Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

WATU WA TANGANYIKA,
ACHENI KUSHIRIKIANA NA KUCHANGAMANA NA HAYA MAKAPI YA KIARABU.
ACHENI KUNUNUA NA KUUZA BIDHAA TOKA KWAO.
NDIO NJI PEKEE YA KUUPINGA UBAGUZI WAO.
 
watajuaje unakula, ama ukila unapiga makelele au wale samaki mlonunua pamoja pale sokoni ulikua unawapeleka wap [emoji205]

ndio maana nasema observe table manners hakuna atakae jua unakula au umekula [emoji205]
Hata kama nakula nje hapo kuna tatizo gani?. Kama utatamani basi wewe hujafunga , na ni mroho tuu wa misosi.
 
Ni kwa sababu wao ndio wanaendelea kuilinda hiyo amri ya kuweka zuio la kula hadharani na si sheria ya kiislamu kama wengi wanavyozusha.

CCM ndio wenye serikali na kuna wakristo ndani ya hiyo serikali
Kwa hio ni Siasa sio Dini inamaana wale wanafanya Siasa sio maagizo ya uislamu kuwachapa wanaokula kipindi cha mfungo?
 
Heshimuni imani za watu na kuweni wastaarabu.
Ushaona asilimia kubwa ya watu wa Zanzibar ni waislam na wanafunga kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Inakuaje wewe ule mchana wazi wazi kila mtu akuone. Si ujifungie ndani ule ukimaliza toka nje. Simple tu.
Kwani mtu akila nje mchana na wewe ukifunga unapungukowa nini? Mbona Mimi mTAG na tulikuwa na mfungonwa siku 28 na hatukubugudhi watu? Hiyo sio hoja, umefunga wewe mi kula kwangu haikuhusu japo hii video sio ya leo jamaa humu JF wameamua kukashfiana na kulikiza hili jambo bila sababu.
 
Nenda ukale njiani ndiyo utajua huru au siyo huru.

Ni mpumbavu asiyejuwa kuwa yeye hana nchi ya kujivunia.
Subiri uchaguzi ufike CCM itume Askari wa bara kuwaua halafu tutajua ni huru au la. Upumbavu na upofu kujiaminisha upo huru wakati mikono yako ipo shackled.
 
Hii video ni ya muda na umeiweka sasa ili ilete kashfa na kukosa maelewano humu JF. Moderator hii sio sawa. Mi Mkristo na nipo Bara, video hii ni ya uchochezi.
Eti Video ya Zaman Funga mdomo wako mja laana wewe tukio lirpotiwe jna kwenye media useme siku nyingi wewe nawe hao Wananzibar watakuwa wanakufokowa
 
Ukiiona hiyo serikali uiambie ni ya kijinga na wajinga sana.Iambie nimesema mimi ili wasikudunde.
Ukimuona mwenzako mjinga basi na wewe jitafakari, yaweza kuwa wewe ni mjinga zaidi.

Kila jamii ina tamaduni zake na misimamo yake. Ukiona wewe huna njia unayoifuata basi ni rahisi sana kwako kupotea.
.
 
Eti Video ya Zaman Funga mdomo wako mja laana wewe tukio lirpotiwe jna kwenye media useme siku nyingi wewe nawe hao Wananzibar watakuwa wanakufokowa
Naona unamtukana mwenzako bila sababu. Tukio la jana lilikuwa lingine mkuu, halikuwa hili. Jitahidi kuchukuliana na wenzako pia acha kutukana wenzio bila sababu.
 
Ukimuona mwenzako mjinga basi na wewe jitafakari, yaweza kuwa wewe ni mjinga zaidi.

Kila jamii ina tamaduni zake na misimamo yake. Ukiona wewe huna njia unayoifuata basi ni rahisi sana kwako kupotea.
.
Kwa hio wewe unasema ni haki watu kupigwa na kuchapwa fimbo kwa kula kipindi cha mfungo wa Ramadhan? Nyie jamaa mboni mnapenda fujo huku mboni tunakula na wapemba na hatuwasumbui tena mchana kweupe nakwambia asubuhi hii nimetoka kula mihogo na mpemba muendesha bodaboda huku mtaani hajafunga na hakuna aliempiga fimbo au ndio ule msemo wa huku sio bara?
 
Naona unamtukana mwenzako bila sababu. Tukio la jana lilikuwa lingine mkuu, halikuwa hili. Jitahidi kuchukuliana na wenzako pia acha kutukana wenzio bila sababu.
Leta hilo tukio la Jana mboni macho yanakutoka
 
Hawa watu ni wabaguzi sana. Mioyo yao imejaa na kusheheni chuki za wazi dhidi ya watu wa bara.

Na jinsi walivyojazana huku bara siku muungano ukivunjika sijui watajificha wapi
Naona mtagawana majumba na biashara kama Uganda na Wahindi
 
Back
Top Bottom