Kwanini dhehebu la SDA huwa wanalishambiulia zaidi Kanisa Katoliki na siyo madhehebu mengine?

SDA tatizo hujiona smart sana, ila nataka kusema tu dunia hii , imani ya mtu binafsi kwanza kwa kile wakiamini ni la kwanza kuliko jambo lolote, hizi dini zipo , kujumuika pamoja kwa imani ya dini yako ni sawa , ila nini unakiamini toka moyoni mwako na roho mtakatifu wako ni jambo muhimu sana ,
 
Kuna vitu wakatoloki mnavikosea, vinaenda kinyume na bible, huku mkiipa nafasi kubwa Catechism
Catechism ni guideline tu. Na kanisa lilikuwepo kabla ya bibilia, Bibilia pia ni mapokeo ya kanisa walicompile vitabu jo, kasome tena.
 
SDA, ni kanisa la kuundwa na watu. False prophets Ellen g white na Josep Smith ambaye ni know freemason. Walitabiri miisho ya dunia mara kibao bila mafanikio. Ni kikundi(cult) ya kishetani, kumbuka pia shetani anaweza kuja kama malaika wa mwanga,. Hilo kanisa ni la kishetani na vita ya shetani na kanisa la Yesu ni kali, ndio maana wasabato wao wana dili na katoliki. Kuhusu upapa hawaujui na hawasomi Bibilia vizuri. Na title zao za uongo za papa wametunga hazipo, mfano vicarius filii dei, haipo wanalazimisha 666, tafsiri yao ya ufunuo ni batili, kimsingi ni kikundi cha hovyo sana, hawapaswi ata kuitwa wakristo, kutwa wao ni kunanga tu.
 
Nimekaa na kutafakari sana Kwa nini wasabatho wanalipiga vita sana kanisa katoliki na hiyo vita siyo kwa makanisa mengine?

Wajuzi mnijuze!

View attachment 2757316



As of the year 2021, Christianity had approximately 2.38 billion adherents and is the largest religion by population. According to a PEW estimation in 2020, Christians made up to 2.38 billion of the worldwide population of about 8 billion people

About half are Catholic. Protestants, broadly defined, make up 37%. Orthodox Christians comprise 12% of Christians worldwide. Other Christians, such as Mormons and Jehovah's Witnesses, make up the remaining 1% of the global Christian population

Source: world total number of christians - Google Suche

 
Uzuri wa sisi wakatoliki ni kwamba wewe utuseme, ututukane au utuchafue kivyovyote, tutakusikiliza na kukuacha na matusi yako. Tukitoka hapo, tunaenda bar kula kitimoto na bia halafu tunarudi nyumbani. Hatuna muda wa kumshawishi yeyote ahamie ukatoliki. Ukiupenda ukatoliki wewe mwenyewe tafuta kanisa katoliki lilipo kapige nasadiki urudi nyumbani.
 
Mkuu thanks ,inaonekana upo deep, ebu pata mda njoo na bandiko , maana watu tumekua kama makondoo kila kitu kukimbilia ,bila hata kujua chimbuko
 
Rc forever leta hoja nikupe jibu,mtoto ni mtoto akikua anasema baba unakosea na baba ndo anamjua mtoto
 
Nashukuru Kwa kuungana na Mimi kuwa Yesu hakuwahi kuwa na sheria wala hakuleta SHERIA.

Unaweza nitajia hao watunzi hata mmoja ambaye anaziita hizo sheria za Kristo?
Kisha unitajie na hizo sheria ambazo zinaitwa za Kristo.
Nikuulize... Kwann Yesu alisema hakuja kuitengua torati bali kuitimiza? Why yeye ndo aitimize torati? Je ilikua na mapungufu? Katika hizo torati kwann ili kumpendeza Mungu alitaja tu sheria mbili yani kumpenda Mungu na Jirani? Narudia tena maswali yangu ya mwanzo sabato mnayoshika ni ipi, Ile ya Mungu kufanya kaz siku sita na saba kupumzika au ile ya waisrael au zingine? Mwisho sabato zilikua nyingi, why mnangangania moja tu ya siku?

