Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SafiTena kitambi wkti wa vita ndio kizuri,maana mwili una reserve calories za kutosha.. hata ikitokea mko mafichoni, mwenzako ata-survive wiki mbili zaidi bila chakula
🤣🤣🤣 jamaniNingekuwa mimi ndo amiri jeshi Mkuu, hayo yote yenye vitambi ningeya-demote au kuyashusha vyeo. Kwa askari/mwanajeshi kuwa na kitambi ni kukosa nidhamu.
Zinaenda, lakini zitakuwa na ufanisi zaidi zikifanywa na mtu aliye fit kimazoezi.Kwani kazi haziendi?
Huyu amemeza kabisa wahalifu...
Picha tafadhaliWalengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto!
Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi'
Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa?
Wanajua kuwa hivyo vitambi vinatusababisha "sisi" tusio na uzoefu wa masuala ya Kijeshi tuwaone kuwa ni wazembe? Mbona wenzao wa China, North Korea , na Rwanda hawana vitambi?
Wanajua kuwa wao ni mfano wa askari wa chini? Kwa kuwa wanasema "like the son, like the father", watajisikiaje siku moja wakigundua kuwa askari wote wanaowaongoza nao wan vitambi kama wao?
Hivi kukitokea dharura itakayowalazimu kukimbia kwa masaa matatu mfululizo si wanaweza wakahisi ulimi unataka kutoka?
Kwa nini "wanajeshi" wetu, japo siyo wote, wana vitambi?
Au we unaonaje mrembo?🤣🤣🤣 jamani
Hapana kwa kweli,ila naweza kuwa nae Mwenye kitambi nipige nae zoeZAu we unaonaje mrembo?
Au unapenda wenye vitambi?
Kama kuna ka Ukweli hapaSio wanajeshi tu. Mwanaume yeyote kuwa na kitambi ni upumbavu na kutokuwa smart.
Watu smart kichwani hawafugi matumbo.
Ukiondoa wachache ambao ni kutokana na changamoto za ugonjwa, waliobaki ni kutokana na ulafi wa
kulakula hovyo bila kuwa na kiasi lakini pia uvivi wa kufanya mazoezi
😂😂😂Huyu amemeza kabisa wahalifu...
nachukia sana kitambiWalengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto!
Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi'
Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa?
Wanajua kuwa hivyo vitambi vinatusababisha "sisi" tusio na uzoefu wa masuala ya Kijeshi tuwaone kuwa ni wazembe? Mbona wenzao wa China, North Korea , na Rwanda hawana vitambi?
Wanajua kuwa wao ni mfano wa askari wa chini? Kwa kuwa wanasema "like the son, like the father", watajisikiaje siku moja wakigundua kuwa askari wote wanaowaongoza nao wan vitambi kama wao?
Hivi kukitokea dharura itakayowalazimu kukimbia kwa masaa matatu mfululizo si wanaweza wakahisi ulimi unataka kutoka?
Kwa nini "wanajeshi" wetu, japo siyo wote, wana vitambi?
Ira hutakiwi kujificha wakati wa vita. Hizo ni dariri za woga. Unatakiwa kusonga mbere na hakuna ruusa kurudi nyuma.Tena kitambi wkti wa vita ndio kizuri,maana mwili una reserve calories za kutosha.. hata ikitokea mko mafichoni, mwenzako ata-survive wiki mbili zaidi bila chakula
1.Mtu smart kichwani hali kila kitu / ulafiToa definition ya smart,alafu elezea wapi kitambi kimetajwa
Nimejaribu kuwaangalia kwa makini lakini sijamwona mwenye tumbo kubwa.Nadhani askari yeyote mwenye kitambi ni matokeo ya uvivu. Uniform za majeshi yetu pia zibadilishwe. Hawa wenzetu wanapendezeshwa na nini? Mavazi? Urefu? wembamba?... au wanahenya muda wote? 😳 View attachment 2890251
Tafsiri yako yaweza kuwa ni sawa, lakini wanabwetekaje wakati kwenye majeshi michezo pamoja na training ni lazima bila kujali cheo?Matokeo ya ulaji mbovu na kubweteka.