Kwanini baadhi ya Waislamu hutumia muda mwingi kuponda Dini nyingine katika mawaidha?

Kwa hiyo akizingua sheikh mnamkataa lakini akizingua mchungaji wa wakristo mnajumuisha wakristo wote kwamba makafir
Hutujui, sishangai ukitoa majumuisho hayo!

Kuna kafiri na ukafiri.
Ukafiri ni kuficha:Kwa upande wa uislamu kitendo cha hali ya kuficha haki ya muumba kwa namna moja ama nyengine inaitwa ukafiri. Kwa mtendaji atakayetenda hiyo hali ataitwa kafir.

Na kama hujui kilugha hata wakulima kuficha mbegu kwenye upandaji chini ya ardhi istilahi ya maneno yatakayo tumika ni hayo hayo! Ka-fa-r

Uislam unamtaka muislam auchukie ukafiri kwa sababu hata yeye mwenyewe anaweza akatumbukia humo! Kwa sababu ukafiri ni kitendo.

Uislam haumtaki muislam amchukie anayefanya kitendo cha ukafir kwa tafsiri nyengine kafiri. Kwa sababu wewe ni kiumbe cha Mungu na yeye Mungu ndiye anajua nini cha kufanya kwa viumbe wake. Na mwisho wa siku nijipe magonjwa ya moyo ya nini? Hivyo tunaishi kwenye msemo wa "Ikiwa unampenda Mungu, basi heshimu viumbe vyake"

Dini ya kiislamu inaendeshwa kwa elimu na elimu ndiyo dini yenyewe. Kwa msingi huo, si kila muislamu ni msomi. Kwa namna hiyo, usiuhukumu uislamu kwa matendo ya muislam!
 
Tupatie mfano ambao kwenye uislam na kwa waislam wanapungukiwa na ufafanuzi wa masuala ya dini yao hivyo hawanabudi fafanuzi wazirejee kwenye biblia!!!
 
Lazima ufahamu kinachomsumbua sana Shetani ni Kanisa la Mungu! Kanisa la Mungu ni Adui Mkubwa sana wa Ufalme wa Shetani,hii ni kwa sababu limepewa Mamlaka ya kuharibu kazi za Shetani,(Luka10:19)! Kwa hiyo usishangae Waislam wakiiuchukia Ukristo,
 
Unaongea halafu unajipinga. Wenzako hiyo kuswali ni wajibu sio kujisikia. Hata namna wanavyoswali tofauti na wakristo wengi wanavyokata viuno. Jaribu kuangalia mtandaoni wayahudi wanavyosali kama kuna kukata viuno. Hiyo kusali mara tano na mara tatu ni sheria sio nyie hadi mjisikie.
 
Wakristo wanatakiwa wasali kila mda tofautisha kusali na ibada
Jumapili au jumamosi ni siku ya ibada
Ila kusali kwa wakristo tunatakiwa kusali kila mara ila sisi kusali sio public relation ni swala la siri
Unaongea kitu ambacho hata ukijua. Nadhani hata hayo maneno nadhani hata haujui kwamba yametokana na kiarabu. Swala inaingia kwenye sehemu ya ibada, kufunga ni ibada, kutoa zaka ni ibada na n.k.
Ibada inabeba vitu vingi kijana.
 
Ndio... Lakini mbona ukisoma Torati, Zaburi na Injili uwezi kusikia mtoto kaolewa na mtume, nabii au mtu wa Mungu... Kitendo cha kumuoa tu mtoto wa miaka 6 tayari hapo ni kosa kwa sababu MUNGU aliweka kuvunja ungo akiwa na maana yake, kwamba mpaka apevuke...

