Yo majesty
JF-Expert Member
- Sep 13, 2023
- 687
- 1,179
Mwanaume mwenye kitambo namfananishaga na mwanamke mwenye Tako kubwa. Wote Huwa hawana akili kabisa. Unaruhusu vp kunenepa hayo maeneo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitambi hakina utetezi zaidi ya ulafi na kubweteka pamoja na kutojijali kiafya ama kukosa nidhamu ya lishe na mazoezi ya mwili.Kwani, wanajeshi wote unawaona wamefuga vitambi mkuu?
Na hao wa nchi ulizozitaja, unaonana nao kwa karibu kila siku kama unavyokutana na wa kwetu ili kuweza kuwatathimini?
'Body index' katika jeshi huzingatiwa, wakiamini kabisa Urefu x Uzito usiorandana ni tatizo la ki afya na vikipishana lazima mtu hushauriwa akavipunguze.
Halafu lazima uelewe kuwa maumbile ya miili ya watu katika jamii mbali mbali hupishana kwa kimo na kwa ukubwa.
Sasa jamii ya kichina waweza linganisha na wabantu?
Katika uchambuzi wako kwa ulinganifu, wamarekani ama Canadians kwanini haukuwaweka ili kuboresha mjadala?
Tena hao ndio njaa zao ni kali balaa... vitambi vya ulafi na njaa isiyovumilikaTena kitambi wkti wa vita ndio kizuri,maana mwili una reserve calories za kutosha.. hata ikitokea mko mafichoni, mwenzako ata-survive wiki mbili zaidi bila chakula
SahihiMatokeo ya ulaji mbovu na kubweteka.
SahihiSio wanajeshi tu. Mwanaume yeyote kuwa na kitambi ni upumbavu na kutokuwa smart.
Watu smart kichwani hawafugi matumbo.
Ukiondoa wachache ambao ni kutokana na changamoto za ugonjwa, waliobaki ni kutokana na ulafi wa
kulakula hovyo bila kuwa na kiasi lakini pia uvivi wa kufanya mazoezi
Mkuu nimecheka sana kwa comment yako hii😄😄😄😄,aiii.Kitambi hakina utetezi zaidi ya ulafi na kubweteka pamoja na kutojijali kiafya ama kukosa nidhamu ya lishe na mazoezi ya mwili.
Askari makini huwezi kufuga mtumbo ukaeleweka katika jamii ya walinzi kimataifa.
Askari kuwa na kitambi ni ukosefu wa midhamu jeshini.
Jiulize kwa nini wachina raia wapo wenye vitambi lakini sio majeshini?
Wamarekani, warusi, wacanada na hta wajerumani wapo askari wenye miili mikubwa ila sio vitambi kama vyenu waswahili. Kitambi ni mtumbo kutokeza mbele kupitiliza level ya kifua.
Kitambi ni matokeo ya kulakula hovyo na uvivu wa mazoezi ndio maana serikali imetambua hulka za watanzania wavivu na sasa wanaume mnawekewa maputo mwilini kuodoa vitambi.
Ukikosa tu nidhamu ya lishe na mazoezi lazima litumbo lifutuke kitu ambacho ni fedheha kwa mwanaume.
Mwanaume yeyote anatakiwa kuwa timamu wa akili na mwili,na akili ndio ina control mwili, sasa inapotokea mwaume umefuga kitambi maana yake mwili umecontrol akili kitu ambacho ni hatari na fedheha kwa nchi.
Uapokuwa na kitambi maana ake utimamu haupo tena maana we tayari umeridhia kufuga magonjwa hivyo kama ni askari unapoteza sifa ya kuwa mlimzi ambae ni mentally and phisically fit. Ukiwa na mtumbo huwezi kukimbia hata 5kms. Na kama ukijizoeza kukimba 5 kms hata mara 4 kwa wiki lazima tumbo life.
Huwezi kufuga mtumbo halafu uwe active, never!
Ni walevi tu wataibuka mbele ya wanaume kutetea kitambi.
Sawa mkuu!Hana kitambi?
Yaani unamfananisha na Tulia?
Acha utani mkuu mama enu anacho kitambi tena kile cha vyakula vya anasa.
