Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

Kuwa na kesi kwani ni jambo la ajabu? Hata wewe unaweza kuwa na kesi kwenye harakati za maisha
 
Kuwa na kesi kwani ni jambo la ajabu? Hata wewe unaweza kuwa na kesi kwenye harakati za maisha
Choice hoi....naona unaanzisha nyuzi mfululizo zinakosa muunganiko watu wanazipita kama hawazioni.

Kaka Tulia huo ni uchaguzi wa TLS sio uchaguzi Mkuu. Mbona huna amani?
 
Kuwa na kesi kwani ni jambo la ajabu? Hata wewe unaweza kuwa na kesi kwenye harakati za maisha

Ni kwèli Kabisa. Kesi sio Jambo l ajabu.
Lakini Kesi za mara Kwa mara lazima kûna tatizo aidha kuonewa /kudhulumiwa au NI kwèli mshukiwa NI mhalifu mwanadamizi bobevu aliyeshindikana
 
Kitendo cha wengi wao kuwa wamejiajiri, wapo huru hawafungwi na matamko walakutishiwa nyau na serikali. Tofauti na vyama vingine, asilimia kubwa wamebanwa na mlango...hawachomoki.
Mawakili hawana tofauti na wasanii wa bongo flava. Ndio maana asilimia kubwa ya mawakili ni matapeli kama madalali 😀 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…