Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Ushamba mzigo!
Hata maana ya neno "United state" hujui maana yake!

Wewe kenge tulia.

Soon baada ya kuwa huru kila wilaya inakuwa jimbo/state.

Hiyo maana yake wanatunga sheria zao zinazofit majimbo/states zao.

Halafu tunakuwa na federal government. Mwamuzi wa masuala yote yanayohusu nchi.

Wewe kilaza nauhakika unapagawa ukinisoma.

Au unabisha?
 
Mkianzisha hio USA ya africa niko pale nmekaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kingne ni kiasi gan kimetoka Arusha kuja kujenga mwanza kwa takwimu lakini.GDP YA MWANZA NI 11+T ARUSHA NI 6+T.Kingine kwa kukukera tu Kutoka mwanza mpka serengeti ni karibu kuliko kutoka arusha to serengeti,AIRPORT YA MWANZA INAENDA KUANZA KUINGIZA INTERNATIONAL FRIGHTS NA NEW FIVE STAR HOTELS ZINAENDA KUJENGWA,jiandaeni kuporomoka zaid.HIZI AKILI SIJUI MMERISI WAPI WATU WA KASKAZIN HAMUWEZ KUTAMAN ARUSHA IENDELEE BILA KUZISHUSHA SEHEM NYINGINE.KUNA MTU ALIKUA ATAK DARAJA LA BUSISI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa dogo pungweso matusi na hasira za kazi gani, nani kakuita uje utukane kwenye mjadara huru?.

Hivi akili yako inasugua kwa kutumia nini mpaka unaanza kufungua akili kujaza matusi na as unamtukana mtu mdomo ukiwa hujasafisha kinywa mmh?.

Sijataka na wala hunishawishi kutumia lugha kali na chafu kama yako, sababu (sorry) nafuga shume like you.
 
Kuna jukumu linaniweka Arusha na manyara, nilichogundua wenyeji wengi ni walevi na wavuta bangi si wanaume wala wanawake, msiwe mnajilinganisha na mwanza kabisa kwanza hamna maadili na utu, watu wa ajabu sana huku putuuuuuu
 
Achana na wavuta BANGI ndugu, unapoteza muda bure, hao hua ni watoto au ni BANGI wakishavuta wanakuja JF
 
Kuna jukumu linaniweka Arusha na manyara, nilichogundua wenyeji wengi ni walevi na wavuta bangi si wanaume wala wanawake, msiwe mnajilinganisha na mwanza kabisa kwanza hamna maadili na utu, watu wa ajabu sana huku putuuuuuu

Kwa wastani wakazi wa A town wanaexposure kuliko wakazi wa sehemu nyingine yoyote Tz.

Rahisi tu kugundua hilo.

Kama unajiuliza sababu ni nini jibu rahisi tu, tourism activities + elimu + mwingiliano na watu kutoka nchi nyingine.

Utabishana usiku na mchana lakini huu ukweli hauwezi ondoka.
 
Achana na wavuta BANGI ndugu, unapoteza muda bure, hao hua ni watoto au ni BANGI wakishavuta wanakuja JF

Dada punguza shobo na watoto wa mtaa, la sivyo wataendelea kukushikashika **ko.

Wewe ni mlamba makalio ya wanasiasa unafahamika nimesoma threads zako.

Sikiliza wewe lishangazi, Arusha inataka maendeleo zaidi, serikali imeshindwa kufanikisha hata basic needs kama vile umeme wa uhakika, barabara za uhakika, maji, elimu duni.

Wewe kenge mnafiki, jibu hili swali, je hapo mtaani kwako barabara ipo vipi? Vipi umeme?
 

Unaandika utumbo gani wewe?

Hapa point yakuweka kichwani serikali kupuuzia A town.

Arusha sehemu ilipo ipo kimkakati Ndiyo maana wageni wanakuja hapa.

Ngoja nikufahamishe kitu wewe kilaza.

Wageni wanaokuja Tz, wanachagua A town kwasababu ni point rahisi zaidi kufikia national parks zote za northern circuit.

Akitaka kwenda ku-hike Mt Kili, A town ni chaguo sahihi.

Akitaka kwenda safari Lake Manyara, Arusha ipo karibu zaidi.

Akitaka kwenda safari Tarangire, A town ndiyo sehemu nzuri na karibu zaidi.

Akitaka kwenda Ngorongoro, A town ndiyo karibu na sehemu sahihi kuanzia safari yako.

Akitaka kwenda the Serengeti basi mgeni atachagua A town na si Mwanza wala Mara wala Bukoba au Mbeya.

Hauwezi ondoa hili.
 
Aya genius [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mna matusi kama mmezaliwa chooni
 
Kuna jukumu linaniweka Arusha na manyara, nilichogundua wenyeji wengi ni walevi na wavuta bangi si wanaume wala wanawake, msiwe mnajilinganisha na mwanza kabisa kwanza hamna maadili na utu, watu wa ajabu sana huku putuuuuuu
Yaani hata wewe unasema hivyo? Nimeumia sana

Itakuwa umepita sehemu chache, seriously
 
Yaani hata wewe unasema hivyo? Nimeumia sana

Itakuwa umepita sehemu chache, seriously
Yani nyie na majirani zenu hapo manyara wengi ndo tabia zao hizo arrrgggh ukakasi
 
Samahani dada.

Mimi sikufahamu umeolewa tayari.

Ungekuwa mstaarabu tu ungeniambie umeolewa.

Ningekuelewa tu dada.
Kama unataka kuolewa we sema[emoji38][emoji38][emoji38]
Chap nije Kutoa posa............
Mtu ambaye huna mbele Wala nyuma
Utaniambia nini ?
Bwabwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…