JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Sio kila MTU lazima alipwe, wengine ni wanaharakati kuhakikisha majizi yaliyopo serikalini yanajulikana na kufungwa,View attachment 3199909
Tunamuombea apatikane akiwa salama. Lakini naomba nijibiwe maswali haya:-
1. Kwa zaidi ya miaka 2 sasa amekuwa anaishi Nairobi huku akaunti zake za mitandao ya Kijamii zikishambulia mambo ya Serikali. Je ni nani anamlipa kwa kazi hiyo?
2. Ameweza kuwachukua na kuwatafutia makazi vijana maarufu kwa kuishambulia Serikali kama Sativa, Hilda Newton na Tito Magoti. Je nao wanalipwa na nani?
3. Kwanini alidhania Nairobi ni mahali pepesi kwa kufanyia harakati kama hizo?
Mandela, Steve Biko, Chris han, walikuwa wanalipwa na nani wakati wanapambana na apartheid ya South ya South Afrika,!