Kwanini Biblia ilituficha kuhusu uzao wa majitu/Wanefili?

Tufafanulie mkuu maana hapo tiyari tumeona wana wa Mungu na wanefili hapo kuna vitu viwili tofauti
 
Hayo tunasoma kuelewa ndiyo maana yaliandikwa yote mwanzo hadi ufunuo
 
baadhi wali survive kwenye galika
Si Kweli,

Neno halisemi hivyo.

Pepo anapojibadili na kuvaa mwili. Akawa mwanadamu, mkifanikiwa kuangamiza mwili, anarudi katika form ya kiroho,

Anaweza kuja tena Kuzaliwa baadae katika mwili mwingine autakao.

Ndipo ujue, mapepo na majini ni zaidi ya 6/10, WANADAMU ni 4/10 au chini ya hapo.

Wanefili wa Leo giants ni Wachache, Walio wengi Wana miili kama sisi tu, hawataki tuwastukie.

Wapo Hadi Leo, wanaitwa uzao wa nyoka,

Mnaonunua Malaya wengi wa wanawake ni mapepo, Nephilim.

Mnaendeleza uzao wa nyoka duniani Kwa kujua na kutojua.
 
Wanefili si ndio product ya Wana wa Mungu na wanadamu?
Sina uhakika.Kwa uelea wangu nasoma ......Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile; hii walikuwapo siku zile bado tumefichwa walitokana na uzao wa nani maana biblia haijafunguka kabisa inawataja ghafla tu kwa mtindo huo.
 
Nipo hapa kijana niliyebobea Theology.
Biblia haijaficha kitu na haikuwa na lengo la kuficha chochote, ingawa nakiri kuwa biblia haijaandika vitu vyote kwasababu mbalimbali.
Majini au tuite bad angles au fallen angels walipenya na kuanza mahusiano na wanadamu duniani.
Familia zote duniani zikawa tayari demonize yaani tayari kila familia ilikuwa imeshazaa na majini kasoro familia moja tu ya Nuhu. Mungu alipoangamiza dunia kwa gharika lengo lilikuwa kusafisha dunia (kuondoa kizazi cha mijitu) ingawa watu wanadhani dhambi ndio sababu. Kama dhambi ingekuwa sababu basi kizazi hichi nacho kingefutwa kwa 80%-90% au zaidi.
 
Kwahiyo nikweli biblia haijasema wazi kuwa ni uzao wa malaika na binadamu?
 
Hata kitabu cha yohana pia unashindwa kukisoma? Sasa kwenye taasisi (kanisani) unaendaga kufanya nini?
Mimi siyo mtu wa madhehebu ya dini uwezi kunikuta kanisani lawa msikitini hata siku moja ....punguza kula nyuruwe wewe pimbi🙄🙄
 
Mimi tena ndo nile nguruwe au Wewe kondoo ndo upunguze mbona unajichanganya kijana
Kwani ujui kuwa nguruwe walio chinjwa kwa kuelekezwa kibra ndiyo unatakiwa kumla kama mudi boy alivyo fundisha na kuagiza....
 
GIants hawaweze kuvaa miili tena maana ni abomination both in dark and light, uzao una uongelea ni tofauti kabisa na wanafeli bali hao ni watoto wa lilith
 
Kwani ujui kuwa nguruwe walio chinjwa kwa kuelekezwa kibra ndiyo unatakiwa kumla kama mudi boy alivyo fundisha na kuagiza....
Ona huyu choko nguruwe anauliwa hachinjwi au haujui hata kama nguruwe Hana shingo

Hv nguruwe una mjua? Au unajua usnge tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…