Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Lengo la ziara zake huwa ni kujua matatizo ya Askari, kama hamumwambii, hilo si tatizo lake ni tatizo lenu. Pia inaonekana ule utaratibu wa nidhamu jeshini siku hizi hauzingatiwa sana.Igp analishwa anashiba hawezi kutupambania
Sema tu wahisika wa magereza watachukua na kuyafanyia kaziMagereza .....
Ngoja nisiendelee
Hakuna wasichojua ila hawako tiyari kuwasemea wengine wanahisi watanyanganywa madarakaLengo la ziara zake huwa ni kujua matatizo ya Askari, kama hamumwambii, hilo si tatizo lake ni tatizo lenu. Pia inaonekana ule utaratibu wa nidhamu jeshini siku hizi hauzingatiwa sana.
Kupokonywa madaraka siyo kweli. Ila kama ndani ya Jeshi la Polisi ile nidhamu ya Kijeshi ingekuwa bado ipo, nafasi ya kujadili hatima ya Askari ingekuwepo. Maana kama mtu akitoa hoja inayowakera wakubwa basi anahamishiwa vituo vya pembezoni kama adhabu, basi nidhamu ya kijeshi inapotea na inabaki tabia ya kujipendekeza.Hakuna wasichojua ila hawako tiyari kuwasemea wengine wanahisi watanyanganywa madaraka
Huyo insp.hajitambui maana alitakiwa ampleke mashitaka huyo Askari mtovu wa nidhamuKwanza Ombi lenyewe limechelewa, maana Bajeti imeshachelewa. Lakini inaonesha ni jinsi gani woga ulivyojaa kwenye jamii yetu ya Kitanzania. Anapokuja IGP ni kwa nini huwa h
Kupokonywa madaraka siyo kweli. Ila kama ndani ya Jeshi la Polisi ile nidhamu ya Kijeshi ingekuwa bado ipo, nafasi ya kujadili hatima ya Askari ingekuwepo. Maana kama mtu akitoa hoja inayowakera wakubwa basi anahamishiwa vituo vya pembezoni kama adhabu, basi nidhamu ya kijeshi inapotea na inabaki tabia ya kujipendekeza.
Siku moja nilikuta Kopro mmoja wa Polisi anamwitwa Inspekta wa Polisi "Oyaa vipi?" nilishangaa sana!!
amumwambia hayo m
Wangejua hilo wangeshika adabu. Ona wanavyo wafanyia wapinzani wa CCM wakati hao ndio wamekuwa mstari wa mbele kutetea maslahi yao.Hacheni uonevu nanyi hamtoonewa
Labda ni "mshikaji" wake. Ndiyo nasema nidhamu ya Kijeshi kwenye Jeshi la Polisi imeshuka sana. Sheria na taratibu nyingi sana za kuendesha Jeshi la Polisi hazifuatwi kama ilivyokuwa zamani.Huyo insp.hajitambui maana alitakiwa ampleke mashitaka huyo Askari mtovu wa nidhamu
Katika hili nawatetea sana. Kama umewahi kwenda kwenye usahili wa vijana wanaotakiwa kujiunga kwenye Polisi na Magereza, utanielewa. Huwa inakuwa ni "Option" ya mwisho kabisa baada ya kijana kukosa ajira kwingineko. Na kama nilivyosema hata huko kuajiriwa siku hizi, pia imekuwa si kitu rahisi.Shida ya polisi na magereza hawajitambui
Pole Sana mlinda amani,umetia aibu Sana kuleta madhaifu yenu adharani kwa umma,hii itafanya muonekane mnanjaaa,kitu Cha kufanya hao wakubwa zenu wakiwatembelea mtengeneze matamasha tofauti ili kuelezea hisia zenu wakati mwingine tumieni lugha ya utani kufikisha ujumbe,I hope watawasikia
Sasa ukisema hapa ndio utasaidiwa njaa itoke,kwani sheria zenu zinakataza kuulizia maslahi yenu???Njaa tunazo kweli sasa kwanini tufiche
Sasa kinachokuuma ni nini dadaSasa ukisema hapa ndio utasaidiwa njaa itoke,kwani sheria zenu zinakataza kuulizia maslahi yenu???
Kwani ninyi si mnafundishwa kuwa na mamlaka kwa raia,kwani huyo unaemwomba hapa Ni afande mwenzio kaka?Sasa kinachokuuma ni nini dada
Dah! SikuelewiKwani ninyi si mnafundishwa kuwa na mamlaka kwa raia,kwani huyo unaemwomba hapa Ni afande mwenzio kaka?
Waache wawasilishe uongozi utasoma utayafanyia KaziKwani ninyi si mnafundishwa kuwa na mamlaka kwa raia,kwani huyo unaemwomba hapa Ni afande mwenzio kaka?
Nini hujaelewa?Dah! Sikuelewi
Sasa atapataje feedback suala lake limefanyiwa kazi au watajibiana hapa hapa mtandaoni???Waache wawasilishe uongozi utasoma utayafanyia Kazi
Jukwaa huru hili
Kazini kwake ataona tu mabadiliko MkuuSasa atapataje feedback suala lake limefanyiwa kazi au watajibiana hapa hapa mtandaoni???