Kwani Kikwete alikuwa anatumia mbinu gani kuiongoza nchi? Ajira zilikuwa kila mahala

Aliyeitibua na kukoroga hiii nchi ni Magufuli kwa kuwaaminisha watu kuwa na roho mbaya dhidi ya aliyenacho. Imagine alifuta watu Zaidi ya 13,000 kazi bila replacement. Zaidi ya miaka minne graduates kama 50 elfu hawajaajiriwa.... Magufuli was a country's mess.... Tushukuru Samia alikuta nchi ikiwa na hali mbaya haswa kwa sekta ya ajira. Afadhali kwa Sasa watu waajiriwa.
Hukitambui huna akili
 
Hakujawahi kuwa na ajira hewa tanzania ndo mana samia kawarudisha wote baada ya kuona ilikuw ni uzushi
Huu si ukweli.
Kawarudisha wote?
Kina nani?
Ajira hewa inarudishwaje?

Yale yalikuwa majina tu ya kupigia hela so waliyatoa kwenye system.

Je, hayo majina yamerudishwa ili wale waliokuwa wanafaidi mishahara ya bure waendelee kuifaidi?
 
Kipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya choice tu.

Kipindi cha JK mpaka wazazi walikuwa wanawahimiza watoto wasomee ama ualimu au udaktari kwani ajira zipo za uhakika.

Sasa alipokuja yule bwana (jpm) akaharibu utaratibu ule wa kuajiri watu wote wa kada hizo akaanza kudokoa dokoa mara mwaka huu tunaajiri elf 100 au elfu 200 maana uchumi ni mbovu.

Kwa kweli tulipmaliza kipindi hiko tunakukumbuka sana JK acha hawa waliomaliza miaka ya 2000 wasikuchukulie poa maana hawakujui.
Magufuri hakustahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yeye alifaa kuongoza DRC na Rwanda.
Ajira labda kwenye ukoo wenu. JK aliongoza Nchi vibaya hadi 2015 CCM ilikuwa inachungulia kaburi na mwakani tutaona uchaguzi kama wa 2015. Nakushauri tu siku zinavyokwenda ajira zitazidi kupungua, dunia inaelekea kwenye robotics kwahiyo hizi kazi ambazo siyo za kisayansi kwa mtazamo wangu ni literallly servitude zitapotea na labda itabidi serikali iwe inawapa watu pesa kwa kuwa hai.
Hii taarifa yako ni ya uongo.
 
Huu si ukweli.
Kawarudisha wote?
Kina nani?
Ajira hewa inarudishwaje?

Yale yalikuwa majina tu ya kupigia hela so waliyatoa kwenye system.

Je, hayo majina yamerudishwa ili wale waliokuwa wanafaidi mishahara ya bure waendelee kuifaidi?
Hakujawahi kuwa na kitu kama hicho kinachoitwa hewa. Ndo maana waandishi wa habari walikuwa hawaruhusiwi kumhoji kwa lolote. Aliongoza nchi kwa fix nyingi ka.a alivyotupiga fix etu kuna mtu alikuwa analipwa mil 7 kwa dakika hajawahi kujulikana mpaka leo
 
Kipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya choice tu.

Kipindi cha JK mpaka wazazi walikuwa wanawahimiza watoto wasomee ama ualimu au udaktari kwani ajira zipo za uhakika.

Sasa alipokuja yule bwana (jpm) akaharibu utaratibu ule wa kuajiri watu wote wa kada hizo akaanza kudokoa dokoa mara mwaka huu tunaajiri elf 100 au elfu 200 maana uchumi ni mbovu.

Kwa kweli tulipmaliza kipindi hiko tunakukumbuka sana JK acha hawa waliomaliza miaka ya 2000 wasikuchukulie poa maana hawakujui.
Hili suala tumelijadili kijiweni majuzi tu.Huyo aliyeitwa mwizi ndie aliyewaajiri maelfu ya vijana
 
Huu si ukweli.
Kawarudisha wote?
Kina nani?
Ajira hewa inarudishwaje?

Yale yalikuwa majina tu ya kupigia hela so waliyatoa kwenye system.

Je, hayo majina yamerudishwa ili wale waliokuwa wanafaidi mishahara ya bure waendelee kuifaidi?
Hii taarifa yako ni ya uongo.
 
Unasemaje? Ni kipindi gani uchumi ulikuwa stable kama kipindi cha jk? Stability ya uchumi ni imports na exports ziwe balanced. Kipindi cha jk mpaka akina obama na jiping walikuja kuangalia fursa tanzani. Jpm alivuta madictator wenzake tu akina kagame na museni
Hakuna kitu kinachoitwa kwa uchumi wa nchi ya Tanzania Export ikabalance Import mathalani katika uongozi wa Kikwete, Trade deficity gepu liliongezeka kutokana na maendeleo yaliokuwa yakifanyika nchini, lakini hata hivyo haikumaanisha uchumi ulikuwa stable kipindi cha Maguful8 na Kikwete labda utakuwa huna data na ukp shallow kwenye uchumi.
Chukulia rate ya kuajiri ya Kikwete ingendelezwa na Magufuli hali ya uchumi ingekuwaje
 
Reflection ilikuwa na ajira kila koma ya nchi. Achana na takwimu hewa hizo
 
We ni poyoyo.