Hili laa waandishi wa biblia nikirudi home kutoka job nitakuchek
 
Nimekaa na kutafakari sana Kwa nini wasabatho wanalipiga vita sana kanisa katoliki na hiyo vita siyo kwa makanisa mengine?

Wajuzi mnijuze!

View attachment 2757316
Sababu kanisa katoliki ndilo linalojua uongo wa mwanzilishi wa wasabato. Hata hivyo kupiga vita katoliki ni sawa na kujaribu kuuangusha mbuyu kwa kiwembe
 
Je unauhakika na hiki ulichoandika? Ebu angalia hapo kwenye red.
Ngoja nichukue kipengele kimoja tu kati ya vingi.
Je Kristo Yesu tayari ameisha tawala katika kile kipindi cha Millenium? Cf. Ufunuo 20:4
 
Muislam ukimzuwia kuhubiri na kufuata dini yake atakutwanga tu,Sina kumbukumbu ya Vita vya waarabu Spain Hadi kusimika dola

Waislamu hawata kuja kuisahau the crusade war,walikoma kujitoa akili,hadi leo wanamuona papa kama Mungu,hata misikitini anaingia bila kuvua viatu[emoji28]
 

Hoja ya vicarius flii dei ni hoja ya kubumba sana wala haina uhalisia,kimsingi hizi dini ni vikundi vya watapeli waliojitungia ideologies zao na kuzipambania kufa kupona.

Tukirudi kwenye ukatoliki nao una mapungufu kibao kama tukisema biblia ndio msingi wa imani yao.

Hakuna dini iliyokamilika.
 

Kaangalie amri kumi za Mungu zilizokwenge Biblia, kisha utakapoona Sabato basi ujue ndio hiyohiyo hakuna amri nyingine ya Sabato zaidi ya Ile iliyoandikwa kwenye amri kumi.

Kutimiza Torati hata wewe ukiifuata unatimiza, unafuata, unaifanya kama ilivyoagiza. Hiyo ndio maana yake.

Kumpendeza Mungu ni kufuata amri na sheria zake na sio vinginevyo. Yesu alichosema ni kuhusu upendo lakini kisheria na Torati upendo unatafsirika katika sheria. Za Mungu.

Sabato ni moja ya amri za Mungu ambazo haya huyo Yesu mnayemfuata aliifuata Kwa adabu na heshima Kwa sababu Mungu aliagiza iwe hivyo.
 
Catechism ni guideline tu. Na kanisa lilikuwepo kabla ya bibilia, Bibilia pia ni mapokeo ya kanisa walicompile vitabu jo, kasome tena.
Haya suala la kwenda kuungama kwa padre mmelitoa wapi?
 
Sio sabato tu, fikiria suala la kuchonga masanamu, kifupi wakatoliki wanaenda kinyume na maandiko, tena yale ya msingi.
 
Sisi tunasoma Bible kama ilivyo, hatujawahi kubagua agano jipya na la kale. RC mmeamua kuibagua bible na kuegemea agano jipya peke yake.
Ya kale ysmeshapita na Yesu alishaweka agano jipya. Wewe ya zamani unafuata ya nini?
 
Mungu mwenyewe analionya hilo Kanisa kwa ukengeufu wake tena kwa kuliita mama wa makahaba wasabato wasisingiziwe kwa lolote wao wanasema kile biblia isemacho tu
Mama wa makahaba anayezungumzwa ni Ellen G White, kasome vizuri
 
api kwenye biblia umewahi kusikia imeagizwa
Wapi kwenye Biblia imeandikwa
Ukiamka asubuhi piga mswaki
ukisikia njaa kula chakula
Ukitaka kwenda mjini panda bajaji

Lakini vipi hayo yote huyafanyi? 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…