Mkuu nna demu jamani demj anadeka yule khaaa yaani mpaka kero sasa.
ππππ kias.. Kilakitu kiasHayana fomula mapenzi kama waya tu, we chomeka chomeka utakapokubali ndio hapo hapo kesho tena unachomoa na kuchomeka chomeka.....ukijifanya kuwa mtii sana kuna ladha anakosa anakukimbia anaenda kusaka viswaswadu
mwezi mmoja ushaanza kuja namaswali haya?utatoboa kweli?Ina mwez mmoja mkuu
Wake zenu,siyo wapenz wala wachumba.....wake zenu yaan
Amani ndiyo Nuru ya mafanikio kwa MTU yeyote awe mwanaume au mwanamke...
Amani humpa nguvu mwanaume ya kuweza kupambana kutafuta pesa kwa ajili ya familia yake ....Nyumba ikikosa amani tendo halifanyiki...nguvu za kiume hupungua(stress)....Nyumba inakuwa kama jengo la Mahakama waingia kwa kunyata,kimahesabu.
Sasa kwa kuwa ndani hamueleweki...kila siku kusifia michepuko,kusifia mahousegirl...kusifia viuno vya wanaume wenzenu....wake zenu mnataka tuwatendee nn.....ili tulipambanie life mpaka tufanikiwe pamoja na watoto wetu.(Tulie kivulini)
Soma bible na uieleweTokeni magetoni mkatafute pesa wote tule Kwa jasho hatukuwaowa Kwa lengo la mbususu tu
Mwanaume anadekezwa kwa vyakula, mahaba, uvumilivu, unyenyekevu na kikubwa kabisa ni MAOMBI NA SIO NDUMBA, KIBURI WALA GUBUSiwezagi kabisa aisee....ngoja nijifunze
Umesikika, kwanza huna sauti zaidi ya hiiπ€£Heri ya Mwaka Mpya kwako pia Eroni...
Ni hivi...Ni nini Mwanaume(Aliyeoa) akifanyiwa na Mke wake kinampa Amani?
Nimesikika? Au niongeze sauti?[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umesikika, kwanza huna sauti zaidi ya hii[emoji1787]
Vingi sana, sijajua mleta mada alinuia kwenye angle ipi ya maisha, misosi, MISOSI[emoji1787], heshima nk sijui alitaka tuongelee nini.
Sasa alimaanisha nini mleta mada, hem nifafanulie Maki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi sawa...
Vya chumbani havisemwagi hadharani..
Kwanini mfupi? Wewe ni mrefu?Mi napenda mwanamke (charming mwenye uanamke(kitabia),mfupi,mnene,mweusi, awe submissive, mcha Mungu, akili kidogo ya maisha, anaeniheshimu, most important anidekeze(Kama mtoto mdogo)) akiwa hivyo nichepuke yanini walai kumchoka siwezi ntampa hata bank account yangu(ambayo situmii) yaani wanawake wa hivi ndo wenyewe sasa β€οΈ
Halafu awe shikamooooooooooo mwaaaaaa......liiiiiiiiii....immmmmmmKwanini mfupi? Wewe ni mrefu?
ππππ yaan wewe huwezekaniki aiseeYani ye akisifia mchepuko, We msifie rafik ake kipenzi.
Akimsifia mwanaume mwenzie anajua kuzungusha we mwambie kaka ako ana kifua kizuri jamani yalaaaah.
Mwisho wa siku unamalizia na kumsifia mchungaji au sheikh wa kanisa lake alf unamwambia week ijayo ntamsifia ba mkwe wangu.
Wanawake wafupi wapo very feminine yaani sijui hata kwann nawapendaKwanini mfupi? Wewe ni mrefu?