singanojr
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 1,974
- 10,361
Wengi wanaingia jeshini kufuata Ajira , hao wenye vitambi ni wale wanajeshi unakuta ni walimu, Madokta , Mainjinia n.k... na unakuta ni makanali kazi zao ni kutoa maagizo tu kutokea ofisini ,wanajeshi wanaozipiga na mazoezi wapo wapo wengi tu.niko dar mara nyingi hua nakutana na wanajeahi wenye vitambi .
sasa najiuliza kweli wataweza kupambana pale itakapobidi .
duniani huko moja ya red flag jeshini ni kitambi na kimo kifupi
technically kitambi kinaweza kua obstacle kwenye uwanja wa mapambano japo hatuombei vita ila inabidi wajiandae kimwili na kiakili