Kwanini 99.9% ya waliokamatwa kwa tuhuma za makosa ya Ugaidi ni Waislam?

Kuna ugaidi na ugaidi wa kutengenezwa.

Nini kulitokea rufiji.

Aliye na jibu hili ni Azory lkn kuabudu anazo taarifa kuwa alikamatwa na wasiojulikana na kupotezwa.

Ili kujua aina ya ugaidi wa tz tunahitaji dodoso
Usijitoe ufahamu kutaka kutetea waislam wenzio wanaojiingiza katika vitendo vya ugaidi kwa mwamvuli wa kukandamizwa.Tunahitaji dodoso kujua wanaolipua watu huku wakiimba allahu akbar?Tunahitaji dodoso kujua ya Kibiti na Newala Mtwara ni matendo ya kigaidi,Tunahitaji dodoso kujua alshabaab,answar sunnar, Boko haram,Isis na makundi mengine mengi ya aina hiyo ni magaidi maislamu?
Kusudi utafiti wako uwe huru na ukubalike na watu na usiwe biased kwa maana ya kuyapaka magaidi ya kiislam mafuta lazima chombo kitakachofanya utafiti kiwe independent.Kwa namna unavyojibu hoja kwenye uzi huu nachelea kusema kuwa tayari findings za utafiti wako unazo.
 
Rudi kwenye mada. Leta Dodoso
Labda nikuulize unakubalina na wanaotumia vitisho na unyama kufanikisha mambo yao kwamba wanawakilisha Imani ya Kiislamu ?

Sababu kuna mawili either hoja yako ni kwamba wanasingiziwa au sio waislamu ni waharifu wanaoupa uislamu jina baya au unakubaliana na wanachofanya lakini wewe unakiita sio ughaidi
 
Utafiti unatakiwa kufanywa na chombo huru!Lakini kama ni taasisi inayoshitumiwa nachelea kusema kuwa utafiti huu hautakuwa balanced
 
Utakuwa haujui uislamu wewe. Hapo Zanzibar ikifika kipindi cha ramadhani mnabeba mafimbo kuchapa watu wanaokula au kupika. Kwanini funga yako iwe kero kwa wengine? Dini yako inanihusu nini mm?
Iran, binti wa kiislamu hajafunika kichwa, wamemuua.
*Bado unasema uislamu ni ya haki*kawadanganye wengine
 
Mtu baki akija kukuambia ndugu yako ni mchawi, anakuroga nawe ukaamini. Ukabeba panga na kwenda kumuua ndugu yako. Hapo anayeonekana kichaa ni nani?
1. Mtu baki aliyekushauri ukamuue ndugu yako
2. Wewe uliyeenda kumuua ndugu yako
Uislamu ni ugaidi
 
Kwasababu ndio hupanga na kitekeleza ugaidi duniani kote,ili kuua wasiokuwa waislamu
 
Kama ni CIA kwanini wawatumie waislamu kuua wasio hatia kwa kigezo cha dini?,kwanini hakuna muislamu anayelaani au wala aliyewahi kulaani hivyo vitendo hivyo hadharani?.
 
Kwa
Utafiti unatakiwa kufanywa na chombo huru!Lakini kama ni taasisi inayoshitumiwa nachelea kusema kuwa utafiti huu hautakuwa balanced
kwa tz taasisi huru ni ipi wakati 90% ya watendaji wa serikali ni wakristo, 90% ya watumishi wa umma ni wakristo.

Taasisihuru ni kama taasisi gn kwa mfano
 
Ndo asili yao.
 
Ni magaid

Ni magaidi in making,kulingana na mafuundisho ya dini yao.
Mafundisho ya dini haya amrishi kupigana au kuua pasipo sababu ya msingi.
Hiyo stereotype na mindset yako uliyomezeshwa na walanguzi wako ni sehemu tu ya kampeni dhidi ya haki ili uendelee kuwa wao wakupige pesa na uingie jahannam
 
Naamini kuna ugaidi wa kutengenezwa. False Flag Terror. Wewe unaamini ktk hili.

Mf ni bomu kanisani arusha. Alionekana kijana akikimbia akiwa amevaa kanzu na balakashia. Wananchi wakamkanata. Ilikuja kujikana badae kuwa jina lake ni Ambrose Victor Calist
.Akafunguliwa mashiraka. Lkn hakuna anaejua hatima yake.

Wanaitumiwa ni vijana wenye shida za kiuchumi. Na wanafundishwa maneno kama allahu akbar.

halafu movie inaendelea kwa kufata script ilivyoandikwa
 
Nimeleta mada hii ili nipate dodoso kutoka kwenu. Na dodoso kutoka kwa jamii zitumike kupata findings. Niko too rational. Ajabu badala ya kuleta hizo sample munakuja na hukumu.

Nashindwa kuwaelewa watz kwakweli. Ungependa nifanye lipi kupata findings bila kuegemea upande iwapo mimi nimewataka ninyi kuleta dodoso.
 
