Kwanini Dar es Salaam magari binafsi aina ya Landcruiser V8 yako mengi sana?

Mkuu siyo kwa prado hizi za miaka hii
 


Siku Ukijua Dar Es Salaam Ndiyo Tanzania

Utakuja Kunishukuru Siku Moja
Mikoa Kama Pwani, Morogoro, Tanga Watu Asubuhi Wanakwenda Job, Dar Es Salaam
 
Mkuu kama nchi tupo watu mill 60 unadhani hizo viieite ulizoona hapo Dar zinafika hata 1mill?

Halafu zipo pia za mchongo refer kesi ya sabaya ile aliinunua kwa mwarabu 60mill mpaka ikaja kujulikanika kwamba jamaa alikuwa na houseboy shoga.
Hii imekaje ya sabaya ..kumiliki shoga au aliyrmuuzia gari ndie mmiliki wa shoga
 
makufuli kaondoka upigaji serikalini umerudi wafanya biashara fisadi wamerudi wauza unga wamerudi tena kwa nguvu ya G4
 
Mkuu hata Africa nzima wenye $1m na kuendelea hawafiki 200,000. Tz wako kama 5,000 hivi.
Mkuu, its very simple, ni watu wangapi wanamiliki nyumba na commercial buidings kariakoo, oysterbay,upanga, masaki na mbezi beach. Ni watanzania wangapi wenye fleets za malorries na upcountry buses, wangapi wana viwanda, na biashara stable za uchuuzi, kwenye spare parts za magari, machineries na hata nguo. Wangapi wapo kwenye mahoteli, restaurants na entertainment industries. Mashule, petrol stations, na kilimo na uvuvi. Usiwachukulie watu poa
 
Ukienda kkoo kuna watu wanauza hadi mln100 kwa siku, kwa mwezi unadhani ana sh? je Dar kuna viwanda vingapi? Kwahiyo hayo ni magari halali na wafanyabiashara ni wengi kuliko wafanyakazi wa serikali au taasisi ambao kimsingi hawana ubavu wa kununua hayo magari achilia mbali kununua hata ukimpa bure hawezi kununua mafuta ya kila siku.
 
Mkuu hata Africa nzima wenye $1m na kuendelea hawafiki 200,000. Tz wako kama 5,000 hivi.

Data tunazokuwa fed na watafiti kwa Africa si sahihi, for sure leo hii USD millionaires ni wengi mno mno mno na Mikoani wako wengi sana nimejionea mwenyewe wafanyabiashara wa Sembe, mbao,madini, hardware, maduka makubwa, wakulima wa mpunga na kadhalika
 
Bongo watu wana hela mzee wa kazi kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake..Ukiwa mtu wa kuweka rohoni yale unayoyaona Dar kila siku utaumia moyo wako cha msingi ridhika na ulichonacho



View attachment 2051683
Ni kweli mkuu ni kupambana na hali yako. Ukiishi masaki haya mambo ni ya kawaida. Gari za maana zote ziko masaki jamani.

Mwaka jana mwezi wa 6 tulipata msiba hapo masaki na covid ile watu walikuwa wanakuja kwa awam

Cha kushangaza nilikuwa naona kidada kidogo kama 20 yrs kinakuja kusalimia msiba kimevuta v8 ya maana. Wakitoka mi namuuliza mama anasema mtoto wa mama fulani kuleee mmh na unakuta sio familiya za viongozi wa serikali ni familiya za watu wa kawaida.moyoni najisemea watu wanaishi.😂😂😂

Kuna vitoto vingine vilikuja kusalimia msiba ahaaa mimi ndo nilifungua geti vinauliza mama yupo najibu ndio , mama kaja vikashuka na vikaputura vyao, vikasema mama pole na nsiba sisi hata hatukai tumetuma tu drop hapa hivi tu ahaaa hiyo chuma vilivyokuwa vikiendesha ilibidi tu nicheke.

So haya mambo yapo sana dar, ni kula kwa urefu wa kamba yako.
 
Hadithi yako inafikirisha sana, asili ya afrika ni ombaomba yaani nisawa na mwanamke kuomba vocha.
 
Kweli kabisa mkuu mimi tangu utotoni nilijifunza kutotamani vya wengine maana ningeumiza kichwa tu na kuuumia moyo...imagine unafanya kazi na staff mwenzio anakuja na ndinga kali kabisa wakati huo wewe una ya kawaida tu unaanza masononeko kumbe mwenzio baba yake amemfanyia top up tofauti na wewe unayekaza fuvu peke yako kununua ndinga kali
 
Mkuu kama nchi tupo watu mill 60 unadhani hizo viieite ulizoona hapo Dar zinafika hata 1mill?

Halafu zipo pia za mchongo refer kesi ya sabaya ile aliinunua kwa mwarabu 60mill mpaka ikaja kujulikanika kwamba jamaa alikuwa na houseboy shoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu lol.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna tajiri mfanyakazi zaidi ya mawaziri, makatibu wakuu na mameneja wa bank,, wengine wanaganga tu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
L

Hahahah gari za 1999 nyingi zina Alias ya Massawe sababu kimsingi huwezi kumkosa nayo hio gari huyo Massawe!
Rav 4 Massawe, Prado Massawe pamoja na Suzuki Massawe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…