Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

Wafanye kama vituo vya kujaza mafuta a.k.a Sheli.Wale wanakuwa na WC za public.Hata benki siyo lazima hizo WC ziwe ndani ya benki wanaweza kuziweka nje kwa ajili ya wateja.
 
kusema ukweli nikigundua kuwa kuna toilet ndani ya bank basi nitakuwa mdhuuriaji sana huko.

mimi mikiwaga town jua limenipiga huwa nazama benk kupulizwa na kiyoyozi,huwa nakaa kwenye vile viti kama nasubiri huduma hivi
 
Wafanye kama vituo vya kujaza mafuta a.k.a Sheli.Wale wanakuwa na WC za public.Hata benki siyo lazima hizo WC ziwe ndani ya benki wanaweza kuziweka nje kwa ajili ya wateja.
Baadhi ya bank vipo nje, ukimuuliza mlinzi anakuonesha.
 
Kuna benki fulani jina nalihifadhi ina choo, niliingia moja nilipotoka meneja akaniambia sio cha wateja!

Unaenda Benki kuweka hela ama kuweka m@v!??

Pale kuna form ya kuweka fedha hakuna form ya kuweka m@vi
 
Kuna benki fulani jina nalihifadhi ina choo, niliingia moja nilipotoka meneja akaniambia sio cha wateja!
Manager Mzima anahangaika na choo! Sa alikuwa wapi mpk ukaingia, umafanya yako na kutoka!
 
Kisheria hakuna benki au huduma yoyote inayoruhusiwa kufunguliwa bila choo ila hili on sisi ndo tunatakiwa tupigie kelele hili kwa mfano moshi be benki moja tu yenye Choo cha ukweli nayo ni Kilimanjaro cooperation bank zingine sijaona ila nadhani vipo shida ni uchoyo Na uvivu wa kuvifanyia usafi nadhani.
 
Hilo swala la kupora/kuchora ramani linatoka wapi? Choo cha wateja si wakiweke kule nje getini wanapokaa walinzi? Choo kisiwe kwenye main structure. Kiwe choo tu cha nje.
 
Ninachoona hapa huyu bwana anaongelea choo kwa mteja na sio staff toilet.
Ni kweli ndio maana kwenye post yangu nimeanza na neno ''pia" nikiwalenga staff baada ya kuwa tumewazungumzia wateja
 
Back
Top Bottom