Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Wenye afya za Kagame tujuane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa amiri jeshi mkuu mwenyewe anakitambi iweje akina capten John Komba wakose na vitambi.?Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi'
Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa?
Wanajeshi wa nchi zingine: Rwanda, China, Korea, n.k. hawajaridhika?Tafsiri yako yaweza kuwa ni sawa, lakini wanabwetekaje wakati kwenye majeshi michezo pamoja na training ni lazima bila kujali cheo?
Tunakutana nao mabarabarani wakifanya collective sports nadhani kila siku za jumanne na ijumaa!
Kunenepeana kwenye majeshi hakutokani na kubweteka bali kunatokana na kuubwaga moyo(kuridhika).
Hakuna cheo unaweza enjoy kama cheo cha jeshi.
Unapokuwa na cheo chenye mamlaka na namna sheria za jeshi zilivyo, asiyeweza kunenepa ni yule mwenye mwili asili ya Obama.
Maana yake ni kwamba, ukiwa na cheo chenye mamlaka, chochote utakachokisema lazima mtu unayemzidi cheo aitikie kwa unyenyekevu mkubwa na usiotia shaka, tena haitikii kupokea maagizo huku akitembea, huitikia huku yuko attention kwa umakini wa kutekeleza unachomuagiza!
Mambo yote mema lazima kwanza wewe uyapate ndiyo yashuke kwa wengine na unachokiagiza ama unachokitaka lazima kitekelezwe, staff wa chini yako wanakutii kuliko ambavyo mkeo ama watoto wako wanavyokutii.
Hapo kwa nini mtu asinenepe?
Unafikiri na Kagame naye angejiachia angekosa kitambi?Wenye afya za Kagame tujuane
Wa sasa hana kitambi mkuu. Au unamzungumzia hayati Mkapa?Ikiwa amiri jeshi mkuu mwenyewe anakitambi iweje akina capten John Komba wakose na vitambi.?
Kumbee ,nimejifunza kitu🤔Tafsiri yako yaweza kuwa ni sawa, lakini wanabwetekaje wakati kwenye majeshi michezo pamoja na training ni lazima bila kujali cheo?
Tunakutana nao mabarabarani wakifanya collective sports nadhani kila siku za jumanne na ijumaa!
Kunenepeana kwenye majeshi hakutokani na kubweteka bali kunatokana na kuubwaga moyo(kuridhika).
Hakuna cheo unaweza enjoy kama cheo cha jeshi.
Unapokuwa na cheo chenye mamlaka na namna sheria za jeshi zilivyo, asiyeweza kunenepa ni yule mwenye mwili asili ya Obama.
Maana yake ni kwamba, ukiwa na cheo chenye mamlaka, chochote utakachokisema lazima mtu unayemzidi cheo aitikie kwa unyenyekevu mkubwa na usiotia shaka, tena haitikii kupokea maagizo huku akitembea, huitikia huku yuko attention kwa umakini wa kutekeleza unachomuagiza!
Mambo yote mema lazima kwanza wewe uyapate ndiyo yashuke kwa wengine na unachokiagiza ama unachokitaka lazima kitekelezwe, staff wa chini yako wanakutii kuliko ambavyo mkeo ama watoto wako wanavyokutii.
Hapo kwa nini mtu asinenepe?
Mike..Tafsiri yako yaweza kuwa ni sawa, lakini wanabwetekaje wakati kwenye majeshi michezo pamoja na training ni lazima bila kujali cheo?
Tunakutana nao mabarabarani wakifanya collective sports nadhani kila siku za jumanne na ijumaa!
Kunenepeana kwenye majeshi hakutokani na kubweteka bali kunatokana na kuubwaga moyo(kuridhika).
Hakuna cheo unaweza enjoy kama cheo cha jeshi.
Unapokuwa na cheo chenye mamlaka na namna sheria za jeshi zilivyo, asiyeweza kunenepa ni yule mwenye mwili asili ya Obama.
Maana yake ni kwamba, ukiwa na cheo chenye mamlaka, chochote utakachokisema lazima mtu unayemzidi cheo aitikie kwa unyenyekevu mkubwa na usiotia shaka, tena haitikii kupokea maagizo huku akitembea, huitikia huku yuko attention kwa umakini wa kutekeleza unachomuagiza!
Mambo yote mema lazima kwanza wewe uyapate ndiyo yashuke kwa wengine na unachokiagiza ama unachokitaka lazima kitekelezwe, staff wa chini yako wanakutii kuliko ambavyo mkeo ama watoto wako wanavyokutii.
Hapo kwa nini mtu asinenepe?
BravoMike..
Kwani, wanajeshi wote unawaona wamefuga vitambi mkuu?Wanajeshi wa nchi zingine: Rwanda, China, Korea, n.k. hawajaridhika?
Hana kitambi?Wa sasa hana kitambi mkuu. Au unamzungumzia hayati Mkapa?
Na kuna wengine wanakula kawaida tu ila kitambi kinamjia.

Mkuu hautaki na sisi tuwe tuvitambi twa kufutia simu..?ahahahhaWalengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto!
Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi'
Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa?
Wanajua kuwa hivyo vitambi vinatusababisha "sisi" tusio na uzoefu wa masuala ya Kijeshi tuwaone kuwa ni wazembe? Mbona wenzao wa China, North Korea , na Rwanda hawana vitambi?
Wanajua kuwa wao ni mfano wa askari wa chini? Kwa kuwa wanasema "like the son, like the father", watajisikiaje siku moja wakigundua kuwa askari wote wanaowaongoza nao wan vitambi kama wao?
Hivi kukitokea dharura itakayowalazimu kukimbia kwa masaa matatu mfululizo si wanaweza wakahisi ulimi unataka kutoka?
Kwa nini "wanajeshi" wetu, japo siyo wote, wana vitambi?
Mkuu, inaelekea wewe ni msoja! Kwani nawe una kitambi?Kwani, wanajeshi wote unawaona wamefuga vitambi mkuu?
Na hao wa nchi ulizozitaja, unaonana nao kwa karibu kila siku kama unavyokutana na wa kwetu ili kuweza kuwatathimini?
'Body index' katika jeshi huzingatiwa, wakiamini kabisa Urefu x Uzito usiorandana ni tatizo la ki afya na vikipishana lazima mtu hushauriwa akavipunguze.
Halafu lazima uelewe kuwa maumbile ya miili ya watu katika jamii mbali mbali hupishana kwa kimo na kwa ukubwa.
Sasa jamii ya kichina waweza linganisha na wabantu?
Katika uchambuzi wako kwa ulinganifu, wamarekani ama Canadians kwanini haukuwaweka ili kuboresha mjadala?
Kwahiyo?Uliwahi kumuona capten John Komba kabla hajawa wanasiasa na alivyibadilika mwili baada ya kuwa wanasiasa?