusi ni WA Half american kwa vile yeye ni nusu albino.
siku waki pata mtoto ata kuwa mchina ka si mjapani😂🤣
Hela hukosimimi ni raisi wa chama Cha ma jobless pro max, hizo hela za kuhonga natoa wapi😂😂
natolea wapi ewe nusu albino 😆 😂Hela hukosi
nimesha maliza, jiandae uka tambulishe😂😂We chagua chagua ukose shauri yako
Kwanini mama zaidiiiiMiongoni mwa watu ambao wanatakiwa kula hela Yako ni wazazi wako hasa mama.
Ila kama utaendekeza wanawake basi nguvu yote itaishia kwa wanawake.
Mkuu umeandika fact.Nani Kama mama ni agenda ya kishetani, ili watu wasichukue baraka Toka kwa baba zao.
baba ndiye aliyebeba baraka za mtoto rejea kisa Cha Isaka na watoto wake kwenye biblia.
Ni huyo kashafanya yake namjua vizuriAfu kweli uzi umefungwa why? Kweli JF kuna “wakuu” wakisema uzi ufungwe ni shwaa!
SijuiAu mtoa mada kasha jiua?
nusu albino nusu albino nusu albino nime kuita mara tatu.Ni huyo kashafanya yake namjua vizuri
Acheni ujinga wa kulazimisha kuwageza wazungu, wale mifumo yao ya kiuchumi tayari ipo well organized tofauti na hapa kwetu.KWANI NIMEKUZUIA KUONA SACRIFICE ZA BABA YAKO?
HALAFU KWANINI MNADHANI KUSAIDIA NYUMBANI NI JAMBO LA LAZIMA?
WATU WENYE AKILI,HUWEKA AKIBA KWA AJILI YA WATOTO,ILA WAPUUZI HULEA WATOTO KWA AJILI YA KUJA KUSAIDIWA WAKIKUA.
UNAPOSEMA WEWE UNAMPA BABA HELA MARA MBILI KULIKO MAMA NAKUSANGAA SANA,INGEBIDI YEYE NDIO AKUPE MALI YA WEWE KUIRITHI NA KUIENDESHA ILI UKIMPA CHOCHOTE KIWE NI FAIDA ZA URITHI ALIOKUPA.
MSIDANGANYANE ELIMU SIO URITHI.
Kwa nini hasa mama mkuu?Miongoni mwa watu ambao wanatakiwa kula hela Yako ni wazazi wako hasa mama.
Ila kama utaendekeza wanawake basi nguvu yote itaishia kwa wanawake.
HUU NI UJINGA.Acheni ujinga wa kulazimisha kuwageza wazungu, wale mifumo yao ya kiuchumi tayari ipo well organized tofauti na hapa kwetu.
Afrika inaeleweka kabisa mtoto unapambaniwa kusomeshwa ili utakapofanikiwa kutoboa uwainue utakawaacha nyumbani, na katika hayo mapambano baba ndie main character.
Hata kama wazazi wana hali nzuri lazima ulipe fadhira kwa vizawadi vya hapa na pale, vile vile ujue utakua na jukumu la kuwatunza katika uzee wao
Mimi baba angu financialy yupo fresh tu lakini ninaporudi home lazima nibebe chochote kama shukrani last time nimeenda home niliwapelekea wazee smart tv.
Kibongo bongo kutoboa kunatokana bahati sio mfumo. Ni kawaida kukutana wazazi wanafika kwenye umri wa uzee wakiwa hawana cha kuwarithisha watoto wao.HUU NI UJINGA.
ENDELEENI KUJIDANGANYA KUWAPA WATOTO MALI NAE NI KUWAIGA WAZUNGU.