Kwaiyo Mkuu wanaishi wastani wa miaka mingapi baada ya kustaafu ndiyo hufa?Ndio maana wakitoka kazini baada kustaafu hufa mapema kupenda bure ni kwingi mno
Walimu ambao hawana posho yoyote zaidi ya posho za walimu wakuu tunasemaje?Maana wenzetu wanazungumza kupandishwa wakati walimu hawana hata moja na wote ni watumishiRais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .
Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa.
1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa ambapo posho hizo zinaliwa na wajanja wachache wizarani na ndani ya majeshi yetu, ifanyike kama inavyonyika JWTZ
2. Posho ya chakula ipandishwe kutoka 10,000 per day Hadi 15,000 per day kwa sababu gharama za maisha zimepanda hasa vyakula kutokana na wakulima kupandisha bei baada ya serikali yako tukufu kuwaruhusu nje ya nchi ili nao wafaidi matunda ya jasho lao, tunaomba posho hiyo iwe 450,000 kwa mwezi.
3. Posho ya pango (ngome) alipwe kila Askari kama ilivyo JWTZ ili Askari warekebishe nyumba chakavu wanazoishi kambini.
Rais madai yetu ni ya muda mrefu sana lakini yamekuwa yanadhibitiwa na viongozi wetu ndani ya majeshi yetu au wizarani kwa manufaa yao wenyewe.
Aidha tunakuomba utuondoe utumishi na utupeleke mfuko maalumu (consolidated fund) maana sheria zetu haziendani na utumishi.
Rais tunajua unayo mambo mengi ya kufanya lakini tunaomba uyaangalie mambo hayo kwa huruma na upendo ili kuboresha maslahi ya Askari wako. Kama unavyoelewa askari hana chama cha kumtetea bali chama chake ni wewe Rais hivyo ndivyo tunavyofundishwaga mafunzoni.
Tunakutakia afya njema mama, bajeti hii tunaomba utufikirie kwa mambo hayo kadhaa tuliyoyaainisha hapo juu.
Tunakusalimu kwa jina la jamhuri tukufu ya muungano wa Tanzania.
Akina nani hao,kama ni polisi hao njaa tupu nilishika simu ya mdogo wangu(askari polisi) niliona jinsi jamaa wanavyolalama kwenye makundi yao ya whatsapp inaonesha polisi wengi wana stress kuhusu maslahi basi tu hawasemi.Wewe utakuwa askari magereza, ila Hawa wengine kwa mapande wanayokula hawawezi hata kukumbuka mishahara!
Umeandika Kwa uchungu sana. Rais DR. SSH Msikivu sana atalifanyia kazi na kuja na suluhu ya kudumu. MUNGU AKUBARIKI NA KUKULINDA [emoji120]Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .
Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa.
1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa ambapo posho hizo zinaliwa na wajanja wachache wizarani na ndani ya majeshi yetu, ifanyike kama inavyonyika JWTZ
2. Posho ya chakula ipandishwe kutoka 10,000 per day Hadi 15,000 per day kwa sababu gharama za maisha zimepanda hasa vyakula kutokana na wakulima kupandisha bei baada ya serikali yako tukufu kuwaruhusu nje ya nchi ili nao wafaidi matunda ya jasho lao, tunaomba posho hiyo iwe 450,000 kwa mwezi.
3. Posho ya pango (ngome) alipwe kila Askari kama ilivyo JWTZ ili Askari warekebishe nyumba chakavu wanazoishi kambini.
Rais madai yetu ni ya muda mrefu sana lakini yamekuwa yanadhibitiwa na viongozi wetu ndani ya majeshi yetu au wizarani kwa manufaa yao wenyewe.
Aidha tunakuomba utuondoe utumishi na utupeleke mfuko maalumu (consolidated fund) maana sheria zetu haziendani na utumishi.
Rais tunajua unayo mambo mengi ya kufanya lakini tunaomba uyaangalie mambo hayo kwa huruma na upendo ili kuboresha maslahi ya Askari wako. Kama unavyoelewa askari hana chama cha kumtetea bali chama chake ni wewe Rais hivyo ndivyo tunavyofundishwaga mafunzoni.
Tunakutakia afya njema mama, bajeti hii tunaomba utufikirie kwa mambo hayo kadhaa tuliyoyaainisha hapo juu.
Tunakusalimu kwa jina la jamhuri tukufu ya muungano wa Tanzania.