Hakika, kuna mambo mengi yanayoweza pelekea mtu kuwa hivyo e.g. vinasaba, uzembe wa kutokuzingatia lishe bora, kutofanya mazoezi, umri na kushuka kwa uwezo wa kumeng'enya wanga/wese, n.k. Pia si kila asiye na kitambi yuko "fiti" na si kila aliye na kitambi hana "fiziki"....unaweza aibika...watu wa sanaa za mapigano wanamjua Sammo Hung!!Mkuu nimecheka sana kwa comment yako hii😄😄😄😄,aiii.
Kwa uchambuzi wa kiafya upo sahihi, lakini comment hii inaonekana imetolewa na kijana under40 anayejitafuta.
Mkuu piga zoezi uwezavyo, lakini utakapopata madaraka ya kuheshimika na umri kusonga kidogo, kitambi hichoooo, wanakwambia madaraka hupunguza maadui na kuongeza marafiki, hivyo moyo kukosa stress!
Labda uwe na nasaba za mheshimiwa Spika.
Watu wanafanya mazoezi ya kufa mtu tena chini ya usimamizi lakini vitambi vimewang'ang'ania tu, kwanini, kwa sababu ya madaraka, viti vya kuzunguruka na viyoyozi.
Bro usijifananishe na huyu mzee marshal artist wa miaka 72 Sammo hung Kam-bo ama jina mashuhuri Dai Goh Dai .Hakika, kuna mambo mengi yanayoweza pelekea mtu kuwa hivyo e.g. vinasaba, uzembe wa kutokuzingatia lishe bora, kutofanya mazoezi, umri na kushuka kwa uwezo wa kumeng'enya wanga/wese, n.k. Pia si kila asiye na kitambi yuko "fiti" na si kila aliye na kitambi hana "fiziki"....unaweza aibika...watu wa sanaa za mapigano wanamjua Sammo Hung!!
Umenene na akili wapi na wapi mkuu, embu tufe tafiti zakitaalamu sio hizo za googleSio wanajeshi tu. Mwanaume yeyote kuwa na kitambi ni upumbavu na kutokuwa smart.
Watu smart kichwani hawafugi matumbo.
Ukiondoa wachache ambao ni kutokana na changamoto za ugonjwa, waliobaki ni kutokana na ulafi wa
kulakula hovyo bila kuwa na kiasi lakini pia uvivi wa kufanya mazoezi
Sijawahi kumwona mwanajeshi wa Rwanda mwenye kitambiHakika, kuna mambo mengi yanayoweza pelekea mtu kuwa hivyo e.g. vinasaba, uzembe wa kutokuzingatia lishe bora, kutofanya mazoezi, umri na kushuka kwa uwezo wa kumeng'enya wanga/wese, n.k. Pia si kila asiye na kitambi yuko "fiti" na si kila aliye na kitambi hana "fiziki"....unaweza aibika...watu wa sanaa za mapigano wanamjua Sammo Hung!!
Kwasababu wanakula wakashiba.Walengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto!
Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi'
Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa?
Wanajua kuwa hivyo vitambi vinatusababisha "sisi" tusio na uzoefu wa masuala ya Kijeshi tuwaone kuwa ni wazembe? Mbona wenzao wa China, North Korea , na Rwanda hawana vitambi?
Wanajua kuwa wao ni mfano wa askari wa chini? Kwa kuwa wanasema "like the son, like the father", watajisikiaje siku moja wakigundua kuwa askari wote wanaowaongoza nao wan vitambi kama wao?
Hivi kukitokea dharura itakayowalazimu kukimbia kwa masaa matatu mfululizo si wanaweza wakahisi ulimi unataka kutoka?
Kwa nini "wanajeshi" wetu, japo siyo wote, wana vitambi?
Wanajeshi wa China hawashibi?Kwasababu wanakula wakashiba.
Wachina wameathirika mkuu, vile walivyo ni kama walemavu wa maungo hata wasipojishughulisha na kula bila kipimo hawawezi kuwa kama Msechu. "Mwenye tumbo la taifa"Wanajeshi wa China hawashibi?
Tumbo la taifa😀Wachina wameathirika mkuu, vile walivyo ni kama walemavu wa maungo hata wasipojishughulisha na kula bila kipimo hawawezi kuwa kama Msechu. "Mwenye tumbo la taifa"