Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Wewe wacha porojo njoo huku znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua hujui kua Kuna sheria au hakuna karibu znz
 
Wewe wacha porojo njoo znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua hujui kama wana mamlaka au hawana karibu znz
 
Hapa umeeleza vizuri mkuu nimekuelewa. Kwa hiyo tunahitimisha wanachofanya Zenji ni uhuni wa watu wenye mihemko na wala si rejea ya uislamu.
 
Tukiwaambia hawana akili wanakataa
ushauri wangu kwa kua watu weusi wana akili nusu, sheria za kijinga kama hizo hazipaswi kuwepo. kwanini? kwa sababu kwa akili fupi za watu weusi na hasa za watu baadhi wa visiwani ukichangia na mihemko ya dini bila reasoning, watakamatwa watu hata kama wanakula kwenye kibanda cha mama lishe na wameweka pazia kwa lengo la kutokula hadharani.
au nadanganya mkuu?
 
Hapa umeeleza vizuri mkuu nimekuelewa. Kwa hiyo tunahitimisha wanachofanya Zenji ni uhuni wa watu wenye mihemko na wala si rejea ya uislamu.
Exactly πŸ’―,Funga ni ibada ya kujizuia kula,kunywa, sex na chochote kinachoweza kukuondoa kwenye ibada hiyo kuanzia mwanzo wa alfajir hadi kuzama Kwa jua,na mwenye uhakika kabisa kuwa mja kafunga ni mola pekeyake, sababu huenda MTU akaenda kujifungia chumbani pekeyake kisiri na kula chakula au kunywa maji,nani anaweza jua?

So,MTU akila mbele yako na ili Hali wewe umefunga unakwazika Nini,kama umeshindwa basi SI ule uifungue funga yako,ni uelewa finyu tuh wa dini,uislam ni dini ya logic,na hata kama MTU ni muislam na hataki kufunga na kaamua kula iweje umlazimishe asile,kwani hiyo ibada ya funga malipo anatoa mwanadamu au Mungu mwenyewe,hakuna kulazimishana kwenye dini,kila MTU atakuwa responsible Kwa matendo yake mwenyewe.
 
Pambaf kabisa hawa kenge iko siku watajua uzuri na umuhimu wa muungano
 
Wewe wacha porojo njoo znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua hujui kama wana mamlaka au hawana karibu znz
πŸ”Ή Kama mnaona ni haki kuwanyanyasa watu kwa Imani ya dini ya mwarabu basi dunia nayo ifurahie Waislam wanavyouawa kule India ambayo inajinadibu kuwa majority ni WA Hindu hivyo uki practice Imani nyingine unauawa? Muwe mnatumia hata sehemu ndogo ya UBONGO kufikiri. Ua kule Ireland ambayo ni nchi ya Kikristu wapite mtaani kuwapiga wageni wanaokula nyama Leo siku ya ijumaa kuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…