Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Moderators please stop this madness !!!!
Unatakiwa uwe mpole. Unapoanzisha. Nyie ndio mlioazisha matusi haya ya nguo kuwaita watu gang. Tukitaka mtupatie maelezo mnaanza kuita moderators. Why?
 
Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka leo natafuta kujua hawa CHADEMA wapo na lengo gani na jambo hili?
Hapo watafeli sehemu kubwa sana.
 
Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.

Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.

Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka leo natafuta kujua hawa CHADEMA wapo na lengo gani na jambo hili?

Maana ukipitia kwenye mitandao ya kijamii taarifa nyingi wanazieneza na kuwatusi watanzania wa kanda ya ziwa. Sujui lengo kubwa ni nini?
View attachment 2486017

Sasa nawaombeni wenzangu humu JF tujadili suala hili tulimalize. Hawa CHADEMA lengo lao ni nini kuanza kuwasakama watu wa kanda ya ziwa?
Mimi sio mfuasi wa chadema ila ni kweli sukuma gang ipo na ilikuwepo hasa rais alipokuwa msukuma na kufanya ukabila wa waziwazi na wasukuma wakajiona wapo juu ya kila mtu, wana nguvu na nk. Hatukosei tena tumeshawajua.
 
Tutaamini vipi kama wewe siyo CHADEMA?
 
Sukumagang ni kikundi cha wahuni flani toia kanda ya wenye nia ya kuendesha nchi kwa manufaa yao binafsi uku wakitumia kigezo cha ukanda
Ndio kama nani hivi? Wataje japo watatu tu
 
Kanda ya Ziwa imekuwa ngome kuu ya CDM miaka mingi, takwimu hazijifichi chochote, sasa kutaka kuwachongea CDM na watu wa kanda ya ziwa ambao kiuhalisia ni wakarimu na waelewa hazitasaidia kitu.

Hao Sukuma Gang ni kakundi ka wahuni wachache ndani ya CCM kanakodhani kanaweza kuiyumbisha CCM taifa.
 
Kwahiyo mkaamua kutumia jina la wasukuma kuwaunganisha na wahuni? Kwanini msiite wahuni gang?
 
Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.

Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.

Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka leo natafuta kujua hawa CHADEMA wapo na lengo gani na jambo hili?

Maana ukipitia kwenye mitandao ya kijamii taarifa nyingi wanazieneza na kuwatusi watanzania wa kanda ya ziwa. Sujui lengo kubwa ni nini?
View attachment 2486017

Sasa nawaombeni wenzangu humu JF tujadili suala hili tulimalize. Hawa CHADEMA lengo lao ni nini kuanza kuwasakama watu wa kanda ya ziwa?
Job Ndugai
Polepole
Bashiru
Musiba
Makonda
Sabaya
Ali Hapi
-Hao wote ni Sukuma gang.
-Sukuma gang ni click haijalishi unatokea kanda ipi, alimradi wewe ni chawa wa Mwendakuzimu basi wewe ni Sukuma gang.
 
Swali linabaki palepale. Kwanini mtumie jina la kabila la watu!? Je lengo lenu kuwachafua wasukuma?
 
..Wasukuma ni kabila au jamii.

..kunaweza kuwa na kikundi au genge fulani ndani ya jamii ya Wasukuma.

..Na jamii yoyote haikosi watu wazuri wengi na wabaya wachache.
Ndugu JokaKuu bado hujajibu swali. Kwanini sasa mtumie jina la kabila la wasukuma!? Lengo lenu kuu ni kuwachafua wasukuma?
 
..kwasababu malengo, na matendo, ya hilo genge yalikuwa ya kikabila.

..waliowachafua Wasukuma ni wahusika wa genge hilo waliokuwa mafisadi, wabaguzi, na wakatili.
 
Kwani kila mtu ana chama? Naweza kuwa siipendi ccm lakini haimaanishi mimi ni CHADEMA, mambo hayapo kirahisi hivyo. Think big.
Kama wewe siyo CCM automatically wewe ni CHADEMA
 
..kwasababu malengo, na matendo, ya hilo genge yalikuwa ya kikabila.

..waliowachafua Wasukuma ni wahusika wa genge hilo waliokuwa mafisadi, wabaguzi, na wakatili.
Kwahiyo tunakubaliana wote hapa kuwa lengo lenu ilikuwa ni kuwachafua wasukuma na kuendesha siasa za kibaguzi.

Je, lengo lenu hili ninyi CHADEMA bado mpo nalo au mmeliacha?
 
Back
Top Bottom