Kwanini baadhi ya "wanajeshi" wetu wana vitambi?

Wengi wanaingia jeshini kufuata Ajira , hao wenye vitambi ni wale wanajeshi unakuta ni walimu, Madokta , Mainjinia n.k... na unakuta ni makanali kazi zao ni kutoa maagizo tu kutokea ofisini ,wanajeshi wanaozipiga na mazoezi wapo wapo wengi tu.
 
Makambi yawe yanaweka GYM kwa ajili ya Askari kujiweka kwenye Shepu lakini Maafisaa waandamizi kitambi hakikwepeki.
 
Kwa pamoja tunamshukuru sana Rais Samia kwa kufanikisha upatikanaji wa wanajeshi wenye vitambi nchini.
 
Kwa hiyo we kazi yako kufatilia matumbo ya watu hapa dar alafu ndugu zako huko wanajuwa Unafanya kazi.
 
Acha watu wafuge vitambi kama ameoa hakuna shida
Wanawake wajanja sana
Kama umesoma Cuba utaelewa
 

Attachments

  • downloadfile.jpg
    30.4 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…