Kuhusu namba 3 Posho ya Pango,sikubaliani na hoja yako!!,Askari waishio Kambini wanatakiwa wakatwe asilimia fulani kwenye mishahara wao ili ziweze kusaidia kukarabati nyumba kila baada ya muda fulani,Ila Askari wanaoishi nje ya kambi ndio walipwe Posho ya Pango!!Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .
Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa.
1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa ambapo posho hizo zinaliwa na wajanja wachache wizarani na ndani ya majeshi yetu, ifanyike kama inavyonyika JWTZ
2. Posho ya chakula ipandishwe kutoka 10,000 per day Hadi 15,000 per day kwa sababu gharama za maisha zimepanda hasa vyakula kutokana na wakulima kupandisha bei baada ya serikali yako tukufu kuwaruhusu nje ya nchi ili nao wafaidi matunda ya jasho lao, tunaomba posho hiyo iwe 450,000 kwa mwezi.
3. Posho ya pango (ngome) alipwe kila Askari kama ilivyo JWTZ ili Askari warekebishe nyumba chakavu wanazoishi kambini.
Rais madai yetu ni ya muda mrefu sana lakini yamekuwa yanadhibitiwa na viongozi wetu ndani ya majeshi yetu au wizarani kwa manufaa yao wenyewe.
Aidha tunakuomba utuondoe utumishi na utupeleke mfuko maalumu (consolidated fund) maana sheria zetu haziendani na utumishi.
Rais tunajua unayo mambo mengi ya kufanya lakini tunaomba uyaangalie mambo hayo kwa huruma na upendo ili kuboresha maslahi ya Askari wako. Kama unavyoelewa askari hana chama cha kumtetea bali chama chake ni wewe Rais hivyo ndivyo tunavyofundishwaga mafunzoni.
Tunakutakia afya njema mama, bajeti hii tunaomba utufikirie kwa mambo hayo kadhaa tuliyoyaainisha hapo juu.
Tunakusalimu kwa jina la jamhuri tukufu ya muungano wa Tanzania.
Pamoja na rushwa zote mnazokula mnataka nyongeza..... mnaonea watu mnatesa watu ... bado mnataka nyogezaa....Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .
Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa.
1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa ambapo posho hizo zinaliwa na wajanja wachache wizarani na ndani ya majeshi yetu, ifanyike kama inavyonyika JWTZ
2. Posho ya chakula ipandishwe kutoka 10,000 per day Hadi 15,000 per day kwa sababu gharama za maisha zimepanda hasa vyakula kutokana na wakulima kupandisha bei baada ya serikali yako tukufu kuwaruhusu nje ya nchi ili nao wafaidi matunda ya jasho lao, tunaomba posho hiyo iwe 450,000 kwa mwezi.
3. Posho ya pango (ngome) alipwe kila Askari kama ilivyo JWTZ ili Askari warekebishe nyumba chakavu wanazoishi kambini.
Rais madai yetu ni ya muda mrefu sana lakini yamekuwa yanadhibitiwa na viongozi wetu ndani ya majeshi yetu au wizarani kwa manufaa yao wenyewe.
Aidha tunakuomba utuondoe utumishi na utupeleke mfuko maalumu (consolidated fund) maana sheria zetu haziendani na utumishi.
Rais tunajua unayo mambo mengi ya kufanya lakini tunaomba uyaangalie mambo hayo kwa huruma na upendo ili kuboresha maslahi ya Askari wako. Kama unavyoelewa askari hana chama cha kumtetea bali chama chake ni wewe Rais hivyo ndivyo tunavyofundishwaga mafunzoni.
Tunakutakia afya njema mama, bajeti hii tunaomba utufikirie kwa mambo hayo kadhaa tuliyoyaainisha hapo juu.
Tunakusalimu kwa jina la jamhuri tukufu ya muungano wa Tanzania.
Akina nani ambao hawajaenda Msumbiji!Kwanini mnapenda kufanana kimaslahi na JWTZ wakati nyie mna majukumu tofauti na wao basi ombeni mshirikiane kwenye majukumu yao mpelekwe Msumbiji mkawatoe magaidi
Acha kutuchukulia kawaida sisi walimu kudhihirisha hilo:mwalimu kila miaka 3 anapanda daraja na leo hii linganisha kikokotoo cha mwalimu na askari ndio utajua mwalimu ni baba leo.Im so proud of my work[emoji4]Si heri nyie ata mna posho ya chakula 10K per day, bado kuna posho ya vinywaji, na vlevle kuna virushwa vya hapa na pale je ndugu WALIMU wasemeje wao!!??
