Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Yani wewe bonge la puto
 
Haina haja yakushambuliana kisa huyu anatoka Mwanza, Dar Arusha au Katavi.

Adui wetu ni mmoja. Ujinga na umasikini.

Kumbuka hilo.

Watu waarusha tunataka maendeleo sasa hivi na si kesho wala kesho kutwa.

Watu wanaodhani watu waarusha tuna ubinafsi kwakudai huduma bora toka kwa watu wanaochukua kodi zetu basi wewe utakuwa unaungonjwa unaitwa schizophrenia.

Binafsi napendelea A town iwe jamuhuri kamili, tufanye mambo yetu.

Kuendelea kuwaamini watu wanaojiita serikali walioshindwa kwa zaidi ya MIAKA 50 kutupatia hata basic needs kama umeme, maji, barabara, hospitals hiyo ni BIG NO

Nina-support lengo la kuunda United States of Arusha (USA)

Wilaya za Arusha zinakuwa majimbo yenye kujiamulia mambo kulingana na mahitaji ya sehemu husika. Serikali kuu ya muungano wa majimbo itasimamia kazi zote za federation.

Na hii serikali lazima iwe ya watu. Hakuna umama umama ni maendeleo tu.
 
Labda wewe ndio unywee. Tumeendelea kabla yenu ; na huwezi kubisha hilo. Na tutazidi kuendelea. Washamba nyinyi
Kipi kinachokufanya ufikiri umeendelea kabla yetu?

Wakati Dar inaendelea hapo Arusha si Palikuwa mjini pori, swala mpaka mjini[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Miendelee kwenda wapi wakati Mwanza wameshawaacha, Dodoma itawaacha, Mbeya itawapita.

Huo mji hauna potential yoyote kila mlichokuwa mnajivunia kinatoka nje ya Mkoa wenu.

Jivunieni Mlima Meru na Arusha National park [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

N.B wewe ndio Mshamba uliyefundishwa kuchamba
 
Mna jibrag na vitu ambavyo havipo whats special with A????? Arusha sio bora kuliko mikoa mingine, fuckin

Hebu andika kiswahili kilichonyooka. Mimi sielewi “mna jibrag” ndiyo mdudu gani huyo.

Mimi sina shida na mikoa mingine na wala sina shida na watanzania wasikini kama wengi wetu tulivyo.

Hapa tunaongelea serikali kupuuza A town.

Unaelewa lakini?

Au mpaka nikuchape viboko vya matako?
 
Population yenyewe 500k, mnataka serikali iteketeze kodi za watanzania kwa watu 500k,???? tumieni akili, Kipindi mnatengenezewa dual carriage nani aliwaongelea???? Na mummshukuru JPM aisee.
 

Acha mipasho basi dada.

Nini shida?

Hebu tujadili serikali kupuuza Arusha. Hilo ndiyo lengo la mtoa mada. Na mimi kama mwananchi wa United States of arusha nasema anayo hoja.

Sasa wewe badala yakuunga mkono lakini pia hapo hapo kuchomekea changamoto zilizopo hapo Dar unajisahau unaanza kulegeza sauti na kuacha mapaja wazi.
 
Wewe jamaa ni mjinga mno. Kajifunze kwanza maana ya district, region & city. Kwahiyo unataka wilaya za Ngorongoro, Monduli, Karatu, Longido na Arumeru zihesabike ziko ndani ya jiji la Arusha? Ni akili zako au bangi? Halafu Arusha kupata maendeleo ni ngumu kwasababu hapo viongozi wameendekeza majungu. Utakuta mara Mbunge ana bifu na Mkurugenzi wa jiji, au saa nyingine RC. Yaani viongozi wa juu wote wa Arusha hawako kitu kimoja. Miaka ya nyuma tulidhani ni upinzani ila kwasasa hali ndo mbaya baada ya kuwa CCM watupu wasioelewana.
 
Jiji la dar huwezi kulitenga na mkoa wa dar, mkoa mzima ni kama mji mmoja, kunejengeka kote, ila hiyo Arusha jiji ukitoka tu unakutana na open spaces,
Halafu inaonekana wewe ni mtu kindakindaki wa Arusha sifa nyengine inataja wala Arusha hazijafikia kihiivyo
 
Population yenyewe 500k, mnataka serikali iteketeze kodi za watanzania kwa watu 500k,???? tumieni akili, Kipindi mnatengenezewa dual carriage nani aliwaongelea???? Na mummshukuru JPM aisee.

Serikali imeshindwa kutoa hata basic needs hapa Arusha, kama vile barabara, maji, umeme, hospitali zenye vifaa tiba lakini pia vitendea kazi katika shule zetu.

Haya mambo hatuyachukulii kirahisi rahisi.

Wewe unatembea ukiwa umefumba macho na masikio yako?

Hoja yako ya population ya 500k haina mantiki yoyote. Ujinga ujinga tu.

Huduma bora LAZIMA hata kama watu ni wachache, ilimradi inayojiita serikali inachukua pesa kwa wananchi aka kodi.

Haya tuendelee kujadili kwa akili dada.

Nasubiri majibu yako.
 
Mbona mnasahau Mwanza ilivyonyanyaswa na majengo ya kimahame( kolokoloni)airport Mwanza ya tangu 1956, mbona wananchi wa huko hawasemi.Arusha imebebwa mno tangu enzi za mwalimu angalia KIA,EAC,Maji, barabara mbili, Mahoteli, Lango la kuingia Serengeti liko Arusha pia. Dar,Dodoma na Zanzibar ni majiji yamepaa yenyewe. Hata hivyo Tuache ukanda hauna tija.
 
Halafu idadi iliyotolewa na Rais ni ya mikoa, sio miji na majiji, idadi ya mji kwa mji ama manispaa na majiji bado haijatolewa
 
Acha kukariri Geneva ya africa ni arusha giving unajua kwanini aicc imewekwa chugah??au kwanini arusha imeitwa Geneva of africa??
😂😂😂Hata bunge lipo dodoma kweny ukame ...kuwa na akili eti kwa nn? Mbona hapana ikulu hata ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…