Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Kwahiyo wasukuma hawapo Mwanza? Kwanini uwatukane wasukuma?
Mwulize Gwaji akupe ufafanuzi. Sukuma gang haijumuishi wasukuma wote wala watu wa kanda ya ziwa wote.

Hili ni kundi maalum lililokuwa na malengo maalum.

Ni sawa na Timu ya yanga, inaitwa Dar Young Africans, kwa fikra zako itamaanisha vijana wote wa Dar es Salaam?
 
Muulize mwana ccm mwezako Chiembe sukuma gang ni nini. Maana mda mwingi anatumia jina hilo
 
Hujitambui wewe, rejea kampeni za uchaguzi 2020 alivyokuja Lissu pale Furahisha. Binafsi nilikuwepo na alieleza ufedhuli na wizi wa jewelry hadharani na wanamwanza tulimwelewa. Huyo jiwe hajawahi kuwa msukuma bali ni mrundi kama akina Nkurunzinza tu
Mwambie aje saivi
 
CHADEMA naona ni chama ambacho hakielewi ni nini kinataka gata kutawala hakina hata shida ni wajinga tu Wa Tanzania kuona kma cheadema ni wakombozi kumbe wao ni walafi tu
 
Magufuli ndiye aliwafundisha chuki
Issue ni kuhusu kuwatukana wasukuma. Ninachotaka kuelezwa kwanini CHADEMA wanawatukana wasukuma na kuwaita gang.
Kwahiyo wasukuma ni kundi la wahuni na wezi?

1674067777334.png
 
..ukisema ITALIAN MAFIA walengwa sio Waitaliano wote.

..vivyo hivyo SukumaGang walengwa sio Wasukuma wote.

..pia ChagaGang haimaanishi Wachaga wote.

..MsogaGang haimaanishi kila mtu anayeishi au anayetokea Msoga.

Huyo mpuuzi anakupotezea muda na hiyo propaganda mfu.
 
Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.

Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.

Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka leo natafuta kujua hawa CHADEMA wapo na lengo gani na jambo hili?

Maana ukipitia kwenye mitandao ya kijamii taarifa nyingi wanazieneza na kuwatusi watanzania wa kanda ya ziwa. Sujui lengo kubwa ni nini?
View attachment 2486017

Sasa nawaombeni wenzangu humu JF tujadili suala hili tulimalize. Hawa CHADEMA lengo lao ni nini kuanza kuwasakama watu wa kanda ya ziwa?
Hivi sukuma gang ni tusi?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wakija Mwanza na huo upuuzi, wataambulia aibu kubwa sana.

Saivi kanda ya ziwa si ngome ya ccm wala chadema ni ngome ya JPM. Ndomana vyama vyote viwili vinapanga kuingia kanda ya ziwa kwa uangalifu mkubwa. Hizo mbwembwe za Jpm alikuwa mwizi n.k hutazisikia wakiwa kanda ya ziwa wataenda kusemea kwingine huko
Wewe ni msemaji wa Kanda ya ziwa?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sisi watanzania wenye kulitakia mema taifa letu.
Unatumia nguvu kubwa sana kueneza propaganda mfu hii, Hilo genge la kihalifu lilianzishwa hukohuko CCM kwenu, likaibuka genge lingine la msoga gang hukohuko CCM acha kuwapakazia CHADEMA

Waasisi wa genge:
JPM
Ndugai
Makonda
Sabaya
Hapi n.k
Wewe utajua ni mfuasi uchwara, huenda wewe ndiye Spirian Musiba


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Unatumia nguvu kubwa sana kueneza propaganda mfu hii, Hilo genge la kihalifu lilianzishwa hukohuko CCM kwenu, likaibuka genge lingine la msoga gang hukohuko CCM acha kuwapakazia CHADEMA

Waasisi wa genge:
JPM
Ndugai
Makonda
Sabaya
Hapi n.k
Wewe utajua ni mfuasi uchwara, huenda wewe ndiye Spirian Musiba


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Bado hujajibu swali. Kwanini utumie jina la wasukuma? CHADEMA mna nini haswa?
 
Wana bahati kwa kuwa wanajua watani zangu wasukuma ni watu wa "ndoho taabu maami". Wangeleta ujinga kama huo huku kwetu umawiani, halafu waje kuanzia mikutano yao huku, wangekuta umati unawasubiri na kuwambia wachague moja, ama wakokone kwenye upanga wenye makali, wau wapande juu ya mti tuwapige nchale, tukiwakosa basi bahati yao.
Wasukuma amkeni, huo upole utawaponza siku moja.
 
Back
Top Bottom