Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Zamani ya Mwaka gani kabla ya Mapinduzi au?Na nyie acheni kujazana ujinga na kuanza kukashfuana. Ile video ni ya zamani sana. Ebu tumieni hivyo vichwa kufikiria na acheni mihemko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamani ya Mwaka gani kabla ya Mapinduzi au?Na nyie acheni kujazana ujinga na kuanza kukashfuana. Ile video ni ya zamani sana. Ebu tumieni hivyo vichwa kufikiria na acheni mihemko.
Na waliotupwa mung'anda/juzi tu nao tuwahesabu walitupwa siku nyingi?Na nyie acheni kujazana ujinga na kuanza kukashfuana. Ile video ni ya zamani sana. Ebu tumieni hivyo vichwa kufikiria na acheni mihemko.
Hata kama nakula nje hapo kuna tatizo gani?. Kama utatamani basi wewe hujafunga , na ni mroho tuu wa misosi.watajuaje unakula, ama ukila unapiga makelele au wale samaki mlonunua pamoja pale sokoni ulikua unawapeleka wap [emoji205]
ndio maana nasema observe table manners hakuna atakae jua unakula au umekula [emoji205]
Kwa hio ni Siasa sio Dini inamaana wale wanafanya Siasa sio maagizo ya uislamu kuwachapa wanaokula kipindi cha mfungo?Ni kwa sababu wao ndio wanaendelea kuilinda hiyo amri ya kuweka zuio la kula hadharani na si sheria ya kiislamu kama wengi wanavyozusha.
CCM ndio wenye serikali na kuna wakristo ndani ya hiyo serikali
Kwani mtu akila nje mchana na wewe ukifunga unapungukowa nini? Mbona Mimi mTAG na tulikuwa na mfungonwa siku 28 na hatukubugudhi watu? Hiyo sio hoja, umefunga wewe mi kula kwangu haikuhusu japo hii video sio ya leo jamaa humu JF wameamua kukashfiana na kulikiza hili jambo bila sababu.Heshimuni imani za watu na kuweni wastaarabu.
Ushaona asilimia kubwa ya watu wa Zanzibar ni waislam na wanafunga kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Inakuaje wewe ule mchana wazi wazi kila mtu akuone. Si ujifungie ndani ule ukimaliza toka nje. Simple tu.
Subiri uchaguzi ufike CCM itume Askari wa bara kuwaua halafu tutajua ni huru au la. Upumbavu na upofu kujiaminisha upo huru wakati mikono yako ipo shackled.Nenda ukale njiani ndiyo utajua huru au siyo huru.
Ni mpumbavu asiyejuwa kuwa yeye hana nchi ya kujivunia.
Kuna watu wajinga sana, kuna vitu vya kukaa kimya lakini sio haya yanayo endeleaHadi wauane,siyo?
Sheria gani inayosema wanaokula kipindi cha mfungo wachapwe fimbo? Leta kifunguZanzibar ni nchi sio mkoa. Ipo kwenye muungano ndio ila pia ina sheria zake ambazo hazipo kwenye muungano.
Eti Video ya Zaman Funga mdomo wako mja laana wewe tukio lirpotiwe jna kwenye media useme siku nyingi wewe nawe hao Wananzibar watakuwa wanakufokowaHii video ni ya muda na umeiweka sasa ili ilete kashfa na kukosa maelewano humu JF. Moderator hii sio sawa. Mi Mkristo na nipo Bara, video hii ni ya uchochezi.
Hilo ni kweli linakwaza ila hili la video sio ya jana wala juzi. Pia jitahidini kuvumiliana na kuchukulian vijana.Na waliotupwa mung'anda/juzi tu nao tuwahesabu walitupwa siku nyingi?
Ukimuona mwenzako mjinga basi na wewe jitafakari, yaweza kuwa wewe ni mjinga zaidi.Ukiiona hiyo serikali uiambie ni ya kijinga na wajinga sana.Iambie nimesema mimi ili wasikudunde.
Ndio kabla ha mapinduzi kipindi hiko we upo kwenye makende ya mshua wako. 😀😃😄😁😆😅Zamani ya Mwaka gani kabla ya Mapinduzi au?
Naona unamtukana mwenzako bila sababu. Tukio la jana lilikuwa lingine mkuu, halikuwa hili. Jitahidi kuchukuliana na wenzako pia acha kutukana wenzio bila sababu.Eti Video ya Zaman Funga mdomo wako mja laana wewe tukio lirpotiwe jna kwenye media useme siku nyingi wewe nawe hao Wananzibar watakuwa wanakufokowa
Kweli majamaa hawana vichogo(bichwa bapa) sisi hutuita vichogo kutoka baraHahahaha..wanamuonea wivu mwana anapiga zake ugali saaafi....
Hawa mabichwa bapa huwa ni mazezeta Big time..
Kwa hio wewe unasema ni haki watu kupigwa na kuchapwa fimbo kwa kula kipindi cha mfungo wa Ramadhan? Nyie jamaa mboni mnapenda fujo huku mboni tunakula na wapemba na hatuwasumbui tena mchana kweupe nakwambia asubuhi hii nimetoka kula mihogo na mpemba muendesha bodaboda huku mtaani hajafunga na hakuna aliempiga fimbo au ndio ule msemo wa huku sio bara?Ukimuona mwenzako mjinga basi na wewe jitafakari, yaweza kuwa wewe ni mjinga zaidi.
Kila jamii ina tamaduni zake na misimamo yake. Ukiona wewe huna njia unayoifuata basi ni rahisi sana kwako kupotea.
.
Leta hilo tukio la Jana mboni macho yanakutokaNaona unamtukana mwenzako bila sababu. Tukio la jana lilikuwa lingine mkuu, halikuwa hili. Jitahidi kuchukuliana na wenzako pia acha kutukana wenzio bila sababu.
Naona mtagawana majumba na biashara kama Uganda na WahindiHawa watu ni wabaguzi sana. Mioyo yao imejaa na kusheheni chuki za wazi dhidi ya watu wa bara.
Na jinsi walivyojazana huku bara siku muungano ukivunjika sijui watajificha wapi