Mwulize Gwaji akupe ufafanuzi. Sukuma gang haijumuishi wasukuma wote wala watu wa kanda ya ziwa wote.Kwahiyo wasukuma hawapo Mwanza? Kwanini uwatukane wasukuma?
Walioanzisha ni CHADEMa hao hao na wanoeneza ni CHADEMA hao hao.Kwa hiyo wewe unalalamikia wanaoeneza, huwalalamimikii walioanzisha?
Je kwaninia wana CHADEMA wanawatukana sana wasukuma?Muulize mwana ccm mwezako Chiembe sukuma gang ni nini. Maana mda mwingi anatumia jina hilo
Tumefundishwa na Mwendakuzimu, tit for tat.Mungu wangu huu ubaguzi wa kuwabagua wasukuma nani aliwafundisha ninyi CHADEMA?
Wewe kidampa tu unawezaje kumuamuru Mbowe aseme,kafie mbali huko.Mimi namtaka Mbowe alitolee ufafanuzi suala hili. Kwanini kutaka kuwatenga watanzania wakati yeye ni kiongozi wa kitaifa?
Magufuli ndiye aliwafundisha chukiMungu wangu huu ubaguzi wa kuwabagua wasukuma nani aliwafundisha ninyi CHADEMA?
Mwambie aje saiviHujitambui wewe, rejea kampeni za uchaguzi 2020 alivyokuja Lissu pale Furahisha. Binafsi nilikuwepo na alieleza ufedhuli na wizi wa jewelry hadharani na wanamwanza tulimwelewa. Huyo jiwe hajawahi kuwa msukuma bali ni mrundi kama akina Nkurunzinza tu
Issue ni kuhusu kuwatukana wasukuma. Ninachotaka kuelezwa kwanini CHADEMA wanawatukana wasukuma na kuwaita gang.Magufuli ndiye aliwafundisha chuki
..ukisema ITALIAN MAFIA walengwa sio Waitaliano wote.
..vivyo hivyo SukumaGang walengwa sio Wasukuma wote.
..pia ChagaGang haimaanishi Wachaga wote.
..MsogaGang haimaanishi kila mtu anayeishi au anayetokea Msoga.
Hivi sukuma gang ni tusi?Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.
Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.
Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka leo natafuta kujua hawa CHADEMA wapo na lengo gani na jambo hili?
Maana ukipitia kwenye mitandao ya kijamii taarifa nyingi wanazieneza na kuwatusi watanzania wa kanda ya ziwa. Sujui lengo kubwa ni nini?
View attachment 2486017
Sasa nawaombeni wenzangu humu JF tujadili suala hili tulimalize. Hawa CHADEMA lengo lao ni nini kuanza kuwasakama watu wa kanda ya ziwa?
Hilo jina limetokea huko huko kwenye chama chenu ni vita kati ya timu msoga na sukuma gangThe same time wamechaguwa hiyo Kanda ya ziwa kuwa ndio sehemu ya kuanzia mikutano.
Kwa watu hao hao wanao waita sukuma gang.
Mnaumia wewe na nani? Sema unatumia halafu uendelee kuumiaTunaumiwa sana sisi kanda ya ziwa kutukana na kusakamwa kila kukicha na CHADEMA. Kwani sisi kanda ya ziwa siyo watanzania?
View attachment 2486170
Sisi watanzania wenye kulitakia mema taifa letu.Mnaumia wewe na nani? Sema unatumia halafu uendelee kuumia
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wewe ni msemaji wa Kanda ya ziwa?Wakija Mwanza na huo upuuzi, wataambulia aibu kubwa sana.
Saivi kanda ya ziwa si ngome ya ccm wala chadema ni ngome ya JPM. Ndomana vyama vyote viwili vinapanga kuingia kanda ya ziwa kwa uangalifu mkubwa. Hizo mbwembwe za Jpm alikuwa mwizi n.k hutazisikia wakiwa kanda ya ziwa wataenda kusemea kwingine huko
Unatumia nguvu kubwa sana kueneza propaganda mfu hii, Hilo genge la kihalifu lilianzishwa hukohuko CCM kwenu, likaibuka genge lingine la msoga gang hukohuko CCM acha kuwapakazia CHADEMASisi watanzania wenye kulitakia mema taifa letu.
Bado hujajibu swali. Kwanini utumie jina la wasukuma? CHADEMA mna nini haswa?Unatumia nguvu kubwa sana kueneza propaganda mfu hii, Hilo genge la kihalifu lilianzishwa hukohuko CCM kwenu, likaibuka genge lingine la msoga gang hukohuko CCM acha kuwapakazia CHADEMA
Waasisi wa genge:
JPM
Ndugai
Makonda
Sabaya
Hapi n.k
Wewe utajua ni mfuasi uchwara, huenda wewe ndiye Spirian Musiba
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
DuhBashite,Sabaya na Jerry Muro