Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Umesoma uzi wangu? Naeleza kwanini hawa CHADEMA waliazisha hili jambo la kuwatukana watu wa kanda ya ziwa? Mimi hapa nataka jibu. Iwe tweet ya 2000 au 2021 ninahaki ya kupatiwa jibu.
Au wewe unaonaje?
Kama unataka ujibiwe toa evidence kuwa kweli Chedema wanachukia Sukuma Ngang. Tweet moja ya Mdude haiwezi kuthibitisha madai yako. Pia kwenye hiyo Tweet hakuna mahali popote inaonyesha chki kwa Sukuma gang zazi ya kumention tu ....!!
 
Kwahiyo mdude siyo mfuasi wa CHADEMA? Unataka tweet ngapi ziweze kuthibitisha kuwa CHADEMA wanawachukia wasukuma?
 
Naamini hawatofanya makosa hayo,

Nimefuatilia mikutano ya Heche na Mnyika maeneo mbalimbali nchini,

Wanajikita ktk kujenga HOJA zaidi.

So far, mambo yaenda vizuri.
 
Jibu swali langu mzee.
Je tanzania kuna kabila liitwalo sukuma?
Je, gang maana yake nini?
Je kabila hilo lipo wapi hapa Tanzania?

Umekuja na marking scheme? Kawakataze hao kabila la sukuma gang wasitokee kwenye huo mkutano wa CDM, lakini wasukuma watakuwa wa kumwaga kwenye huo mkutano.
 
Sukuma gang ni watu walafi kama shetani Magufuli!
Swali langu ni, kwanini utumie jina la kabila katika propaganda zako?
Je, wasukuma wanajisikiaje kutajwa na kubaguliwa na CHADEMA?
 
Umekuja na marking scheme? Kawakataze hao kabila la sukuma gang wasitokee kwenye huo mkutano wa CDM, lakini wasukuma watakuwa wa kumwaga kwenye huo mkutano.
Vyovyote utakavyoongea mimi nahitaji unijibu. Kwanini CHADEMA wanawatenga wasukuma

Kwahiyo mdude siyo mfuasi wa CHADEMA? Unataka tweet ngapi ziweze kuthibitisha kuwa CHADEMA wanawachukia wasukuma?
Sasa kwenye hiyo Tweet matusi yako wapi zaidi ya kumetion Sukuma Gang.....!!

Thibitisha wapi wamewatukana watu wa kanda ya ziwa...... Wenzako wanakuambia kuwa Sukuma Gang siyo kanda ya ziwa wala Wasukuma bali ni jina la kundi fulani, wewe hutaki ....!!
 
Ninachotaka kujua kwanini sasa watumie jina la kabila lililopo hapa Tanzania? Tukisema CHADEMA ni wabaguzi tutakuwa tumekosea?
 
Nadhan uongoz ambao ulitaka kutugawa tang kupata Uhuru ni awamu ya tano!! Kuna kauli nying san za mkuu wa nchi kipind hicho zilikua za kutugawa, hili halina ubishi kama ww ni mfuatiliaji!!!
 
CHADEMA wanatakiwa watubu dhambi yao ya ubaguzi.
 
Swali langu ni, kwanini utumie jina la kabila katika propaganda zako?
Je, wasukuma wanajisikiaje kutajwa na kubaguliwa na CHADEMA?
Kwa sababu wakati shetani Magufuli akijiita msukuma wenyewe mlimkenulia meno wakati kumbe ni muhutu!

Sasa mtakula jeuri yenu kujikomba kwa muhutu!
 
Kwa sababu wakati shetani Magufuli akijiita msukuma wenyewe mlimkenulia meno wakati kumbe ni muhutu!

Sasa mtakula jeuri yenu kujikomba kwa muhutu!
Sasa unawatukana wasukuma? Halafu unataka wakupe kura?
 
Kwa sababu wakati shetani Magufuli akijiita msukuma wenyewe mlimkenulia meno wakati kumbe ni muhutu!

Sasa mtakula jeuri yenu kujikomba kwa muhutu!
Watu zaidi ya 25m unawatukana.

Ndugu Venus star,

Nani muasisi wa kundi la CHAWA wa MAMA?

Lengo la uanzishwaji wake ni nini?

Amelenga kuleta UMOJA au mgawanyiko ktk JAMII?

Tangu lini tumehama kuitana "NDUGU" Hadi kuitana "CHAWA"

Makundi hayo why yafadhiliwe na Kodi za wananchi?
 
Mimi hapa nauliza na tuweze kumaliza hili suala humu humu. Kwanini CHADEMA wanatukana kanda ya ziwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…