Yan unazungumzia mamb ya kustaafu huko miaka 60 na vikokotoo, kwahyo n sawa mwalim kuteseka katika ujana wake wote kisa tuu akistaafu atakuja kuwa na ya kustaafia ndefu,,, kiuhalisia pamoja na kuwa mwalim anaweza kuw juu kidogo kimshahara lkn maaskari wao wana posho nyingi mno na bado kuna Vikaz vng vya hela mara eskort, n.k,, ila kwny ualim hakuna cha semina wala posho zozte zle., ata tuition tu za kupata mia mbili pia zmefutwa na kupigwa marufuku.Acha kutuchukulia kawaida sisi walimu kudhihirisha hilo:mwalimu kila miaka 3 anapanda daraja na leo hii linganisha kikokotoo cha mwalimu na askari ndio utajua mwalimu ni baba leo.Im so proud of my work[emoji4]
Yani aache kuwapa madaktari na manesi wanaoteseka, hawalipwi hivyo vyote, nyie madhulmat, watesi, wala rushwa ndio muongezewe? Watu wapo barabarani kwanza skuizi mna magari tena mazuri, koma kabisa.Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .
Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa.
1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa ambapo posho hizo zinaliwa na wajanja wachache wizarani na ndani ya majeshi yetu, ifanyike kama inavyonyika JWTZ
2. Posho ya chakula ipandishwe kutoka 10,000 per day Hadi 15,000 per day kwa sababu gharama za maisha zimepanda hasa vyakula kutokana na wakulima kupandisha bei baada ya serikali yako tukufu kuwaruhusu nje ya nchi ili nao wafaidi matunda ya jasho lao, tunaomba posho hiyo iwe 450,000 kwa mwezi.
3. Posho ya pango (ngome) alipwe kila Askari kama ilivyo JWTZ ili Askari warekebishe nyumba chakavu wanazoishi kambini.
Rais madai yetu ni ya muda mrefu sana lakini yamekuwa yanadhibitiwa na viongozi wetu ndani ya majeshi yetu au wizarani kwa manufaa yao wenyewe.
Aidha tunakuomba utuondoe utumishi na utupeleke mfuko maalumu (consolidated fund) maana sheria zetu haziendani na utumishi.
Rais tunajua unayo mambo mengi ya kufanya lakini tunaomba uyaangalie mambo hayo kwa huruma na upendo ili kuboresha maslahi ya Askari wako. Kama unavyoelewa askari hana chama cha kumtetea bali chama chake ni wewe Rais hivyo ndivyo tunavyofundishwaga mafunzoni.
Tunakutakia afya njema mama, bajeti hii tunaomba utufikirie kwa mambo hayo kadhaa tuliyoyaainisha hapo juu.
Tunakusalimu kwa jina la jamhuri tukufu ya muungano wa Tanzania.
Ila kati ya askari wote .hawa magereza wana maisha ya ajabu sanaa kuanzia kotazi zao hadi wao wenyewe dohWewe utakuwa askari magereza, ila Hawa wengine kwa mapande wanayokula hawawezi hata kukumbuka mishahara!
Mna njaa mpaka kwenye kucha mnazidiwa na askari koplo tu.Acha kutuchukulia kawaida sisi walimu kudhihirisha hilo:mwalimu kila miaka 3 anapanda daraja na leo hii linganisha kikokotoo cha mwalimu na askari ndio utajua mwalimu ni baba leo.Im so proud of my work[emoji4]
Wanakopeaga hizo wananunua vigari kusumbua wanawake za watuUnaombwa kulipwa 450k kama posho ya chakula wakat ndo take home ya mwl flan huko wewe ukilalamika na walimu wafanye Nini? Mama wanyime wanataka vya bure wavivu Hawa .
Kwani huoni hata biashara ufanye 450k unataka kama posho je na vijana walio mtaani kipato hata Cha laki 2 Kwa mwezi hawana wafanyaje acha uvivu huwezi kupata financial freedom Kwa ajira
Hata Magereza juzi wameng'oa nanga kwenda CongoAkina nani ambao hawajaenda Msumbiji!
Dogo langu polisi alivuka mpaka hadi Msumbiji karudi juzi tu.Halafu mwezii huu niliona polisi kadhaa wakiagwa wanaenda mission Congo.Kazi zao wote hawa naona ni sawa tu maana wote wanarisk maisha.