Naamini kuna ugaidi wa kutengenezwa. False Flag Terror. Wewe unaamini ktk hili.
Mimi naangalia outcome kama kuna maafa / vitisho vimetokea basi kwangu mimi haya hayafai no matter nani amefanya awe muislamu, mkristu au rasta..., lakini issue ni kwamba hao waislamu, wakristu au ma rasta inabidi wawakane kwamba wanachofanya sio imani yao
Mf ni bomu kanisani arusha. Alionekana kijana akikimbia akiwa amevaa kanzu na balakashia. Wananchi wakamkanata. Ilikuja kujikana badae kuwa jina lake ni Ambrose Victor Calist
.Akafunguliwa mashiraka. Lkn hakuna anaejua hatima yake.
Umeuliza hatima yake ? Mimi it does not matter alikuwa ni nani what matters ni alichofanya kwahio ahojiwe kwanini amefanya na nani kamtuma inabidi ahojiwe na nyie waislamu inabidi mkemee kwamba kinachofanyika kwa yoyote yule sio sawa wala sio imani yenu
Wanaitumiwa ni vijana wenye shida za kiuchumi. Na wanafundishwa maneno kama allahu akbar.
halafu movie inaendelea kwa kufata script ilivyoandikwa
Na ni kwamba kuna loophole ya vijana hawa kuwa indocrinated cha maana narudia tena waislamu ni kuwakana na kuonyesha kwa dhati kwamba kutenda maovu sio sawa no matter unapigania nini...
 
Kwa

kwa tz taasisi huru ni ipi wakati 90% ya watendaji wa serikali ni wakristo, 90% ya watumishi wa umma ni wakristo.

Taasisihuru ni kama taasisi gn kwa mfano
Kwani taasisi lazima iwe ya umma?Yaani user institution ajifanyie utafiti halafu sisi tukubaliane na findings zake kweli?Tutafute consultancy ya kichina sasa.
 
Majibu yako humu yanaonesha tayari unazo findings.Kwenye mass kinachotafutwa ni majibu ya questionaire. Wee set hypothesis yako vzr ulete dodoso sisi tupendekeze mtafiti
 
Majibu yako humu yanaonesha tayari unazo findings.Kwenye mass kinachotafutwa ni majibu ya questionaire. Wee set hypothesis yako vzr ulete dodoso sisi tupendekeze mtafiti
Nawachia kuweka dodoso na upendekeze mtafiti.
 
Kwani taasisi lazima iwe ya umma?Yaani user institution ajifanyie utafiti halafu sisi tukubaliane na findings zake kweli?Tutafute consultancy ya kichina sasa.
hii yaonyesha jinsi gn watz tusivyoaminiana. Vp sasa tuamaini watendaji wa serikali ambao wengi ni wa dini moja wanatenda uadilifu ktk kamata kamata ya watuhumiwa wa ugaidi. Suluhisho ni lipi. Nadhani tunapaswa kuundwa tume ya Maridhiano. Kama africa kusini na Rwanda walivyofanya.
 
Ni makutio ya ugaidi wa kutengenezwa (False Flag Terror) then unapendekeza waislm wakane.

Its make any sense.

Way forward ni kufanya tafiti. Lkn dodoso za tafiti hizo zipendekezwe na public ili isije onekana waathiriwa wajiandaa zilizoandaa justification ya faida kwao
 
Shukran kwa kujielewa.

Siku zote elewa FBI hawatoi taarifa sahihi hata kidogo. Kwako kupita taarifa. Wako ktk vita inayojulikana information warfare.

Endelea kuwaamini
 

Mohamed Abubakar,

Semina Elekezi kwa Viongozi wa Kidini Mkoa wa Dar es Salaam leo 3 Juni 2024


Semina elekezi ya uongozi kwa viongozi wa JUMUIYA YA MARIDHIANO NA AMANI TANZANIA (JMAT) Mkoa wa Dar Es salam , Wilaya na Kata zake. Mgeni rasmi Mhe: Mizengo Pinda. Leo June 03 2024 ukumbi wa JINCC Posta jijini Dar es Salaam, Tanzania

Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum katika mkutano huo wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) ametoa muhadhara kuhusu kipengele muhimu cha uzalendo .... mwite mwenzie kwa kufur au kafiri n.k mwenyeezi Mungu anatukumbusha kuwa binaadamu ni jengo la Mwenyenzi Mungu.

Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum anaanza katika mada ya uzalendo .... udugu wa kiimani upo yaani wale wa msikitini ndugu zao ni wale wa imani yao na vivyo hivyo kwa kanisani ndugu zao ni wale wa imani yao LAKINI sasa wakitoka kwenye nyumba zao za ibada suala linakuwa mtambuka wote ni waTanzania Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum anakumbusha ...


Kuhusu akili Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum anasema lazima ihifadhiwe ndiyo maana hairuhusiwi akili kutikiswa na bangi, miraa, madawa ya kulevya na uraibu mwingine ....

Kuhusu kaisari yaani serikali kulipwa kodi Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum anaturudisha kwa Yesu na kunukuu maswali ya uhalali wa watu kulipa kodi kwa Kaisari kuwa swali hilo ni kujaribu kumjaribu wakati wanajua umuhimu wa serikali, Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum anazidi kuwapa dozi viongozi wa kiimani katika mkutano wao wa leo .... huu ni uzalendo.

Pia Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum anakumbushia jinsi Mtume alivyolazimika kuondoka Mecca kwenda Madina, Mtume alihuzunika sana kuucha mji wake wa Mecca pamoja na mambo yaliyokuwa yanaendelea wakati ule ....Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum anasisitiza huu ni mfano mwingine wa uzalendo. Hivyo ni muhimu sana watanzania kuwa na uzalendo wa kuipenda nchi yao na raia wenzake watanzania ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…