Kwani kazi ya Maria Sarungi Nairobi Ilikuwa ni nini? Na nani alikuwa anamlipa

Sio kila MTU lazima alipwe, wengine ni wanaharakati kuhakikisha majizi yaliyopo serikalini yanajulikana na kufungwa,
Mandela, Steve Biko, Chris han, walikuwa wanalipwa na nani wakati wanapambana na apartheid ya South ya South Afrika,!
 
Angefuatilia historia ya yaliyotokea kwa Mcghee na Uncle Thom (Lugangira) 1983 walivyobadilishwa kirahisi na akina Ochuka😀
HUko mwaka 1983 ni mbali sana, just mwaka jana tu, yaani 2024. Kiiza Besgye kaalikwa Nairobi, watu wamemuibukia room, wakamchukua, anakuja kustuka tayari yupo korokoroni nchini Uganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…