Kwani Makonda alitenda dhambi ngapi? Mbona anataka kuombewa na kila mtu?

Tulia bwana. Muache Kiongozi wetu shupavu apate upako wa viongozi wetu wa dini. Anajitafuta baraka zaidi na zaidi. Kwa maombezi yao, uKatibu Mkuu anao.
Hakuna upako bila kufanya toba ya kweli. Na toba ya kweli, kwanza ni kuwapigia magoti uliowadhulumu, ndipo uende nyumbani mwa bwana kuupata utakaso. Vinginevyo, anavyozidi kuwafool viongozi wa dini, anazidi kuchota laana badala ya baraka.
 
Kwani we kila unapoombewa dua unakuwa umetenda dhambi? Kwamba ukienda masjid au kanisani we ni mdhambi? Hivi vibonzo utavipata ufipa tu.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Kumbe wewe huelewi kabisa maswala ya dini. Hivi unadhani tunaenda kanisani kufanya nini?

Wakristo wakatoliki kabla ya chochote, tunaanza na sala ya kuomba toba kwa Mungu kwa vile sisi siyo watakatifu. Ndiyo maana miongoni mwa maneno tunayoyatamka ni, "kwani nimekosa mimi nimekosa sana, kwa mawazo, kwa maneno, kwa matendo na kwa kutotimiza wajibu. Kwa hiyo lengo letu la kwanza ni kuomba toba kwa Mungu. Na hiyo inatakiwa kuwa imetanguliwa na kumwomba msamaha binadamu mwenzako uliyemkosea.

Siamini kama huyu ndugu yetu huwa anaenda kwa hao viongpzi wa dini kwenda kuomba msamaha. Bali anafanya hila.
 
Anapata upako kabla ya ziara ya nyanda za juu kusini kama nawaona Chadema mtakavyopotezwa na digital wenu feki😁
 
Damu za watu alioua zinamtesa. Na bado ataanza kutembea uchi na lile sambwanda sipati picha
 

Kwani wewe dini moja na Huyu Mheshimiwa? Unamiliki mpaka maisha yake na kiroho na kisiasa? We ni Chadema. Demokrasia na maendeleo. Je unaheshimu uhuru na nafasi ya Wenzako? Je huna sera za kumwagia watu kuhusu Chama chako?

Normally Hakuna mtu timamu, tajiri na mfia Chadema Kama wewe angeweza poteza muda wake na resources kumwandika mtu who is a non entity katika mada zake. Why unahangaika sana mkuu. Unajua kuna love -hate relationship. Unatuthibitishia hapa Kwa maandiko yako. Hulali, unaandika sana kuhusu makonda kiasi hata Sisi wengine hatujui tena Kama Mheshimiwa Mbowe yupo. Nani Katibu mwenezi wa CHadema. Je Jana na juzi na majuzi alikuwa wapi?

Wadau mpeni namba ya Mheshimiwa Mwenezi wa CCM apunguze jakamoyo la mahaba yake Hata kwa kusikia sauti. Mahaba ya kishabiki. Hongera kwa kuwa katibu muhtasi wa mwenezi.

Mwisho KUMBUKA huyu ni mwanasiasa na Kama Kikwete alimwona na kumpa nafasi ujue Ana uzoefu katika Siasa za Bongo. Hujui hata mazingira yatokanayo. Usimpangie Labda Kama utachange status yako.
 
Amini Mungu kivyako, usiamini huyo ndugu na wengine waonaoamini Mungu kivyao....

Utajipoteza mwenyewe kwa kujihesabia haki, kuhukumu wengine na kumkufuru Mungu si sawa....
Heshimu uhuru wa kuabudu wa wengine nawe utaheshimiwa otherwise you are willing kusababisha fujo za kidini
 
Makonda anawakosesha usingizi. Chama chenu kimekosa mwelekeo mmebaki kudandia vitukio. Mwenzenu zitoo anachanja mbuga nyie mmebaki kujifariji eti Chama kikuu Cha upinzani. Zilipindwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…