Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Wana bahati kwa kuwa wanajua watani zangu wasukuma ni watu wa "ndoho taabu maami". Wangeleta ujinga kama huo huku kwetu umawiani, halafu waje kuanzia mikutano yao huku, wangekuta umati unawasubiri na kuwambia wachague moja, ama wakokone kwenye upanga wenye makali, wau wapande juu ya mti tuwapige nchale, tukiwakosa basi bahati yao.
Wasukuma amkeni, huo upole utawaponza siku moja.
Kabisa.
 
Peopleeeeeees! CDM songeni mbele nyie ndio kimbilio la wananchi, Magufuli naye alikuwa CDM kisirisiri muwaambie wanamwanza ukweli huo!
Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.

Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.

Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka leo natafuta kujua hawa CHADEMA wapo na lengo gani na jambo hili?

Maana ukipitia kwenye mitandao ya kijamii taarifa nyingi wanazieneza na kuwatusi watanzania wa kanda ya ziwa. Sujui lengo kubwa ni nini?
View attachment 2486017

Sasa nawaombeni wenzangu humu JF tujadili suala hili tulimalize. Hawa CHADEMA lengo lao ni nini kuanza kuwasakama watu wa kanda ya ziwa?
opleeeeeees!
 
Chadema, kanda ya ziwa ni yenu, mambo ya sukuma gang yameanzishwa na ccm na sio ninyi na hayawahusu. CCM ndio wasisisi wa utengano huu mara baada ya kifo, songeni mbele Chadema, peopleeeeees!!!....
 
Unaongelea ziwa lipi? Ziwa la ng'ombe au?
 
Jina Hilo lilibuniwa na wafuasi wa ccm ya Kikwete dhidi ya ccm ya Magufuri.
Kumbuka Magufuri alipoingia madarakani aliwafuta kazi wafuasi wengi wa Kikwete.
Ndiyo maana hata mzee Yusuph Makamba alijisahau akatamka hadharani kwamba wazuri hawafi!.
 
Sukumagang ndo tusi?anyway nmeshakuelewa kwakua mkutano wa chadema unaanzia mwanza kwahyo unaanzisha mjadala ili tuwakatae tuone kama wanatutukana kutuita hlo jina ulishawahi kuskia mtu wa kanda ya ziwa kalalamika kuhusu hlo jina mkuu
 
Ulitaka mpaka wakuambie kwamba jina hilo hawalipendi?
 
Unaongelea ziwa lipi? Ziwa la ng'ombe au?
Ziwa la malkia Victoria. Tuendeleze mapambano enyi wasukuma vinginevyo mtafugwa kama ng’ombe siku zijazo. Mlimtegemea sana Magufuli sasa hayupo ungeni mkono juhudi za ukombozi.
 
Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.

Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.

Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka leo natafuta kujua hawa CHADEMA wapo na lengo gani na jambo hili?

Maana ukipitia kwenye mitandao ya kijamii taarifa nyingi wanazieneza na kuwatusi watanzania wa kanda ya ziwa. Sujui lengo kubwa ni nini?
View attachment 2486017

Sasa nawaombeni wenzangu humu JF tujadili suala hili tulimalize. Hawa CHADEMA lengo lao ni nini kuanza kuwasakama watu wa kanda ya ziwa?
kanda ya ziwa chadema wapo wengi kumbe wanajitukana, kwani sukuma gaga maanake nn?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndio nataka CHADEMA watueleze maana yake ni nini?
No wale wazee wa CCM wasemao "Wazuri hawafi" ndo wanajua maana ya kundi Hilo la kufikirika.

Nikwambie, CCM inachukiwa sana Kanda ya ziwa, wanapumulia mashine inayotambulika Kwa Jina la "DOLA".
 
Duh!! hapa tunaongelea suala la kwamba "Kwanini Chadema wanawatukana kanda ya ziwa na kuwaita sukuma gang?" Au hujaelewa?
 
Nimeelewa CCM ndo chanzo Cha siasa za maji taka,

Hata hicho unachofanya ni kuwaaminisha wananchi tuhuma za kubumba.

Wananchi tunasubiri chama makini kituambie ikiwa kikipewa DOLA kitatumia nyenzo gn kuhakikisha Michele hauuzwi 3500 Kwa kilo!!

Hatuna muda na siasa chakavu za CCM.
 
Kujibu umejibu lakini siyo jawabu. Leta jawabu la swali
 
Kama "KUNDI" ni imagination, la kufikirika, CDM hawahusiki na TUSI pia maana kundi Hilo haliexist Lake Zone!!

Vp nimejibu swali lako ndugu Venus star?
 
Peopleeeeeees! CDM songeni mbele nyie ndio kimbilio la wananchi, Magufuli naye alikuwa CDM kisirisiri muwaambie wanamwanza ukweli huo!

opleeeeeees!
True, Magu alisema Kwa mkutano Peopleeeeees!!!!

Akaomba wananchi wamchague Ili atimize HOJA za CDM, na wananchi wakamuelewa.

Hivyo Kanda ya ziwa hawana tatizo na Magu Wala CDM.

Kanda ya ziwa hawaitaki CCM, baaasi!!
 
Back
Top Bottom