Mtumishi kama huyo anayetazamiwa na watu wengi na mwenye wafuasi kuoa binti mdogo ni ukatili, hata kama hakumuingilia
 
Hapo mwisho umemaliza vizuri.... Sio uislamu tu, Hata Ukristo, wapo watu mfano waumini, wachungaji, askofu nao ni binadamu uwezi kuhukumu ukristo wote kwa matendo mkristo. Maana hakuna mkamilifu
 
Ukisema kukata mauno, hiyo inategemea na dhehebu lako.... Hakuna mahala ukristo unasema ukate mauno, hizo ni hulka za mtu binafsi... Uwezi kuhukumu ukristo kwa matendo ya wakristo, hao ni binadamu tu... Kuhusu kusali mara ngapi, mbona injili ya YESU imeshaeleza kusali mara ngapi, ni vile tu kwenye ukristo hakuna imani kali

Labda nikuulize kama unahita Uislamu ni bora mbona, kuna Suni na Shia, kwa nini msiwe waislamu wamoja 😂
 
Unaongea kitu ambacho hata ukijua. Nadhani hata hayo maneno nadhani hata haujui kwamba yametokana na kiarabu. Swala inaingia kwenye sehemu ya ibada, kufunga ni ibada, kutoa zaka ni ibada na n.k.
Ibada inabeba vitu vingi kijana.
Hata katika ukristo...swala ni ibada, kufunga ni ibada, kutoa sadaka ni ibada... Sasa nyie kwanza maandiko yenu yote reference yenu ni Biblia
 
Mimi naona unawasingizia. Waislamu mafundisho yao mengi ni mambo ya kuhusu ahera. Wakianza kuongelea adhabu zilizopo kaburini unajikuta kwenye mshtuko. Labda ungesema wasabato ndo huwa bize kuwaponda wakatoliki
 
Brother! Iulize biblia vizuri umri gani kwa wanawake zama hizo za manabii na mitume wa Mungu wanawake walikuwa wakiolewa?

Au waulize wayahudi sheria zao ni umri gani kwao mwanamke alikuwa akiolewa?

Sifahamu vifungu vya kwenye Zaburi, Injil au Taurati vya moja kwa moja vyenye kukava muktadha husika. Ila fanya hilo tafiti.
 
Kwani kuna ugumu wa kunieleza kuwa kwenye biblia kuna andiko lenye kueleza kuwa ukristo ni dini?
Ukinijibu ndiyo tuendelee na maelezo mengine.
 
Huyu zuzu wa karagwe toka ajiunge Jf, ni kuuponda tu uislam muda wote
 
Huyu zuzu wa karagwe toka ajiunge Jf, ni kuuponda tu uislam muda wote
Hapa hatupondi Dini.... Bali tunatafuta ukweli, tumepewa utashi, ikiwemo uwezo wa kufanya Reasoning na kutafuta majibu. Siwezi kuuliza kitu ninachokijua lazima niulize nisichokijua... mimi simfahamu sana kuhusu uislamu, lazima niulize hili nipate ukweli
 
Kuna baadhi ya Waislamu wanasemaga Dini yao ndiyo Dini sahihi na ya haki, sijui huyo Mungu aliwashukia lini? na wapi? kuwaambia hivyo, Elimu ni kitu kizuri sana, ukishakuwa na Elimu hupati shida.
 
Muhammad alisema: Usiwasalimie Wayahudi na Wakristo kabla ya kukusalimu na ukikutana na yeyote kati yao kwenye barabara mlazimishe aende sehemu nyembamba kabisa ya njia (mtaroni). Sahih Muslim 2167
 
Tupatie mfano ambao kwenye uislam na kwa waislam wanapungukiwa na ufafanuzi wa masuala ya dini yao hivyo hawanabudi fafanuzi wazirejee kwenye biblia!!!
Israeli alietajwa kwenye Koran , ni nani ? Jina lake lilikuwaje Israel na Lina maana gani kwa kutumia Koran
 
Kwani kuna ugumu wa kunieleza kuwa kwenye biblia kuna andiko lenye kueleza kuwa ukristo ni dini?
Ukinijibu ndiyo tuendelee na maelezo mengine.
Neno dini limekuja kutumika baada ya Yesu kuondoka.... Huko nyuma hakukuwa na Dini, makabila, na mataifa... na kila kabila na Taifa lilikuwa na tamaduni zake za kuabudu, hata Uyahudi haukuwa Dini, lilikuwa ni kabila... Neno Dini limekuja kuanza kutumika karne za baada ya Yesu kuondoka, baada ya watu kubwa na mitazamo tofautitofauti juu ya Mungu wanayemuabudu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…