Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

Aisee huu ni zaidi ya upofu!
hahahhahahahaaaaaaa wajua haya majungu...ni kichekesho tu kwangu - naongeza muda wa kuishi kwa dunia!!!
usipate presha kipenzi changu sosoliso
 
Last edited by a moderator:
Hana lolote mahabuba wangu Paloma huyu.. Tupange mipango yetu ya kwenda mbugani..

....poa poa...ngoja nimalize kuivisha lile boga na kale kasungura kalikovunjika mguu si unajua nimekachinja leo...sasa ndo nakachoma hapa uje ulumangie na maboga sosoliso wangu!!!
 
Last edited by a moderator:
dah hata ndoa bado mmeanza kula maboga Paloma hela yoooote anayokupa sosoliso wako umeamua
kupeleka kwenye vikoba loh.

....poa poa...ngoja nimalize kuivisha lile boga na kale kasungura kalikovunjika mguu si unajua nimekachinja leo...sasa ndo nakachoma hapa uje ulumangie na maboga sosoliso wangu!!!
 
Last edited by a moderator:
Hilo gari kama litakwenda leo tupo hapa tafadhali Paloma watu watafikiri una uza vyuma chakavu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…