Amekosea kidogo kusema mtu mmoja, kunakwa tafsiri hii china sio nchi ya kidikteta......
wana katiba bora, wana sheria bora, wala neno la Xi sio sheria.......
magharibi ndio wameharibu tafsiri ya dikteta kwa kumwita dikteta kila mtu wanae mchukia
Nimeipenda hii kwenye bold.Sababu ni nyingi,
Kwanza lazima ufahamu China wana msingi mkubwa wa uvumbuzi na ubunifu wa miaka mingi, Dira, gunpowder, karatasi na mashine za kale za kuchapa ziligunduliwa China.
Pili udikteta wa China ni udikteta wa mfumo wa meritocracy, sio udikteta kama wa Waafrika wa "unanijua mimi ni nani" au baadhi ya familia kuhodhi utawala wa nchi.
Lingine demokrasia ni muhimu sana lakini haikupi kila kitu, ili demokrasia ikusaidie inahitaji mazingira wezeshi pia ambayo hayako kwa nchi nyingi za Africa.
Mfano ni kutokuwepo utamaduni wa rushwa, nepotism, ukabila, raia wengi wajinga n.k
Ukatoa mifano ya Kenya ukaiacha nchi zumbukuku Tanzania?Kwa nini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia ?
Kuna udikteta wa aina nyingi China ina udikteta wa kichama lakini hiyo sio kizuizi wao kushughulikia viongozi wenye mawengeSasa mbona China inaendeshwa tofauti kabisa na hiyo definition yako hiyo?
China ukizingua haijalishi ww ni nani una cheo gani utakula kitanzi na mchakato wao wa kula kitanzi huwa sio mrefu ,hukumu ya kitanzi inatoka leo na inaelelezwa ndani ya wiki.
Kuna udikteta wa kichama na hapo ndipo China alipo Xi anaweza asiwe na nguvu yoyote lakini chama cha kikomunisti kikawa kimehodhi nguvu zotekwa tafsiri hii china sio nchi ya kidikteta......
wana katiba bora, wana sheria bora, wala neno la Xi sio sheria.......
magharibi ndio wameharibu tafsiri ya dikteta kwa kumwita dikteta kila mtu wanae mchukia
NakuelewaHakuna mahusiano yeyote kati ya maendeleo ya nchi husika na mfumo wake unao iongoza.
Na ndo maana kuna nchi zinazo ongozwa kidemokirasia ni tajiri na kuna nyingine zina uchumi wa kati na kuna nyingine ni masikini kabisa,na upande wa nchi zinazo itwa za kidkiteta ni vilevile.
Taifa lolote linapata maendeleo kwa sababu ya uwajibikaji wa viongozi na jamii ya watu wa nchi hiyo,sasa huku Africa kuanzia viongozi mpaka kwa raia uwajibikaji ni zero.
Ukitaka kujua kuwa waafrica ni jamii ya hovyo ww nenda vyuoni ambavyo ndo vinategemewa kuzalisha viongozi na watumishi wa uma uone mambo yanayo fanyika.
Yaani tunataka tuzalishe viongozi bora kutoka kwenye jamii iliyo oza.
👆China hawacheki na kima ujue. Mfano, jengo lililoporomoka Kariakoo jana; asubuhi ya leo wananchi wangekuwa wamekusanyika viwanja vya Mnazi Mmoja kushuhudia mass execution ya wote walioshiriki ujenzi ule! Mko tayari au ni siasa za kulindana?
Udikteta unaouona wewe ndio umeifikisha China hapo ilipo,ujamaa ukisha komaa sana baadaye huwa unageuka kuwa kama ubepari,ni kweli walitaabika sana wakati wa kutafuta ila sasa hivi wanawaenzi waasisi wa taifa lao kwa kifua mbele.Nadhani unakumbuka Mwamba Magufuli alivyobeba jina la udikteta na wapi alitufikisha,hakuna maendeleo bila ya jasho,tafakari na chukua hatua...Kwanini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia ?
Unamkubali sana Magufuli ?Udikteta unaouona wewe ndio umeifikisha China hapo ilipo,ujamaa ukisha komaa sana baadaye huwa unageuka kuwa kama ubepari,ni kweli walitaabika sana wakati wa kutafuta ila sasa hivi wanawaenzi waasisi wa taifa lao kwa kifua mbele.Nadhani unakumbuka Mwamba Magufuli alivyobeba jina la udikteta na wapi alitufikisha,hakuna maendeleo bila ya jasho,tafakari na chukua hatua...
Kwa sababu hawana mindset kama zetuKwanini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia ?
Ni issu ya mindset. Ukikosa msukumo ndani yako ya kufanya maendeleo mwenyw. Ndo ile tabia ya kuzoea watu kukupambania haki zao. Viongozi nao wanawaza watakul wapi hawan muda na wananchuMiluzi mingi humpoteza mbwa,kwenye demokrasia watu wanapata muda wa kukosoa kila kitu! Kuna kijiji nilikulia miaka ya tisini kile kijiji kilikuwa kisafi Sana wanakijiji waliishi Kwa ushirikiano Sana,barabara walitengeneza wenyewe Kwa kujitolea,hapo ndio Kiongozi alipatikana Kwa kuangalia mtu anayejitoa Sana kwenye KAZI za kijamii! Ulikuwa kuiangalia mtaa unaweza ona mbele hata kilometer 5 usione hata karatasi! Badae nikaenda baada ya miaka 15 dooh salala! Kijiji kichqfu balaa madiwani wanasema tunashindwa kuwafosi watu kwenye KAZI za maendeleo watakunyima kura
Tungepata wenye akili za Magu 10 hvi wawe ma Rais kungekuwa level zaoHatari