Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Kama nyie CHADEMA mmekubalina kuwaita wasukuma hivyo mimi ni nani niwapinge?
Sina uhusiano wowote na CHADEMA wala chama chochote cha siasa, kwangu kuwa mfuasi wa chama chochote maana yake ni kuwa mtumwa wa wanaofaidika na chama husika.
Turudi kwenye mada, Sukuma gang ni kundi la mazuzu wasiojielewa.
 
Nitaamini vipi wewe siyo mfuasi wa CHADEMA? Maana waowachafua wasukuma ni CHADEMA na wewe unafanya hivyo.
 
Nyie wafuasi wa marehemu ndiyo mtubu kwa kumwaga damu za Watanzania wasiokuwa na hatia na huyo mungo wenu anabanikwa kama ndafu huko jehanam
Inasikitisha sana kuanza kuwabagua wasukuma. CHADEMA kwanini mnafanya hivi?
 
Leo tuelewane kabisa. Maana jambo hili linasambazwa na CHADEMA. Lengo lenu CHADEMA ni nini?
 
Naomba utuwekee hapa ushahidi wa watu wa Kanda ya Ziwa kuitwa "sukuma gang" na CHADEMA.
Nasisitiza, CHADEMA, nas sio mtu anayejiita "fulani Chadema".

Namaanisha kutoka kwenye ofisi inayotambulika ya CHADEMA.
 
CHADEMA ni watu. Ikiwa viongozi wa CHADEMA hawakemei matendo ya kibaguzi ya wanachama wao, maana yake vitendo hivyo vinabaraka kutoka kwa viongozi.

CHADEMA watoke hadharani wawakemee wanachana wao kuwabagua wasukuma.
 
Hao wanaobaguliwa ni genge la wahalifu na wauaji!
 
CHADEMA ni watu. Ikiwa viongozi wa CHADEMA hawakemei matendo ya kibaguzi ya wanachama wao, maana yake vitendo hivyo vinabaraka kutoka kwa viongozi.

CHADEMA watoke hadharani wawakemee wanachana wao kuwabagua wasukuma.
CCM kumejaa kila aina ya watu wenye matendo maovu na ya kishetani,umeshawahi ona mtu anasema viongozi wa CCM wajitokezee kukemea hao watu na matakataka yao wayafanyayo!!??

Kwa nini hamuwezi kuja na hoja za maana zaidi ya viroja!!???
 
Kwahiyo tunakubaliana kuwa CHADEMA kuwaita sakuma kuwa ni gang limebarikiwa na viongozi wa CHADEMA.
Basi sawa kwa ufafanuzi wako. Asante sana sote tumeelewa kuwa CHADEMA wanawabagua wasukuma.
 
Mnawaita wasukuma kuwa mashetani. Inauma sana

Kwahiyo tunakubaliana kuwa CHADEMA kuwaita sakuma kuwa ni gang limebarikiwa na viongozi wa CHADEMA.
Basi sawa kwa ufafanuzi wako. Asante sana sote tumeelewa kuwa CHADEMA wanawabagua wasukuma.
Nimekwambia tuonyeshe official document yoyote ya CHADEMA inayoita Sukuma gang au weka clip ya kiongozi mkubwa wa CHADEMA akitamka sukuma gang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…