Kwanini Biblia ilituficha kuhusu uzao wa majitu/Wanefili?

King james kawaruhusu kula nguruwe?
 
Kama huna jibu pita kule kuliko kuja hapa kubeza kitabu cha wenzako.
Umeshindwa kutoa maoni kule waliko halalisha watoto miaka 9 waolewe unakuja mbiombio hapa kubeza kitabu kitakatifu?

Nilichokibeza nini na ndio ukweli, au huupendi ukweli?

Biblia yenyewe haijui kama inaitwa biblia.

Nioneshe mstari ndani ya biblia wenye neno "bibli".
 
Nilichokibeza nini na ndio ukweli, au huupendi ukweli?

Biblia yenyewe haijui kama inaitwa biblia.

Nioneshe mstari ndani ya biblia wenye neno "bibli".
Achana na biblia huiwezi; wewe nenda huko ukajadiri watoto miaka 9 kuolewa
 
Kuna Malaika walipokuwa wakitumwa duniani walikuwa wakitamani Wanawake wazuri hivyo wakaanza kujibadilisha kuvaa miili ya kibinadam na kuzaa na binadamu ndio kikatokea hicho kizazi Cha wanefili
Du, 😔 hebu nielimishe kwa Maandiko..
 
King james kawaruhusu kula nguruwe?
Ni nyama tamu mno, tumeahidiwa kuikuta peponi, tutaitafuna wakati tukiogelea kwenye mito ya pombe huku tukifanya na mabikira 72. Ila hatujaambiwa wanawake mtafanya na akina nani na watakuwa wangapi
 
Baada ya ghalika hakukuwa na wanefili. Wanefili waliangamizwa wote wakati wa ghalika
 
Ni nyama tamu mno, tumeahidiwa kuikuta peponi, tutaitafuna wakati tukiogelea kwenye mito ya pombe huku tukifanya na mabikira 72. Ila hatujaambiwa wanawake mtafanya na akina nani na watakuwa wangapi
King james kawaruhusu kula nguruwe?
 
Kasome historia ya Wanyakyusa na Wakonde ndipo utajua kwamba wewe ndio umeandika kilevi
Sisi Wanyakyusa ni Waruguru tuliozamia Rungwe asili ikiwa suma Ila hao bhangonde ni muongiliano wa Wanyakyusa na kabila moja toka Malawi.

Mluguru alioa mama wa kikinga aliyeitwa Kyusa wakaweka makazi yao Suma na kutambulika kama Banya kyusa(wanyakyusa) yaani wana wa Kyusa. Wanyakyusa waliitwa kwa jina la mama kwa sababu ya mfumojike wa Kabila la kiluguru na mengine ya pwani kumpa mamlaka mama kutoa jina la ukoo(matrilinear). Na desturi hii iliendelezwa mpaka wakati wetu ingawa sasa inafifia.
Kwa mfano sisi wazazi wamekuwa wakijitambulisha kuwa ni Waluguru na hata jina la ukoo linalotumika halianzi na "Mwa" kitu ambacho huwashangaza wengi sisi ni Wanyakyusa wa aina gani. Lakini asili yetu ni Kingorowila ila ni Wanyakyusa kwa sasa.

Kuna mengi yanahusika kwenye historia ya Wanyakyusa ila angalau kwa ufupi ni hivyo.
 
Mmh! Wazungu wametupiga sana, hii ilikua kazi ya missionary na bado hao trader (wawekezaji wa Sasa), African kazi tunayo haya tuendelee na mada. Hivi sisi waafrica babu yetu ni Nuhu
 
Nilichokibeza nini na ndio ukweli, au huupendi ukweli?

Biblia yenyewe haijui kama inaitwa biblia.

Nioneshe mstari ndani ya biblia wenye neno "bibli".
Faiza bwana. Mnakosoa tu vitu tudogotudogo sana. Hivi nyinyi kwenye maandishi yenu hakuna maneno mmetohoa?

Maana ya neno Biblia ni Vitabu kwa lugha ya kigiriki lililotokana na neno Biblion likimaanisha kitabu katika umoja. Wazo linakuja Biblia ni vitabu vya aina gani? Ndio sababu unapata kwa nini inaandikwa Biblia takatifu ikimaanisha mkusanyiko wa vitabu vitakatifu au maandiko matakatifu. Lugha katika maandiko matakatifu imepitia mambo mengi ili watu waweze kupata ujumbe na kuelewa
 
Baada ya ghalika hakukuwa na wanefili. Wanefili waliangamizwa wote wakati wa ghalika
Umeshasoma habari Ile Musa aliwatuma wapelelezi wakarudi na kumwambia wameona majitu na kwamba wanefili Bado wanaishi kule?

Hawakufa Hadi kwenye kizazi Cha akina Musa walikuwepo
 
King james kawaruhusu kula nguruwe?
Kwani mudi boy aliye waruhusu hadi waislamu haswa..... maswahaba kula nguruwe, wakiwa na dhiki ya njaa sembuse wewe muisiharamu eti unajitia uwezi kula nguruwe wakati maswahaba walikula walipo patwa na njaa kwa muongozo wa King James mudi boy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…