Kwako Nape, umeona hela ya mkopo aliyokula Hayati Dkt. Magufuli?

Hajakuelewa nazani
 
Kwa kweli magu sikumkubali sana lakini kwa hawa waliopo ni bora magu mara mia hebu fikiria hata mwaka haujaisha tumeshapigwa tozo bado tena tumesha anza kuona tatizo la kukatika umeme hivyo hovyo haya ni mazingira ya kuturudisha kununua majenereta kama awamu zile za wapiga dili hatujakaa sawa nasikia tena habari ya mgao wa maji itabidi tununue masimtank ya kutosha hatuna namna sasa wenye nchi yao wameishika ni mwendo wa dili tu mpaka tunyooke
 
Mm kinachonoshangaza wakati hizo pesa anazodai zlikopwa na matumizi yake hayafahamiki wao kama wawakilisho wa wananchi walikuwa wanafanyaje au zilitumika hovyo wakiwa wap hawa huwa hawatabiliki kabisa
 
Wizi mtupu
 
Wacha kumsingizia mwendazake. Mwendazake hakuwahi kukopa.

Yote uliyoorodhesha hapo tulikuwa tukitumia pesa zetu wenyewe!
 
Ni simple sanaa..
Tatizo la Nape ni kwamba hakuhusishwa kwenye hayo mabilioni, alitaka apewe mchongo na yeye, sasa ameamua kuyatoa ya rohoni, lilimuuma sanaa!!
 
Kwani Mpango anasema je?
 
Wacha kumsingizia mwendazake. Mwendazake hakuwahi kukopa.

Yote uliyoorodhesha hapo tulikuwa tukitumia pesa zetu wenyewe!
Mwendazake hakuwai kwenda huko IMF wala WORLD BANK, hatuna taarifa za wazili wake wa fedha kwenda huko pia!! Hizo hela zilikopwa na nan? Au wajomba walikuja wenyewe na hizo hela Tanzania
 
Mwendazake hakuwai kwenda huko IMF wala WORLD BANK, hatuna taarifa za wazili wake wa fedha kwenda huko pia!! Hizo hela zilikopwa na nan? Au wajomba walikuja wenyewe na hizo hela Tanzania

Mleta mada anasema walikopa na miradi anaonyesha.

Huku ni kumkosea sana marehemu.

Ninakazia: Marehemu hakukopa!
 
Mwendazake hakuwai kwenda huko IMF wala WORLD BANK, hatuna taarifa za wazili wake wa fedha kwenda huko pia!! Hizo hela zilikopwa na nan? Au wajomba walikuja wenyewe na hizo hela Tanzania
hahahaa
 
Mleta mada anasema walikopa na miradi anaonyesha.

Huku ni kumkosea sana marehemu.

Ninakazia: Marehemu hakukopa!
Mm pia nina wasi wasi na hizi taarifa za mkopo!! Kwa jinsi alivokua anawasema vibaya kuwa ni mabeberu hadharani na nia zao mbaya alivokua akizitaja waziwazi!!
Nakumbuka alisema mbele za umma kuwa hizo hela walizotaka kuwakopesha mataifa maskini ili ziwasaidie kwenye corona kuwa kama wanania ya dhati na kuisaidia Africa bas hizo hela wapunguze deni la taifa na si kutuongezea madeni zaidi!!
Leo wanasema alikopa? Nani alikopa hizo hela?
 
Mkopaji alikuwa huyo huyo. Akitaka kuonyesha kuwa yeye alikuwa gwiji kuliko hata Nyerere. Nia Mitano mingine.

Alikuwa mwongo sana huyu jamaa.
 
Mwenda zake lilikuwa jizi na katili lisilofata hata katiba ya Tz, lilikuwa linyarwanda
Mwendazake hakuwai kwenda huko IMF wala WORLD BANK, hatuna taarifa za wazili wake wa fedha kwenda huko pia!! Hizo hela zilikopwa na nan? Au wajomba walikuja wenyewe na hizo hela Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…