Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Definitely u're totally right that's what we want
Arusha ingekuwa nchi bangi ingekuwa zao la taifa
Nafikiri ufanyike mpango kila mkoa ujitawale kivyake wawe wanatoa % tu kwa central government..
Na wakuu wa mikoa wawe ni wagombea!
 
Siku hizi Arusha Kuna ziwa/bahari kumbe... Naona kuna picha iko na either of the two hapo
 
Nasikia ile Nelson Mandela, ilikuwa ijengwe Nyanda za Juu Kusini, ila Lowassa akaikwapua, sasa Arusha inahujumiwa au inahujumu.
 
Jiribuni kuunda hiyo nchi tuwashughulikie.
 
Hivi umeng'ang'ania Arusha republic unajua sheria wewe kweli sema upo humu JF ungeliwa sehemu nyingine ungekubari mziki.
 
nmekua nkiamin Arusha ina vyanzo vng vya mapato kuliko mji wowote Tz ukiiacha Dar , ila baada ya kufika kanda ya ziwa nkagundua ile kanda ni next level sio level za Chuga wala Dar ( kama wangebalance uwekezaj Dar ingekuja kuachwa na Mwanza ndan ya muda mfupi tu , Chuga ilikuzwa na kuwepo kwa shughuli nying za EAC ila Rock City ni mtoto yatima anatoboa mbuga bila machawa , Usirufir fananisha AR na jiji la miamba sio level sawa kuanzia kila kitu labda bangi tu
 
Hayo ni maneno yako
 
Madini gani yako Arusha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umelewa mibangi na ugoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha kujitenga ndiyo suhulisho. Tuanze vuguvugu mara moja. La sivyo maendeleo ya Chuga yatachelewa sana.
Wenzenu akina Singh wanataka kujiitenga na India na kuanzisha Khalistan, je mumeona wanafaidi?

Munajiona muko vizuri kwa sababu ya mikoa mingine lakini mukiwa wenyewe hamuna umuhimu wowote.
 
Kama hujasoma hiyo taarifa ni vyema ukubali tu, ati 'jifunzee' kuandika kwanza, kha!
umeona nimechanganya r na l kama nyinyi wabara?
Mumeona muko mukiwa munajiona hamuna
Watu wengi wanao andika kama wewe si raia wa Tanzania
 
Mumeona muko mukiwa munajiona hamuna
Watu wengi wanao andika kama wewe si raia wa Tanzania
hiyo sentensi ya kwanza sijui umeandika nini, labda wewe ndiyo raia wa mashaka.

Pia nina wasiwasi na IQ yako (below 80?)
 
hiyo sentensi ya kwanza sijui umeandika nini, labda wewe ndiyo raia wa mashaka.

Pia nina wasiwasi na IQ yako (below 80?)
Munajiona muko vizuri kwa sababu ya mikoa mingine lakini mukiwa wenyewe hamuna umuhimu wowote.

Angalia uandishi wako hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…