Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

Wanadai kwamba maeneo kama hayo(chooni) ndo kunaweza fanyika mipango ya uharifu


Bongo kuna mengi, kuna mwaka mkandarasi mmoja kama sijakosea alikuwa anajenga barabara ya Mwenge Tegeta aliingia chooni na kijana mmoja kumwinamisha, watu walipomshitukia wakavamia kile choo, walipomuuliza kwanini yupo chooni na mwanamme mwenzake tena kijana mdogo, akawajibu alikuwa anamnyoa sehemu za siri
 
Bongo kuna mengi, kuna mwaka mkandarasi mmoja kama sijakosea alikuwa anajenga barabara ya Mwenge Tegeta aliingia chooni na kijana mmoja kumwinamisha, watu walipomshitukia wakavamia kile choo, walipomuuliza kwanini yupo chooni na mwanamme mwenzake tena kijana mdogo, akawajibu alikuwa anamnyoa sehemu za siri
Innalilahi wainnailaihi rajiuun.
 
Vyoo vipo Sema watu wengi huwa wanaona soo, sisi wazee wa ulabu kuulizia washroom hatuonagi noma
Hakuna jengo linalojengwa bila kuwa na vyooo

Ova
 
Majengo yote ya benki yana vyoo,jaribu kufikiria walinzi wanajisaidia wapi (siku nyingine ukibanwa nenda kwa walinzi waeleze shida yako)
 
Hakika vyoo vipo ,, ukiwaomba walinzi wanakuruhusu ingawa utalindwa kama Rais.
 
kuujaza form ya mkopo inachukua dk 5..? na zile foleni za kaunta ni dk 5..?... kama tunapanga foleni ili kupata huduma zikizidi dk 5 wawe wanatufukuza coz si salama sisi kuwepo zaidi ya dk 5
Kufungua account nayo ni dk. 5? Hebu aache maskhara!
 
Iyoo vipo sana ...
Kwani wale wanaotoa huduma ni maroboti ??
Mleta mada uwe unafikiria tanua ubongo ...mm mwenyewe nimefanya utafiti ...nimeenda bank ambayo haiko town town nikaomba kwenda toilet wakanionyesha vizuri tuu....
Kwaiyo mkuu wanaposema No right to talk without research wanamaanishaga chief
 
mayowela, ]Yaani Jana nimekuona pale benki unaomba funguo uende chooni yule banker akakakuambia hiyo huduma haipo siku izi mule ndani ya benki eti wewe umeona hiyo ndiyo hoja ya kuleta humu Jamiiforums .Wakati pale nje choo kipo na mlinzi anakuruhusu uingie chooni.

Lakini hata hivyo mbona benki nyingi vyoo vipo ila siyo ndani ya benki.Mellinium tower benki zipo nyingi na vyoo vipo vingi Crdb zote vyoo vipo ,Nmb zote vyoo vipo sasa we we unataka choo karibu na strong room hiyo imekula kwako .Nakukumbuka vizuri mlikuwa wanaume wawili mmoja mrefu na mwingine mfupi wrote weusi mmeulamba nguo za being nafuu mnazubaa tu mle ndani ya benki mnachofanya hakionekani.

Kisha mkamsogelea yule Loan Officer mkaomba funguo wa kwenda chooni mkaambiwa hiyo huduma imesitishwa ndani ya benki mkatoka nje mnalalamika.Haaaaaaaaaa.Kumbe humu jf kuna mpaka wazee. Mwenyewe umeona umejifichaaaa!!.
 
Kuna mkuu aliwahi kusema "umeenda kuweka pesa au makimba "
 
Vyoo vipo banks nying zimepanga kwny maeneo ambayo yan vyoo public.... Ila hiwezi kuta choo ndani ya bank wafanyakazi pia hutumia hvyo vya public vilivyopo kwny jengo walilopanga
 
mmmmh, nahisi kama mleta mada bado hajapata jibu sahihi LA swali lake.
Nami naomba kuliongezea...

Hivi kuna Kanuni ama Sheria inazozitaka Bank kutokuwa na Vyoo kwa ajili ya Wateja wake, wakati inawezekana Taasisi hii ndiyo inayoongoza kwa kuwaweka muda mrefu wateja wake wakati wakisubiri huduma zake? Ni hapa kwetu tu ama ni duniani kote?

Hebu wenzetu mliotembea duniani hebu mtusaidie hapa:
Benki huwa hazipaswi kuwa na sehemu za Maliwato ikwa ajili ya Wateja wake??
 
Iyoo vipo sana ...
Kwani wale wanaotoa huduma ni maroboti ??
Mleta mada uwe unafikiria tanua ubongo ...mm mwenyewe nimefanya utafiti ...nimeenda bank ambayo haiko town town nikaomba kwenda toilet wakanionyesha vizuri tuu....
Kwaiyo mkuu wanaposema No right to talk without research wanamaanishaga chief
acha mihemuko ya kisiasa kwenye mada za kawaida sana
 
Kwa ajili ya usalama . Kama unahitaji kutumia vyoo vyao wanakupeleka na mlinzi akikuongoza
 
Banki ni sehem ambayo hutakiwi kukaa muda mrefu... ikizidi sana ni dakika tano sasa hiyo haja anaitoa wapi ndani ya dakika tano? ukikaa sana pia si vizuri kiulinzi.
Hapa unamaanisha NMB?

Muda mfupi?
 
Kuna jambo nashindwa kuelewa kwanini Benki Kuu haijatoa maelekezo na uongozi wa benki zote haulipi umuhimu swala la kuwa na vyoo vya wateja wao?

Benki zingine zina foleni kali ya hadi masaa 3. Sasa wanategemea wateja wao wabane?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom