Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Rais Samia mimi binafsi mfanya biashara kutoka sekta binafsi nakupongeza sana hasa katika ukusanyaji wa kodi bila kutumia mabavu.
Tunakumbuka tulikotoka.
TRA walikuwa miungu watu.
Tena zilikuwepo TASK FORCE ambazo zilikuwa zina terrorize wafanya biashara.
Akaunti hela zinachotwa bila kibali cha mwenye biashara.
Watu wakaanza kutoweka amana zao benki.
Bahati mbaya watu ni wepesi sana kusahau.
Biashara zilifungwa kwa kasi
Wageni wengi walifungasha virago, matokeo yake hata leo tunayaona, kuna ofisi zilifungwa hazijafunguliwa hadi leo.
Zilikuwepo foleni kubwa tu ofisi za TRA kwa wafanya biashara kufunga akainti ili kukwepa usumbufu na bughudha zilizokuwa zinakera.
Leo bila vurugu wala nini TRA inakusanya mapato kwa wingi zaidi kwa ushirikiano na wafanyabiashara katika sekta binafsi.
Mazingira yote haya kayweka mama Samia.
Tulikumbuke hili watanzania, tulikotoka kama sekta binafsi hakukuwa kuzuri sana.
HONGERA MAMA SAMIA.