Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
mabasi ya CCMVipi matumizi ya hizo kodi?
Waulize wabunge.Vipi matumizi ya hizo kodi?
Jibu swali acha kurukaruka wewe si umeamua kusifia kukusanya kodi?Waulize wabunge.
Halafu maishani tujifunze, mada za maenbe ongea juu ya maembe, ukianza kusifia mafenesi katika mada za maembe unaonekana awkward!
mav8, goli la mama, vikundi vya machawa.Vipi matumizi ya hizo kodi?
hatari sn mkuumav8, goli la mama, vikundi vya machawa.
Ongezeko tu la mishahara ni tumizi kubwa kuliko Matumizi yote, kuongeza hadi 20% ya mishahara na annual increment kurudiSha kwa wafanyakazi wa Uma ni jambo kubwa.Vipi matumizi ya hizo kodi?
Umeielewa mada yangu au unataka tuongelee mada yako?Jibu swali acha kurukaruka wewe si umeamua kusifia kukusanya kodi?
kazi na utu tusonge mbele pamoja kujenga take taifa moja gentleman 💪👊Rais Samia mimi binafsi mfanya biashara kutoka sekta binafsi nakupongeza sana hasa katika ukusanyaji wa kodi bila kutumia mabavu.
Tunakumbuka tulikotoka.
TRA walikuwa miungu watu.
Tena zilikuwepo TASK FORCE ambazo zilikuwa zina terrorize wafanya biashara.
Akaunti hela zinachotwa bila kibali cha mwenye biashara.
Watu wakaanza kutoweka amana zao benki.
Bahati mbaya watu ni wepesi sana kusahau.
Biashara zilifungwa kwa kasi
Wageni wengi walifungasha virago, matokeo yake hata leo tunayaona, kuna ofisi zilifungwa hazijafunguliwa hadi leo.
Zilikuwepo foleni kubwa tu ofisi za TRA kwa wafanya biashara kufunga akainti ili kukwepa usumbufu na bughudha zilizokuwa zinakera.
Leo bila vurugu wala nini TRA inakusanya mapato kwa wingi zaidi kwa ushirikiano na wafanyabiashara katika sekta binafsi.
Mazingira yote haya kayweka mama Samia.
Tulikumbuke hili watanzania, tulikotoka kama sekta binafsi hakukuwa kuzuri sana.
HONGERA MAMA SAMIA.
hayo majamaa wamekalia roho mbaya na wivu wa kike… Benjamin nyetanyahu ako Kama demu siamini mwanaume anaweza akawa na tabia za kimama Kama izo.Umeielewa mada yangu au unataka tuongelee mada yako?
Soma tena kichwa cha habari, nyinyi ndo mnaishia kupigwa supplement kwenye mitihani kwa kujibu usichoulizwa.
Wewe ni mfanyabiashara?Leo bila vurugu wala nini TRA inakusanya mapato kwa wingi zaidi kwa ushirikiano na wafanyabiashara katika sekta binafsi.
Mazingira yote haya kayweka mama Samia.
Tulikumbuke hili watanzania, tulikotoka kama sekta binafsi hakukuwa kuzuri sana.
Mjasiriamali wa kujitegemeaWewe ni mfanyabiashara?
Hahahaaaaa!Waulize wabunge.
Halafu maishani tujifunze, mada za maenbe ongea juu ya maembe, ukianza kusifia mafenesi katika mada za maembe unaonekana awkward!