Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukataliwa ni mfumo wa maisha wa kukupeleka njia nyingine tofauti, Hata tumbo la mama lilikukataa mama akapatwa na uchungu.Utoto raha.
Imagine hili ni tatizo la kumsumbua mtu kichwa
Ushauri wangu, zoea kukataliwa. Ukiweza kuhandle kukataliwa with grace maisha yako yatakuwa ya amani sana
Genz wapo Wapi . Kuwa dalali tu wewe mkuu, tunaewa Ila tunataka mabadilikowe bado hujajua mambo yanavyoenda. Siku ukija kujua utakuwa ushakuwa dalali na ulisoma sheria.
Kabisa . Umesema Sanaa bro . Wangekuepo watu 10 Kama wewe wanaosimamia ukweli Tanzania ingefika mbali . Watu wamejaa wivu na ubinafsi tuUsifananishe ubepari na upumbavu , huu unaoendelea nchini ni upumbavu na ukosefu wa maadili , kukosa maadili si mpaka uwe kahaba au mwizi tu ,bali hata tabia za kutojali na kuendekeza hongo + nepotism Kwa kila kitu ni ukosefu wa maadili
Ni kweliKukataliwa ni mfumo wa maisha wa kukupeleka njia nyingine tofauti, Hata tumbo la mama lilikukataa mama akapatwa na uchungu.
kabisa Nimeona kwa macho liveKomaa tu kutafuta field sehemu nyingine hata mahakama ya mwanzoni nenda kajifunze. Ila umepata funzo kama field tu kupata imekuwa changamoto ndo uelewe upatikanaji wa ajira ulivyo mgumu
Unaposema nchini, unamaanisha nchi nyingine haya mambo hayapo?Usifananishe ubepari na upumbavu , huu unaoendelea nchini ni upumbavu na ukosefu wa maadili , kukosa maadili si mpaka uwe kahaba au mwizi tu ,bali hata tabia za kutojali na kuendekeza hongo + nepotism Kwa kila kitu ni ukosefu wa maadili
Be blessed brother ✅🫶🏾Pole sana ila rafiki mwanafunzi.wa sheria hawezi kufanya kazi yoyote ya inayohusu taaluma ya sheria hata aki graduate (haya ni matokeo ya sheria yetu).
Angalau aliepo law school pale anaweza kufikiriwa kuwa anajua impact ya kuzingua kwenye kazi za sheria na kiasi anajua majukumu ya wakili na ya legal officer.
Ila yote haya ni matokeo ya kimfumo, hayapendezi ila ndio yashakuwa ivyo tayari.
Pole sana mdogo wangu.
Nakushauri tafuta law firm uji attach nayo kama legal intern, mimi nilifanya ivyo enzi nasoma na wale ma bro walinisaodia sana thoigh sikuwa nafanya kazi yoyote zaidi ya kwenda kutafuta waku hold brief Mahakamani ila ilinipa uzoefu na elimu kubwa sana.
Be blessed brother ✅🫶🏾15 people are here
Active
Pole Sana mkuu Brilliant Beauty na nakuomba Sana USIJE KUKATA TAMAA kwa ni safari yako ya maisha ndio inaanza na jua fika humu ndani kuna vichwa vishavurugwa vitazidi kukukatisha tamaa badala ya kukusaidia
JF ya sasa sio kama ya ZAMANI.
NB: Mwenye kuweza kumsaidia amsaidie dadayetu hakika Mungu atambariki.
Nawatakia utekelezaji mwema
Sasa ww unashangaa hilo wakati hata kupata nafasi ya chuo tu connection inahusika.Twende taratibu bro Amna mtu mjinga wala mtoto Hapa wote tunaelewa .. kwani connection ata kwa kazi za kujifunza ..?
Ni kweli kabisa kaka .Haya mambo ya taaluma bhana omba sana njia unazopita ukutane na seniors wenye upendo na wanao feel proud mwingine kujifunza kupitia wao......Wengi wao ht hiyo field ukipata utaishia kutumwa karatasi na vitafunwa.
Mungu akubariki sana Mh.Langau pale shy DC those good days ni Moja ya watu wenye upendo sana wanaofeel proud kumtrain mtu katika Sheria afike viwango kama vyao.Wengi wao ni wabinafsi sana
mabadiliko hayapatikani kwenye keyboard.Genz wapo Wapi . Kuwa dalali tu wewe mkuu, tunaewa Ila tunataka mabadiliko
Tulia tumabadiliko hayapatikani kwenye keyboard.
Upo sahihi pia. Mkoani field ni chapu Ila sisi wa huku huku town ni shida SanaaLakin sambamba na hilo Wanafunzi wa sasa mna kauzembe sana. Vyuo vingi vinatoa barua za Field Miez kadhaa kabla ya Field ili kuwapa nafas wanafunzi kutuma sehem mbalimbali Lakin wengi hamfanyi hivyo mnakaa nazo magetoni wakat ungeweza kuscan na kutumtumia mtu hata kama yuko mkoa wa mbali akakusaidia kufikisha sehem unayotaka kifanyia hiyo Field.
Nina vijana kadha toka chuo flan hapo Dsm walipopewa barua za Field tuu mwezi wa 3 Wakanitumia huk mkoan na kuomba niwasambazie taasisi husika. Nilifanya hivyo na karibia taasisi zote ziliwajibu kwa wakat kuwa maombi yao ya Field yamekubaliwa.
Chuo hicho hicho Kundi lingine ambalo kwa namna flan naona ni wazembe. Ndio wanakuja na barua baada ya Vyuo kufungwa wako busy kutafuta Field, Kila sehem wakienda wanaambiwa nafasi zimejaa hivyo hawawez kupokelewa. Uki wasikia sasa hao madogo wanavyomind ni sawa na huyu mtoa Mada.
Mwisho taasisi inayojielewa haiwez kuchukua tuu idadi ya wanafunzi wengi kuzid na uwezo inaoweza kuhimir ndio maan wanaowah kutuma maombi ndio hupokelewa
Sawa mkuuKweli ww n half American ndo maana ata mambo Haya huyafeel kwanza hayakuhusu