Maendele ni

C +I+G+ (x-m). Vyote hivi vinategemea ajira ya mtu mmoja mmoja. Kama.ajira hamna vyote hivyo vinaenda chini na kusalisha wakimbizi kama sudani kusini regardless kuwa na miundo mbinu mizuri sana
Wacha upumbavu maendeleo yanapatikanaje kama umeajiri mijitu mipumbavu isiyo weza kuwa na tija kazini ....sisi wengine ni wafanya biashara tunajua maana ya kuajiri na mfanyakazi ...nilazima huwe na wafanyakazi konki ili uweze kupata tija ya kiuchumi.
 
Serikali ipo kwa welfare maximization not necessarily profit maximization
 
Wacha upumbavu maendeleo yanapatikanaje kama umeajiri mijitu mipumbavu isiyo weza kuwa na tija kazini ....sisi wengine ni wafanya biashara tunajua maana ya kuajiri na mfanyakazi ...nilazima huwe na wafanyakazi konki ili uweze kupata tija ya kiuchumi.
Akina Makonda siyo.
 
Mtoto wa mjini huwa hashindwi kitu.
Yule ni bingwa wa siasa,fitna na mwanadiplomadia nguli kuwahi kutokea nchini
Ana kiwanja chake mbinguni

Tuliosomeshwa na kuajiriwa kipindi cha JK tuanzishe harambee tumjengee sanamu pale Chalinze
Usipo tuliza akili unaweza jibu haraka kuwa wahitimu wana ongezeka lakini ukweli ni kwamba JPM alisha badili ule utaratibu hata ukiangalia kipindi cha JK walimu waliongezewa mishahara kila mwaka ……. Itoshe tu kusema chura kiziwi anaupiga mwingi
 
Reflection ilikuwa na ajira kila koma ya nchi. Achana na takwimu hewa hizo
Uchumi unaendana na wakati mkuu , labda kukuelewesha katika kipindi cha Kikwete wahitimu walikuwa wachache sana na waliendana na spidi yetu ya ukuaji wa uchumi... mfano mzuri tu ni kwamba shule zilikuwa zikijengwa kwa wingi na Zahanati na vutuo vya Afya ambako kulihitajika wafanyakazi ....Pili kikwete alikuwa akisaini mikataba mingi ya Kisela ambayo ilitengeneza Money influx ya kuweza kuajiri watu wengi huku akiwa hana Miradi mikubwa alioanzisha inayohitaji hela nyingi ... Upande wa Magufuli alihitaji hela nyingi kwenye miradi ambayo mingine ilifanikiwa na mingine ikafeli kitu kilichopelekea kukosekana kwa balansi.Ni staili tu za uongozi lakini haimaanishi kulikuwa na maendeleo.
Alichokosea Magufuli ni kuchukua kodi kinguvu huku akitaja malimbikizo ya Kodi yalipwe kwa wakati mmoja na hili lilipelekea biashara nyingi kufungwa , Lakini swali nani alitengeneza tatizo hili la biashara kulimbikiza madeni ya kodi , utagundua ni Kikwete.
Nchi haiwezi kuendelea ikiwa misamaha ya kodi ni kila mahala huku ni kudidimiza uchumi.
 
Uchumi unaendana na wakati mkuu , labda kukuelewesha katika kipindi cha Kikwete wahitimu walikuwa wachache sana na waliendana na spidi yetu ya ukuaji wa uchumi... mfano mzuri tu ni kwamba shule zilikuwa zikijengwa kwa wingi na Zahanati na vutuo vya Afya ambako kulihitajika wafanyakazi ....Pili kikwete alikuwa akisaini mikataba mingi ya Kisela ambayo ilitengeneza Money influx ya kuweza kuajiri watu wengi huku akiwa hana Miradi mikubwa alioanzisha inayohitaji hela nyingi ... Upande wa Magufuli alihitaji hela nyingi kwenye miradi ambayo mingine ilifanikiwa na mingine ikafeli kitu kilichopelekea kukosekana kwa balansi.Ni staili tu za uongozi lakini haimaanishi kulikuwa na maendeleo.
Alichokosea Magufuli ni kuchukua kodi kinguvu huku akitaja malimbikizo ya Kodi yalipwe kwa wakati mmoja na hili lilipelekea biashara nyingi kufungwa , Lakini swali nani alitengeneza tatizo hili la biashara kukimbikiza kodi , utagundua ni Kikwete.
Nchi haiwezi kuendelea ikiwa misamaha ya kodi ni kila mahala huku ni kudidimiza uchumi.
Which is better now amongst kikwete's influx of money and jpm's lack of liquidity everywhere
 
Back
Top Bottom